Tabiri nani atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

Weekend hii kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm, lengo ni kumteua makamu mwenyekiti mpya atakayechukua nafasi ya Comrade Kinana.

Je unahisi nani atateuliwa kwenye nafasi hiyo? Tupe utabiri wako

Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana



Kikosi cha wezi. Ni kama Mafia wanajificha na kuleta watu wa kusaidia kuiba kura na kutajirisha familia zao. Hii nchi tunakazi sana kupata uhuru wa kweli kwa ndugu zetu. Makamu mwenyewe hakuna cha kugombea!!
 
Back
Top Bottom