ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tamko zito la vijana CCM wa vyuo vikuu waunga mkono Rais Samia na Dkt. Mwinyi kugombea urais 2025

    24 January 2025 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mwenyekiti wa CCM, Mapendekezo ya Lissu kuhusu mchakato wa Katiba ningeyakubali wakati huu na kuyafanyia kazi haraka!

    Kuna msemo unaosema no one knows tomorrow! Lissu kaja na mapendekezo mazuri sana kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba kuelekea Uchaguzi Mkuu. Mapendekezo ya Lissu ni Bunge kuongezewa muda, uchaguzi kupelekwa mbele alafu reforms za Katiba kufanyika ndipo twende kwenye uchaguzi. Kama...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM

    TAARIFA KWA UMMA Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM ACT Wazalendo tunalaani vitendo vinavyoanza kushamiri kwa kasi vya kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za siasa wakati wa muda wa masomo, jambo ambalo ni kinyume na miongozo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa kwanini CCM hawakufata katiba ya chama chao kumpitisha mgombea Urais?

    NB. JK ameonekana rasimi ni adui wa Demokrasia nchini, aliamia kuchukua mamlaka ya kujimilikisha uenyekiti wa kikao na kutoa pendekezo la udikteta kwa kulazimisha kupitishwa majina ya wagombea Urais bila kufuata utaratibu wa chama. Hii maana yake ni kuwa chama kimekiuka miongozo ya katiba ya...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

    Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika! Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA umefungua njia kwa wanasiasa kutambua nguvu ya vijana, CCM wamebadili gia sasa wanaenda na vijana siyo wazee

    Kama wewe ni kijana na unaamini katika kulitumikia taifa kama diwani au Mbunge anza kujiandaa kwenda kugombea. Mfumo umebadilika na fikra zimebadilika. Wapiga kura sasa hivi ni vijana na vyama vimebaini umuhimu wa wagombea vijana Kipenga kimepulizwa anzenu kujinoa, msiseme hakuna mtaji. Mtaji...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna uwezekano kuna watu au kikundi cha watu au Wafuasi wa lissu wakawa na matumaini na matarajio makubwa sana na lissu kwamba anaweza badilisha au lazimisha kufanyika kwa jambo lolote lile analotaka au wanalolitaka wao kwa nguvu au mabavu au kwa shinikizo. Nipende tu...
  8. W

    JamiiForums Tanzania CCM mrudisheni Makonda kwenye uenezi, twanga pepeta ana pwaya

    Kwa upepo wa kisiasa unavyo vuma hivi sasa, Makonda ni mtu sahihi kueneza sera za chama tawala kuelekea uchaguzi mkuu Uzuri wa Makonda ni proactive Ushauri wangu ni huo Makonda na Polepole warudi kundini harak sana
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naiona kambi ya CHADEMA Kaskazini hiyoo inaeenda CCM

    Wanaukumbi Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche. Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kuwa uchaguzi umeacha mpasuko mkubwa ndani ya chama ingawa hawa viongozi wapya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania CCM mlichokifanya kwenye mkutano wenu wa tarehe 17-18 Januari 2025 ni kuwatukana Watanzania

    Mkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania. Watu wananuka shida, maisha ni magumu kila kona, lakini CCM hawakuona aibu kutumia mabilioni ya watanzania walipa kodi, kusomba watu, wasanii, watangazaji, vyombo vya habari...
  11. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hali na kauli za mzee wasira kuna kila dalili " kurudishwa kundini bwana bashiru" the ghang

    Wasira anadhihirisha dhahiri 80 years old man can not think and he is mentally tired. Kama vijana kama Christian wakipewa nafasi wanakosa chembe ya hikima kwenye brain wasira anakila dalili kukichoma moto chama cha Mapinduzi. Hii ni ishara kwamb Sukuma gang bwana Bashir akahitajika. Kiufupi...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu akimjibu Wasira CCM msikimbilie kutumia dola kama kipindi cha Magufuli

    Naona mzee Wassira anatingisha mzinga wa nyuki kwa kuanza kuleta mipasho ya kitoto dhidi ya CHADEMA. Ombi langu kwa Wassira na CCM, mmeshachokwa, achaneni na Chadema. Kwa mawe ya Lissu msikimbilie tena kutumia dola kama Hayati mzee Meko kipindi kile. Sote tunajua baada ya Press ya Lissu ule...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tumuombee mzee Wasira

    Sijui kwanini familia ya Mzee Wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira. Huyu ni mzee ambaye anasahau mpaka yupo awamu gani kitendo cha kuwaachia CCM wamtumie mzee wenu hivi ni kitendo cha...
  14. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Wassira: Wapinzani chezeeni ndevu na msithubutu kuchezea Dola ( CCM)

    "....CCM ni tunaongoza Dola na tutaendelea kuiongoza. Hata Wajukuu huwa wanachezea ndevu za Babu yao jambo ambalo halina tatizo. Na hata hawa Wapinzani kuchezea ndevu za sisi Babu yao haina tatizo. Ila, ishieni kuchezea ndevu pekee na siyo Dola."
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe

    Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA adai hawajashika dola lakini wanagombana na kushikana mashati je wakipelekwa ikulu si watagawana hadi vikombe? Soma Pia: Pre GE2025 - Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara Uchaguzi Mwenyekiti...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Wakati wao (wapinzani) wakiendelea kuchezea ndevu sisi tunaendesha dola

    Akizungumza na wananchama wa CCM mkoa wa Dodoma Wasira amesema kuwa CCM kushika dola na kuongoza ni lazima hii ni kutokana na idaid kubwa ya wananchama walio nao na ambao wanaendelea kujiandikisha. Hivyo wakati waapinzani wanaendelea kuchea ndevu wao wanazidi kujipanga kuendesha dola. Kupata...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

    Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni kumchana basi wamchane hapo hapo, jambo ambalo linakiuka katiba yao. Mbunge wa Mtera Livingstone...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Msigwa anasema Mbowe alilamba asali kutoka CCM, sasa yeye anafanya nini CCM?

    Hili ni swali la muhimu.
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

    Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lissu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa. Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbowe kwa kumfanya yule bwana akalambe yeye asali; angewauza mchana kweupe

    Msigwa kwa mujibu wa Lema alitofautiana na Mbowe baada ya ukimya wa mwenyekiti ambao ulipelekea waanzishe group la WhatsApp na Msigwa kuanza kumtuhumu kuwa amekuwa kimya kwa sababu amelamba asali. Kutokana na ukweli kwamba Mwenyekiti alitamani kufanya kazi na watu wasio na uchu wa madaraka...
Back
Top Bottom