ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania CCM wilaya ya Same imebariki hii laana?

    Kama CCM,wilaya ya Same imebariki hii Lana,Kuna uwezekano hata utekaji mmeubariki.
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la amani na utulivu Tanzania ni uimara wa CCM

    Uimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania. CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea, watu wataona aibu kuvaa sare na kujitambulisha hadharani kama wanachama wa CCM

    Sisemi mengi, ila ukweli ndio huo na sababu kubwa ni matukio ya watu kutekwa na kuuwawa pamoja na vitendo vya wazi vya kupora uchaguzi na watu kuuwawa kwenye uchaguzi. CCM inajimaliza kwa kasi kuliko speed ya mwanga na hata vipofu wanaona. Kwa kifupi, CCM inaangamia kwa viongozi wake kukosa...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imekata kauli na pumzi, inasubiri maamuzi ya wananchi tu

    Haiwezekani watanzania wooote wasijue kuwa CCM inafanya hila kwenye uchaguzi. CCM wanajua kuwa zama hizi sio zama za vya vyama vya ukombozi kutawala ila wasubiri ukakamavu wa watanzania na ukomavu wa vyama vingine vya siasa kuamua wafanye nini.
  5. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu ==== UPDATE JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo maadui wa CCM na 'taifa' la wachumia tumbo

    Kwa CCM: Kila mwenye uwezo wa kuongea ni tishio kwao. Kila anayejitambua ni tishio kwao. Kila anayekosoa ni adui kwao. Kila anayekataa uchawa ni tishio kwao. Kila anayeshuku ni adui kwao. Kila anayefikiri ni adui kwao. Kila aliye safi ni adui kwao. Kila aliye na akili timamu ni adui kwao...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania mjifunze kukataa Ujinga. Hayati Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho. Kuhusu watekaji na wauaji, CCM na CHADEMA wahojiwe

    Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe. The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi CCM, kwa Ushindi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Pongezi Pia Upinzani kwa kidogo mlichokipata, muwe na shukrani ili 2025 mpatiwe kikubwa!

    Wanabodi, Makala yangu gazeti la Nipashe ya leo 01/12/2024. Paskali
  9. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa kuisusa CCM

    Haya matukio yaliyoanza kabla ya uchaguzi wa SM na baada ya uchaguzi yanadhibitisha kuwa sasa Chama kilichokuwa pendwa kimegeuka na kuwa Simba mla watu. CCM haipiganii kuua na kutekana kuishe bali inaona ni drama huku ikijisifu kuwa ni "ushindi wa kishindo". Kama tufanyavyo kwa Simba mlawatu...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM bwawa la Umeme Nyerere linazalisha Megawati ngapi mpaka Sasa.

    Pamoja na umeme kuwa na ugagaziko (Fluctuations) lakini bado wingi wa umeme na ujazo wake kwa watanzania una utata. Swali kwa CCM. Mpaka sasa bwawa la Mwalimu Nyerere linazalisha asilimia ngapi ya umeme uliokusudiwa kuzalishwa na bwawa hilo? Maana kata kata ya umeme imekuwa kama ni jambo la...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wakitekwa au kupotea viongozi wa CCM hawakemei au kulaani kwa wakati?

    Nadhani viongozi wa CCM wanapaswa kubadili msimamo wao. Kila ikitokea taarifa ya kutekwa au kuuwawa kwa asiye mwana CCM wao ukaa kimya. Kwa kuzingatia umuhimu wa haki ya kuishi niwaombe wabadili response strategy zao na wajitokeze mapema kulaani na kukemea. Ukimya wa CCM umepelekea hata vyombo...
  12. covid 19

    JamiiForums Tanzania Je, CCM Imepotoka? Tunapokosea Njia Hatari!

    Ni swala la muda tu kabla ya hali ya sasa ya kutekwa na watu wasiojulikana kugeuka na kuanza kuathiri hata wale wa ndani ya CCM. Dalili hizi si nzuri kwa mustakabali wa chama na taifa. Kutoruhusu vyombo vya dola kuingilia siasa moja kwa moja ni msingi wa kulinda demokrasia na heshima ya chama...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Watendaji wa Halmashauri za Miji ndiyo huisaidia CCM kuchakachua chaguzi

    Kwa mtazamo wangu wavurugaji na wachakachuzi wakubwa wa chaguzi zetu hapa Tanzania, ni watendaji wa Vijiji, mitaa na Kata. Watendaji ndiyo mikono inayoyumiwa na CCM kuharibu chaguzi. Wakurugenzi wa Halmashauri za Miji wenyewe ni wapangaji na wanufaika wa uchakachuzi huo wa chaguzi zetu kwa...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ghafla CCM wanampenda Lissu. Yeye ataingia mtegoni?

    Tundu Lissu ni mwanasheria makini na mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu. Lakini natilia shaka kama yeye ni mwanasiasa mahiri na pia sijui kama yeye pia anajua nafasi yake aliyopo kisiasa. Wengi wetu tunajua kuwa tangu mwaka 2005 CHADEMA kwa mara ya kwanza kusimamisha mgombea uraisi, CCM...
  15. T

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama kioga zaidi kwa ushindani wa kidemokrasia kinaongoza Kusini mwa Jangwa la Sahara na AfriKa kwa ujumla!!

    Kwa namna ccm inavyoendesha siasa zake binafsi ndani ya chama, yaani mnampa fomu mgombea mmoja. Ukiangalia kwa makini kilichojificha nyuma ya kituko hicho ni kuogopa changamoto za ushindani ndani ya chama ingawa changamoto hizo zingesaidia sana wananchi kupata chaguo bora la wakati ila wao...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TLP: Uchaguzi ulikuwa wa Huru na Haki ila Wapinzani hatukujiandaa kama CCM

    Wakuu, Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?🤔🤔 ==== Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Chama cha Upinzani nchini Tanzania TLP kimesema...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Chama cha NLD chaipongeza CCM kwa Ushindi wa Kishindo Uchaguzi Serikali za mitaa

    Wakuu, Tawi la CCM limeipongeza CCM kwa ushindi mnono😂😂 Chama cha Upinzani nchini Tanzania NLD kimetoa Pongezi kwa Chama tawala CCM kwa kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na kubainisha kuwa wamejifunza mambo mengi sana kutoka CCM katika uchaguzi huu wa serikali za...
  18. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Walichofanya CCM siyo immoral, ni amoral

    Kwa hiyo sasa CCM imeshinda. Kwa hiyo Wapinzani lazima waridhike na walichopata. It is very unlikely kwamba Uchaguzi unaweza kurudiwa. Naona manabii wengi wanasema Bwana kawaambia CCM itaadhibiwa. Well,we certainly hope so,kwamba CCM itaadhibiwa, lakini sasa CCM ndio imeshika madaraka. Kila...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaamini kuwa upinzani ni utakatifu na kuwa CCM ni unajisi. Ukweli ni kuwa chama hakimfanyi mtu kuwa Mtakatifu au najisi

    Habari za Sabato! Kuna watu wanaamini kuwa watu wote wa CCM ni Najisi, wezi, majambazi, mafisadi yaani kitendo cha kuwa CCM wanaamini wewe ni muovu. Jambo ambalo sio kweli Wakati huohuo wanaamini kuwa chama cha upinzani kama CHADEMA ndio kuwa Mtakatifu au mzalendo wa taifa. Jambo ambalo sio...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: CCM yashinda kwa asilimia 99.9 kwenye Wilaya ya Mtama

    Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya Mtama Anderson Msumba leo Novemba 29,2024 ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu katika halmashauri hiyo. Msumba amesema kati ya nafasi za uongozi 2,325 zilizoshindaniwa na vyama vinne vya siasa,Chama...
Back
Top Bottom