ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: CCM yashinda kwa asilimia 99.9 kwenye Wilaya ya Mtama

    Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya Mtama Anderson Msumba leo Novemba 29,2024 ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu katika halmashauri hiyo. Msumba amesema kati ya nafasi za uongozi 2,325 zilizoshindaniwa na vyama vinne vya siasa,Chama...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Kada wa CCM ajiua baada ya Kada wa CHADEMA kushinda Uenyekiti wa Kitongoji

    Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha...
  3. Paspii0

    JamiiForums Tanzania CCM ni mwarobaini wa Taifa

    Kwa mvumo wa upepo wa historia, CCM inasimama, mwanga na kivuli, Katika shingo za wanyonge, majuto na matumaini, Pamoja na machungu, bado ni kimbilio. Mwarobaini wa taifa, au nadharia ya kimapokeo? Jua linapozama, giza linapofika, Hapa, ambapo matumaini yanakufa kwa kasi, Wengi...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto: Vyombo vya Ulinzi na Usalama vikishaonja madaraka ya kisiasa watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe

    Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto ameongea mengi: - Amewaonya CCM kuwa wanachofanya kwa sasa kitawageuka kama inavyotokea nchi nyingine. - Ametolea mfano yanayoendelea Angola na Msumbiji kuwa Vyama tawala vilitegemea Vyombo vya Dola kubaki madarakani -...
  5. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Asanteni Watanzania kwa kuendelea kuiamini CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Mapinduzi kinatoa shukurani za dhati kwa wanachama wake, wakereketwa,wafuasi na watanzania wote kwa ujumla wake kwa kukipigia kura nyingi za ndio na hivyo kukiwezesha kushinda kwa kishindo kikuu kilicho itetemesha Dunia nzima. Chama cha Mapinduzi kinaahidi...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Simiyu watoa pongezi za shukurani kwa Wananchi Kuipa ushindi wa 98.8%

    Pongezi kwa Wananchi wa Mkoa wa Simiyu kwa Ushindi Mkubwa wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kinapenda kutoa pongezi za dhati kwa wananchi wote wa Mkoa wa Simiyu kwa kuonyesha imani kubwa na kuendelea kutoa msaada wa hali ya...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: CCM yashinda kwa asilimia 99.7 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Njombe Kimefanikiwa kushinda uchaguzi wa serikali za Mitaa katika vijiji 377 kati ya 381 Mitaa 81 kati ya Mitaa 82 na Vitongoji 1819 Kati ya 1832 Vilivyopo mkoani hapa sawa na asilimia 99.7. Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Siasa Uenezi na Mafunzo CCM Mkoa wa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: CCM ina makada sita waliopigwa Mapanga na Kuuawa

    Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo vya kupigwa na kuuawa.
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: Ushindi wa CCM umechangiwa na migogoro ya wapinzani, CCM imeonesha Demokrasia

    Wakuu, Tumeona ni chama kimoja tu ndio kilikuwa na sintofahamu kidogo kutoka kwao, kwahiyo hapa alikuwa anamaanisha ushindani ulikuwa kwati ya wao na CHADEMA pekee? ==== Katika mkutano wake leo Novemba 29, 2024 Amos Makalla ametoa sababu mbalimbali zilizofanya CCM kupata ushindi mnono...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Wakenya wanavyo tafutiwa kazi Tanzania, nyie mkisugua benchi na mkingoja Mbowe aandamane kuwatetea

    Hizi ni kazi ambazo zinaweza sana fanywa tu na Watanzania, ila sasa sijui ni wawekezaji au la, wanatafuta Wakenya, na inaonekana hawataki Watanzania. Tena analipwa pesa nzuri na nyumba bure na Chakula na matibabu. Haya yako sana kwenye utalii huko ndio usiseme, unakuta hadi Wahasibu ni...
  11. winnerian

    JamiiForums Tanzania CCM msishinde tu uchaguzi kwa asilimia 99.999999999 bali shindine na ujinga, umasikini, na maradhi kwa walao asilimi 51 inatosha kabisa

  12. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani wataishinda CCM 2025 endapo yatafanyika yafuatayo

    Kuishinda CCM ,sio jambo dogo sababu kwanza wameshikilia dola , wana wanachama watiifu wengi ,na pesa pia .lakini wakifanya yafuatayo kwa katiba hii wanaweza shinda :- 1.Wawa hamasishe na kuwahimiza wananchi kupiga kura ,Wana CCM kwenye mitaa wanajuana na hupitiana kuhakikisha wanapiga kura ...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Pongezi kwa CCM kwa kujipanga

    Hakika CCM ni chama zoefu katika siasa.Huu ni mwaka mwingine CCM pamoja na kupitia vipindi vigumu imeweza kijitetea vyema na kwa sauti kubwa. CCM kama ilivyo vyama vingi vikongwe imeendelea kusimama kama chama imara kinachoheshimu upinzani ndani ya nchi na ukinzani kutoka mataifa dhalimu! Hata...
  14. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kijana mzalendo aivaa CCM na serikali juu ya uchaguzi " wameshindwa leadership wanaogopa nini "

    ACHAMBUA MATUKIO YA UCHAFUZI WA UCHAGUZI WA TAMISEMI 2024 https://m.youtube.com/watch?v=gRp4sZuVa-A Kada wa CCM akihoji chama dola kongwe na serikali yake kwa kuteka na kuvuruga mchakato mzima wa uchaguzi wa serikali za mitaa TAMISEMI 2024, na kusema huku ni kushindwa kwa chama kongwe dola...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM yashinda 98.83% Wenyeviti Serikali za Mitaa

    Wakuu, Matokeo ya jumla ya uchaguzi kutangazwa muda wowote kuanzia sasa. Uandikishaji wa Wapiga Kura Zoezi lolifanyika Octoba 11 mpaka 20, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura Milioni 31,282,331 walijiandikisha, baada ya mapingamizi wananchi waliojiandikisha walikuwa Milioni 31,255,303 Kupiga...
  16. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Polisi wafanya uchunguzi wa tukio la mtu aliyekamatwa na kura feki zilizokuwa zimeshapigwa

    Wakuu, Niseme tu kwamba nashangazwa na wingi wa matakamko ya polisi siku mbili hizi, yaani ni bandika bandua! PIA SOMA - LGE2024 - Kigoma: Vijana wawekwa chini ya ulinzi kwa wizi wa kura baada ya polisi kuingilia kati
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: CCM na CUF wafungana Matokeo ya Uchaguzi Liwale, Uchaguzi kurudiwa

    Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri ya Liwale, Tina Sekambo, ametangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa leo, Novemba 28, 2024, ofisini kwake, mbele ya waandishi wa habari. Katika taarifa yake, Sekambo ameleza kuwa halmashauri ya Liwale inajumla ya vijiji 76 na...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Uanachama wa CCM

    Kuna category mbili za wanachama wa CCM a) The Selfish b) The ignorant. a) The selfish. Hawa wanufaika wa mfumo moja kwa moja. Wanajua ubaya wote ila wana hofu na mabadiliko kwa kuwa yatagusa maslahi yao. Hawa kwa lugha ya kikombozi wanaitwa collaborators. Hawa pia walikuwa Kikwazo katika...
  19. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkikutana Kamati Kuu, jadilini njia mbadala ya kupambana na CCM. Dhulma ifike mwisho

    Kwa kuwa ccm wao wanaua, wanateka na kudhulmu haki za uchaguzi, basi chadema iangalie namna ya kukabiliana kivitendo na mauaji, utekaji na dhulma ya haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Dawa ya moto ni moto, na dawa ya figisu ni figisu. Wenyewe husema "ubaya hujibiwa kwa ubaya". Ili majogoo...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Songwe: Mwenyekiti CCM achomwa kisu cha utosi, Polisi yawakamata Viongozi wawili CHADEMA

    MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Kata ya Ikana, Wilayani Momba, Amos Sikamanga (41) amelazwa katika kituo cha afya Tunduma akidaiwa kujeruhwa vibaya kwa kuchomwa kisu cha utosi na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Tukio hilo limetokea Novemba 27, 2024 majira ya...
Back
Top Bottom