ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania CCM iache kutumia siasa kwenye nyumba za ibada

    Tumeshuhudia Abduli akiahidi kitita cha mchango wake kukarabati kanisa! Abduli mwanasiasa wa chini ya zulia amejijengea umaarufu wa kugawa vitita vya fedha hadharani huku wengi wetu hatujui biashara znayofanya zaidi ya kujua mtoto wa mama. Viongozi wa CCM ndio huajialika harakaharaka kwenye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnawalea sana wanachama wenu wanaokengeuka, igeni CCM

    Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama. Makala kwa kujua weakness ya CHADEMA na kutokana na boko lake la ebola, sasa wanataka kutumia baadhi ya makada...
  3. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lord Denning: Faida Nne za 'No Reforms No Election' kwa Ma-RC, ma-RAS, ma-DC, ma-DAS, ma-DED, Mawaziri, Spika, Wabunge na Madiwani wa CCM

    Endapo viongozi wa CCM watakubali kuahirisha Uchaguzi mkuu sasa hivi ili kuanzisha mchakato wa Katiba kwa ajili ya kufanya mageuzi ya kimfumo yanayopiganiwa na Watanzania watafaidika na mambo manne kama ifuatavyo: Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania No Reform no Election ni kama njia ya kuwapa ushindi mkubwa CCM

    Kama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi. Je utafiti umefanyika wa kutisha KUWA mbinu zenu zitasaidia mabadiliko ambayo yatasababisha uchaguzi huru na haki. Je utafiti umethibitisha kama reform isipofanyika mnauwezo wa kuzuia uchaguzi usifanyike...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukitaka kujua CCM ni wajinga, No Reform No Election ni kwa Faida yao na Taifa ila wanaikataa!

    Ukitaka kujua CCM ni wajinga sana ni uhalisia kwamba, Kampeni wanayoipinga ya No Reform No Election, kimsingi inawasaidia wao zaidi na inafaida kwao na kwa Taifa. Kampeni ya No Reform No Election ina faida zifuatazo kwa CCM na Taifa kwa ujumla; 1. Endapo Uchaguzi utahairishwa, Utawala wa Awamu...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kila miongo CCM kiatu kinaongezeka namba

    Tunapoelekea kama tutabaki nao milele na milele kuna siku tutaacha kuwa na kiatu na kuanza na nguo sasa.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tanga aonya wanaotaka kuvuruga amani mkoani humo, asema wainge kwa adabu zao

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdallah amewataka wanasiasa wa mkoa huo na wageni wanaoingia kuhakikisha wanalinda amani iliyopo kwa kuacha siasa ambazo zinaweza kuleta uvunjifu wa amani. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kura za Maoni ndani ya CCM na Changamoto za Mkurugenzi wa Kampuni ya Visima vya kuuza Mafuta Moshi Manispaa

    Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, mkurugenzi wa kampuni ya kuuza mafuta katika mji wa Moshi Manispaa anatarajiwa kuwa na jukumu muhimu katika kampeni za chama cha CCM. Hata hivyo, kuna hofu kubwa kuhusu athari za matokeo ya uchaguzi huu katika maisha yake binafsi na afya yake. Mkurugenzi...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukweli mchungu: Tusahau maendeleo ya kweli wakiendelea kutuongoza CCM

    Wakati deni la Taifa linakua kwa kasi ya kutisha, ukweli ni kwamba; 1. Watoto wetu bado wanasoma kwenye shule zenye miundombinu duni sana huku elimu yao ikiwa haijengi kesho bora kwao kwenye dunia hii ya ushindani, 2. Miradi ya maendeleo si barabara, si majengo inajengwa chini ya viwango kwa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto: Hatutaki Ma-DED, vyombo vya ulinzi na usalama kuingilia uchaguzi kwa sababu huu ni uchaguzi wa wote, si uchaguzi wa CCM

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesisitiza umuhimu wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi, akieleza kuwa haiwezekani uchaguzi kuwa huru na wa haki chini ya mfumo wa sasa. Akizungumza Jumamosi, Machi 29, 2025, Lindi Mjini mkoani Lindi, Zitto amesema kuwa ACT Wazalendo...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa CHADEMA Jimbo la Iringa Mjini ajiunga na CCM

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Iringa Mjini, Pascal Chibala amehamia na kutangazwa rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chibala ameeleza kuwa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi unaofanywa na CCM ni sababu kubwa ya kumfanya ahamie chama hicho kwani...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni vigumu kuelewa CCM wanapinga nini hasa kwenye No reform no election

    Inashangaza sana kwamba CCM wanapinga nini maana hata wenyewe hawajui wanapinga nini 1. Je mnapinga reforms ambayo ni mabadiliko ya mfumo wa sheria za kupiga kura 2. Je mnapinga uchaguzi kusubiri mabadiliko ya sheria 3. Mnapinga vyote Sasa kama sheria ambazo kila mwangalizi yeyote , wananchi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Familia ya kada CCM aliyetekwa yamuangukia Rais Samia

    Familia ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Daniel Chonchorio maarufu kama ‘Chox’, imemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala la kutoweka kwa mpendwa wao. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Machi, Msemaji wa Familia ya Chonchorio, Lucy Mdimi amesema...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya siasa ya CCM Kibiti yakagua miradi ya maji ya RUWASA ikihusisha visima 900 vya Mama, kwani mama anatoa hela mfukoni mwake?

    Wakuu Wananchi Wilayani Kibiti Mkoani Pwani Wametakiwa kuilinda vyema miradi ya maji ya wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini RUWASA waliyojengewa na Serikali ili iweze Kudumu na kuwanufaisha wengine na kuwa endelevu kwa kuitumia vizazi na vizazi. Wito huo umetolewa na Kamati ya...
  15. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Aibu kuu kwa nchi, CCM inalipia matangazo mengi ya mitandaoni kuwachafua upinzani, nchi zingine nguvu kubwa imeelekezwa katika kuzitangaza nchi husika

    Huu upuuzi unapatikana Tanzania tu, ukiingia mitandaoni hasa Twitter, Instagram, Threads utakutana na "Ads" nyingi za CCM kuichafua CHADEMA kuliko "Ads" zinazoitangaza nchi kwa mambo mbalimbali. "Ads" za nchi zingine kama Kenya, Rwanda na South Africa zimejikita kwenye kutangaza vivutio vya...
  16. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigoma: CCM yawatembeza mabalozi mia sita wa serikali za mitaa kukagua miradi ya maendeleo

    Karibu mabalozi mia sita wa Chama cha Mapinduzi CCM katika manispaa ya kigoma Ujiji wametembelea miradi mikubwa inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita katika mji wa Kigoma ili kujionea maendeleo ya miradi hiyo. Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma Cde. Christopher Palangyo...
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Siglada aliyepigwa na mlinzi

    CHAMA Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimemchangia Sh 1,553, 500 Katibu Mwenezi wa Bawacha Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo, kwa ajili ya kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya Peramiho, kutokana na kipigo. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Enyi wanasiasa hasa CCM sare za chama msibani ni za nini

    Nimekuwa nikashangaa sana kuona sare za chama msibani zimetamalaki!! Lakini Leo Nimeshangaa zaidi kuona sare zimevaliwa na watu wazima kabisa!! Ni Hivi zamani nilikuwa nikiona sare za chama (CCM) msibani nilikuwa nadhani huenda marehemu alikuwa mwanachama (mwenzao) Cha ajabu Leo kwenye...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Stand za Mabasi Kahama Mjini ni AIBU ya Taifa kwa niaba ya CCM

    Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi. Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la kitimoto, Yaani Mvua kidogo pamejaa tope, Wana Choo ni kichafu na Huduma suni, Yaani unakutana na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MBEYA: Ahamia CCM kutokana na mambo mazuri yalifanywa na chama hiko, ikiwemo ujenzi wa barabara

    Wakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM? Aliyerudisha kadi ya Chama amesema ameamua kurudi CCM kwani Chadema hawana mipango inayoeleweka na kwamba maendeleo yanayofanywa na Rais Samia jijini Mbeya sio ya kuyafumbia macho. Kupata matukio na taarifa...
Back
Top Bottom