Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Ingawa siwapendi Ccm kabisa, kabisa, ila nataka niwaambie, mtu mwelewa, mwenye utulivu kushughulikia hii issue na press ya Gwajima, ni Balozi NCHIMBI pekee!
Sasa nyie mtumieni Lucas!
Salaam!
Inaendelea live,
https://www.youtube.com/live/n-kmeazATjw?si=X3ij2Vo-Q0MJF8hQ
Askofu Gwajima amesema kumekuwa na mlolongo wa matukio ya watu kutekwa pamoja na kupotea hivyo kutokana na hayo ameamua kuitisha mkutano huu na waandishi wa habari kuongelea kuhusu suala hili na kisha kutoa...
Huu si mwaka wa kushindana kwa namna ilivyozoeleka ,watu hawataki kushindana kwa hoja wala kukosolewa kama ilivyokuwa zamani !
Mamlaka ziko tayari kwa ajili ya kuilinda mamlaka ,ukiwa mgombea unatafsiriwa kama gaidi au mhaini ,wanataka ukiwa mpinzani wao wakufundishe na jinsi ya kuongea, nini...
I will be short
ccm wafanye tu reform, huko mbele mambo yatakuwa magumu zaidi, kila siku nakutana na bango jipya online. tanzania amani amna
this is not good, once you allow external interference, you will cause more chaos and likely will cause more opposition funding ( divide and...
Kazi ya Chama cha CCM ni kuisimamia serikali yao itekeleze ilani yao ya uchaguzi.
Mpaka sasa naiona serikali yao ikituletea Xenophobia na nchi majirani zetu, vikwazo vya kiuchumi kutoka ulaya na marekani na mgawanyiko mkubwa ndani ya nchi kwa itikadi ya vyama kiasi cha kutishia amani na Umoja...
Au mtamuita kwenye Kamati ya Nidhamu?.
Gwajima ni mzuri akiwa anashambulia kutokea pembeni, ukweli ni kua Kwa Akili aliyonayo Gwajima, Hakustahili kabisa kua mwanaccm, alipaswa kua Mwanachadema .
Gwajima kawafutulia mbali CHAUMA, NJAA 55 NA GENGE LAO LA KITAHIRA LINALOONGOZWA NA WAHUNI WALIOKO...
Kuna taarifa niliona mahali kuwa CCM watakuwa ns Mkutan Mkuu tarehe 29 na 30 mwezi huu wa May.
Kama taarifa hii ni usahihi (niliipata kwa usahihi ) basi kuna jambo kubwa linaloweza kwenda kutokea ambalo linaweza kupindua maamuzi fulani makubwa ya awali.
Niweke wazi kuww Pess ya Gwajima ya leo...
Unajua..! Hapa lazima tukubaliane
Ndani ya CCM si wote ni wale wa ndiyo mzee, hata mambo yanapoharibika ni ndiyo mzee
Idadi ya wanaohoji mambo yanapoharibika inazidi kuongezeka ndani ya ccm
Mpaka July hapo, pataeleweka tu
Tunampenda ila itoshe kusema ahsante .
Kuwa kiongozi nikuwa sauti ya Mungu , naona sauti ya umungu kwake nikama imekaushwa na vilio vya kila pembe ya Tanzania.
Sisi kama wanaccm kunawakati huwa tunajilazimisha tu tuwe na vichwa ngumu pale tunapowaona wapinzani wakilia ,ila ukweli hata nasi...
Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !.
Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni .
hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani".
Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa...
https://youtu.be/8KZulT0i1nk?si=OmucN8PMwbOADTlj
Kwa unyama huu waliotendewa Wanasheria na Wanaharakati toka nchi za jirani zetu Kenya na Uganda kimeharibu kabisa uhusiano wa kidplomasia.
Tujiulize: Kulikuwa na ulazima gani wa kuwakamata, kuwatesa na kuwa dhaliilisha kingono baadhi yao? Mtu ni...
Ukitafakari hili la kubakwa kwa Mwanaharakati wa Uganda ni swala ambalo sio la kawaida hata Magu na Ubabe wake asingeruhusu, hata Kagame na Ubabe wake ambao Mama hajafikia hata robo asingeruhusu huu uhuni.
Muhuni kama San Abacha hakufikia hizi levo za Mama anazo fanya hizi ni hazijawa exist...
Katika kile kinachoonekana kuwa ni jaribio la kutangaza ushindi wa kisiasa, baadhi ya wanachama wa CCM wametamba kwamba wamefanikiwa kuibomoa CHADEMA. Hata hivyo, takwimu halisi za mwelekeo wa uondokaji wa viongozi na wajumbe ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani zinaonyesha picha tofauti...
Katika miezi na siku za karibuni, uwanja wa kisiasa nchini Tanzania umeendelea kubadilika kwa kasi, huku vyama vya upinzani vikionyesha mabadiliko ya kimkakati ambayo yanaweza kubeba athari kubwa kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Mojawapo ya mwenendo unaoibua maswali mengi ni Uhamaji wa Kasi...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini kimeonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara inayounganisha maeneo ya Ilomba na Machinjioni, chini ya mradi wa TACTIC awamu ya kwanza.
Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi huo, Mwenyekiti wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya.
Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katika mkutano huo na waandishi wa habari, CPA Makalla ameeleza kuwa Chama Cha...