ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM ni vigeugeu sana ni kipi mnashida kwa CHADEMA kama mnapendwa wananchi

    Kuna mambo ya kitoto sana ndani ya utawala wa CCM. Bado wanasiasa zile za maisha ya ujamaa miaka ya nyerere. Mikutano yao uwezi kusikia wanajidili mustakabali wa taifa wala maono wao kutwa nzima kuiongelea chadema na wapinzani. Uwezi kuona wanafatilia CCm ili kurekebisha mapungufu yao wao...
  2. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ila CCM tunachukiwa jamani!

    Kadri siku zinavyoenda tunazidi kuchukiwa. Mmeona comments za watu kuhusu mwenzetu aliyefariki huko Dodoma. Ni hatari. Yaani kila nikiongea na watu 10 nisiowajua kuhusu siasa, 7-8 kati yao wanatulalamikia CCM na waliobaki basi wanaisema vizuri kinafiki. Juzi nilikuwa na Mwenyekiti wa Wilaya...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa wa CCM kuja kukubaliana na CHADEMA juu ya NO REFORMS NO ELECTION

    Upinzani juu ya hili unaweza kuwa mkubwa lakini kwa hali ilivyo na inavyoendelea watakuwa hawana option bali kukubaliana na CHADEMA ili walau wapate nafasi ya kujipanga upya kwa yafuatayo 1. Vikao vya usuluhishi na mapambano ya ndani.. Kama ikitokea leo CHADEMA wakakubali kwenda kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Kati ya CCM na Samia nani tatizo au nyenzo kwa taifa letu

    Rais Samia Suluhu Hassan, kama kiongozi yeyote, hata tofauti, si rahisi kumuelezea. Wapo wanaomsifia hadi inatia kinyaa. Na wapo wanaomkosoa hadi inakuwa nongwa. Ukichuguza sintofahamu hii, unashindwa kuelewa kama tatizo ni yeye au CCM au vyote. Kwa maoni yako, nini tatizo au ubora kwa taifa...
  5. JamiiForums Tanzania CCM ina mapungufu yake, lakini haitakiwi kuondoka madarakani: Ukongwe wake na historia yake ni exceptional hili bara, chama kilindwe na kiboreshwe

    Naomba radhi mapema kwa yeyote atakayeona maudhui haya yanakwaza au kuumiza. Makala hii haikulengi kuchokoza, bali kuchangia fikra za kitaifa. Imani yangu ni kwamba hata Chama Cha Mapinduzi chenyewe — kama taasisi makini yenye historia ndefu ya uongozi — kitapata funzo au msukumo chanya kutoka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA wanashambulia CHADEMA badala ya CCM imekuwaje tena?

    Nimewasikiliza hawa jamaa naona kama kuna kuchanganyikiwa flani hivi au wana hasira za kutoka CHADEMA kiasi cha kupoteza Dira na kutumia Mikutano yao waliyoiandaa kwa Gharama kubwa kuisakama CHADEMA badala ya CCM, siyo kwamba wanarudia kosa walilofanya ACT? Lengo la Chama chochote cha Siasa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

    Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM. Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki. Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi haya matukio ya namna hii hupangwa na CCM, serikali au wavaa kaunda suit?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo naomba nianze na matukio matatu yalioanza kutokea katika chaguzi kuu tatu za Tanzania, ili kujua na kufahamu kuwa ni kina nani ambao huwa wanapanga mipango hii kila inapofikia karibu na uchaguzi mkuu wa Tanzania. Mwaka 2015, karibu na uchaguzi mkuu, vyama vya...
  9. JamiiForums Tanzania Wafuataoa CCM inaweza wapeleka ACT Wazalendo kwa mkopo

    1. Wenje 2. Sugu 3. Mungai yule kamanda kule Iringa 4. Yericko Nyerere 5. Mbowe mwenyewe 6. Gwajima 7. Mpina Luhanga 8. Covid 19 Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
  10. JamiiForums Tanzania Tuwe makini na sakata la Gwajima, huenda ni Move ya CCM ili atoke aende ACT akagombee Uraisi, kumbuka ya Membe

    Huenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana. Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM na mkewe akitoka kwenye mkutano wa halmashauri kuu yao apata ajali na kufariki hapohapo eneo la mji wa Mitumba - Dodoma

    Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake...
  12. JamiiForums Tanzania Wema bado wapo siyo wote wabaya Waziri Majaliwa pitia hapa utapata jibu la swali lako pale TBS Dodoma

    "Tukikubaliana na haya yanayoendelea yanayopelekea kwenda kuharibu amani ya nchi yetu tutakuja kujuta watanzania, kwasababu tangu wazee wetu wametengeneza amani kwenye nchi hii na kuruhusu uwepo wa vyama vya siasa tulikuwa vizuri na amani tele ila hizi chaguzi tatu za 2015, 2020, 2025 kumekua na...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa achangia ujenzi wa ofisi ya CCM ya kata ya Nemba

    UJENZI WA OFISI YA CCM NEMBA . Mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa amewaunga mkono wanaCCM wa kata ya nemba na Diwani wao Mh Mihayo Miganyalo katika kujenga ofisi ya kisasa ya kuwatumikia wanaCCM katani nemba . "Hili ni jambo kubwa sana nampongeza Diwani wenu Mihayo Miganyalo kwa hili...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kabla ya kampeni na hasa kabla ya uchaguzi ,CCM ijitahidi kupatana na wakuu wa dini,vinginevyo tutaanguka vibaya kama tume ni huru

    Ni dhahiri kwamba ule upendo wa dhati kutoka kwa wakuu wa dini kuipenda CCM unaweza kufikia .kwa inavyoonekana kuna mafarakano kati ya CCM , na wakuu wa dini. Hii ni hatari kwa chama tawala .hivi leo wakuu wote wa dini kwa umoja wao wa wazi na wa siri wakaamua kuwaambia waumini wao...
  15. JamiiForums Tanzania Hoja ambazo zinakwenda kuipasua CCM na kuinyima kura uchaguzi mkuu 2025

    Moja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi. Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo. Utekaji ubambikiaji kesi. Hii...
  16. JamiiForums Tanzania Miradi hiyo hiyo inakaguliwa na mwenge wa uhuru, hiyo hiyo kamati za Bunge, hiyo hiyo CCM, hiyo hiyo inakaguliwa na viongozi wa serikali

    Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo. Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu na miradi ikawa inakaguliwa na taasisi moja maalumu baada ya hapo inapeleka ripoti kwa wengine.
  17. JamiiForums Tanzania Hawa ndo Viongozi wetu wa CCM na kunasiku Huyu anaweza kuwa Mbunge, Waziri hata Rahis. Ndo Uhalisia

    Huyu sasa ndo mwanaccm halisi, anafaa kuwa Diwani,Mbunge,Waziri na Rahisi. Anakuwa Rahisi kabisa na anaongoza watanzania hawa ambao hawana makuu.
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ni CCM na CHADEMA ndivyo vyama vigumu kutikisika na mawimbi kirahisi

    Kwa maoni yangu hapa nchini ni vyama viwili tu vilivyokomaa na ni vigumu kuvitikisa kwa sababu zifuatazo: CCM ni chama kikongwe kimepitia misukosuko mingi kwa takribani miaka 30 pili ni chama chenye mizizi hadi vijijini kina wanachama almost 12m, tatu kina mifumo inayoeleweka na raslimali watu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania CCM Ni Dude Moja Kubwa Sana Ambalo Mtu na genge lako Huwezi Kushindana Nalo na Ukaliweza au Kulidhoofisha. Waliojaribu waliishia Kufedheheka

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni dude Moja Kubwa sana, ni dude ambalo mtu binafsi na genge lako au kikundi chako cha uchumia tumbo au usaka tonge au uroho wako wa madaraka huwezi kupambana nalo wala kushindana nalo wala kulidhoofisha wala kulihujumu wala kulidodosha wala kulitikisa wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…