ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Kibamba: Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai

    “Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba
  2. JamiiForums Tanzania CCM: No Cap, Time’s Up – Tunawajua Sasa

    kwa miaka kibao CCM wamekuwa wakituzuga na promises za kitoto kama vile hatujui. Walituletea story nyingi kwenye zile ilani zao fake — all sweet on paper but dead in real life. No kizzy, wamekalia kutoa hope za bandia kila baada ya miaka mitano eti “maendeleo,” lakini kumbe ni kujaza vichwa vya...
  3. JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli ni mtu ambaye analazimisha Mfumo umbembe wakati hana uwezo wa kiuongozi, CCM stay alert!

    To be honest Jesca Magufuli, she is not smart and visionary. Hakuna kitu kibaya Kama hawa watoto wa viongozi kuamini kuwa they deserves kuwa viongozi wao tu. Wananchi wa Chato mpigeni chini huyo Jesca Magufuli. Mirrad ayo unatumika vibaya.
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM msipotoshe umma. No reform no election sio kuharibu amani ya taifa hili. Katiba ya JMT ni mali ya Watanzania

    Kwanza natanguliza kusema kuwa Tundu Lissu yupo sahihi kwa manufaa ya umma. Pili katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya Watanzania wote na sio mali ya wanaCCM. Tatu tutapokuwa na sheria mama ambayo itawezesha Tanzania kuwa na uchaguzi huru na wenye haki. Maana yake viongozi...
  5. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango akutana na Dkt. Nchimbi

    MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM DAR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, amekutana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT yasema imepokea Wanachama 25 kutoka CCM, Jimbo la Kojani, Wilaya ya Wete Pemba

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amepokea Wanachama wapya 25 waliojiunga na Chama hicho kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kojani, Wilaya ya Wete Pemba. Vijana hao wamejiunga leo 28 Aprili 2025 katika mkutano wa hadhara unaoendelea muda huu katika...
  7. JamiiForums Tanzania Nyie watu Tumechoka na Ujinga wenu CCM - Tanzania siyo Backyard ya Familia zenu!

    Leo siandika kama mtu mstaarabu... naandika kama raia aliyekasirishwa Nchi hii imegeuzwa ya familia chache huku viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kijinga Unajua kinacho umiza zaidi? bado wanapewa madaraka juu juu na CCM eti waendelee kuihujumu Tanzania. We serious? Unampa mtu aliyeshindwa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa uchaguzi s/mitaa: wagombea wote wa ccm walikosea kujaza form tulilazimishwa tukawajazia.

    Nimekutana na aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji wa mwaka 2024 ambaye ni mkuu wa shule mojawapo katika mkoa wa tabora, kwa masikitiko makubwa ameeleza namna viongozi wa serikali walivyowalazimisha kujaza form za wagombea wote wa ccm ambazo zote zilikosewa kujazwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nyakati Zinakuja Ambapo Hakuna Atakayependa Ajulikane Aliwahi Kuwa Mwanachama Wa CCM.

    Uovu hata ulindwe namna gani, hauwezi kudumu. Utawala wa makaburu ulikuwa na kila kitu, kuanzia silaha, tekinolojia, vituo vya tafiti za kisayansi mpaka utajiri wa pesa. Makaburu walifanya tafiti mpaka kuja na dawa ambazo watu weusi waliofika kwenye hospitali za Serikali walipewa ili wasiweze...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtutura: ACT haijasajiliwa ili iwe mapambio kwa CCM

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitamani ACT Wazalendo kisusie uchaguzi, ili waweze kushinda kwa urahisi, lakini ACT imekataa na kuamua kuwakabili vilivyo. Akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mtina, kata ya...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT- Wazalendo: Tungesusia uchaguzi, CCM wangefanya sherehe, Chama pekee kinaikosesha usingizi CCM ni ACT- Wazalendo

    Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, kwenye ziara yake katika mkoa wa Ruvuma wilayani Tunduru ambapo amesema kuwa "Kama ACT Wazalendo wangesusia Uchaguzi wa 2025, CCM wangefurahia sana hadi kuchinja ng'ombe."
  12. JamiiForums Tanzania CCM ilipofikia ipo tayari kufanya lolote ili Tu iendelee kuwepo madarakani

    Nadhani ndugu zangu Wana jamii forum mnajionea kwa Haya yanayoendelea..mwanzoni ccm walijificha kwenye kichaka Cha 'amani" amani' amani" waliiminya haki huku wakiimba wimbo wa amani na yeyote yule ambae alionekana kuidai haki moja kwa moja alionekana ni mvujifu wa amani. Sasa gia hii kipindi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Wasira ni matokeo ya CCM kukataa tamaa na kuwa na hasira hivyo kuongea tu kutokana na frustrations

    Nimeona clip ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wasira katika akaunti ya Godbless Lema kwenye mrandao wa X ambapo Wasira anasikika akisema maneno haya: "CCM haitatoka madarakani mpaka Yesu arudi". Msingi wa kauli hii na ile ya hivi karibuni ya Waziri Mchengerwa na nyinginezo za aina hii...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais na watawala wezanko kutoka CCM, sauti ya viongozi wa Dini ni sauti ya Mungu

    NIMEAMBIWA na mizimu ya kwetu kyaibumba niwambie yakuwa viongozi wa Dini hawaongei wakiwa KWENYE MILANGO ya Gest house Bali wanaongea wakiwa KWENYE Madhabau ambayo hata wao watawala hawawezi Ikanyaga Madhabau bila ruhusa ya viongozi wa Dini. Mh Rais na watawala WENZAKO kutoka chama Cha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania CCM wakitaka wabaki madarakani wazingatie yafuatayo

    Mpka sasa hivi CCM wakitaka wabaki madarakani wazingatie yafuatayo. 1. Waufute mfumo wa kutumia CHAWA kwasababu wamekinaiwa na wananchi na hawapendwi tena kwahiyo hawana ushawishi no more. 2. Katika kura za maoni wawapitishe wagombea ambao ni wapya madarakani wasiwe wale ambao wameshahudumu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

    25 Aprili 2025 https://m.youtube.com/watch?v=wbk2XLS77j8 Ushindi haupatikani kwa kutegemea 'chawa' wala wingi wa kadi. Watu wana kadi na mapenzi kwa vyama hata vitatu. CCM iwe makini wanatakiwa wasiwe na mazoea. CHADEMA kimekaa muda mrefu kama chama cha siasa, sasa kimekuja kivingine kama...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ohoo! CCM waanza kumkana Samia juu ya ubabe wake kwa Chadema.

  18. JamiiForums Tanzania CCM wanaogopa sana haki kwanini?

    Tumefikia mahala watawala kutoka CCM hakuna kitu wanaogopa kama haki. Wako tayari kuteka, kuua ama kupoteza watu ili kuzuia haki. Tumefikaje hapa? Hali itakuwaje kama wataendelea kutawala miaka 15 au 20 ijayo? Kwanini hawataki kabisa haki itamalaki hapa nchini?
  19. N

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

    Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa...
  20. JamiiForums Tanzania CCM ni chama cha waoga wanaojifanya hawagopi

    Ukiwasikia wanavyojitapa hadharani utadhani ni chama kilichojaa watu mahiri na jasiri, lakini ni chama kilichojaa watu waoga kupindukia. Sheria wanazotunga nyingi zake ni kwa ajili ya kujihami na kuhami madaraka yao kiharamu. Hizi sarakasi zote za kutokuwa na Tume huru ya uchaguzi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…