Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!!
Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!.
Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema".
Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
Of course limekuwa jambo lakuhuzunisha sana lakini sina Budi maana binti alinieleza kabisa kwamba kabla sjaanza nae mahusiano wiki moja nyuma alishaconfirm na familia yake kwamba anaenda Polisi japo aliniambia kwamba hakutamani kwenda ila msisitizo wa Familia na yeye kusema ugumu wa maisha ,japo...
Kuna watu wakisikia Mpalestina/muisrael kauawa huwa wanatamani kulipiza kisasi papo hapo.
Lakini watanzania hao hao kina Josephat Gwajima ama Sheikh Ponda Issa Ponda wanapotoa orodha ya watu waliotekwa, kuuawa au kupotea, huoni wakiwa na hasira kama hizo.
Ina maana watanzania wanathamini zaidi...
Huwa navutika kumfuatilia kila anapofanya mkutano wa kisiasa, matokeo yake naishia kuwa dissapointed,
Hauishi mkutano hajataja Heche, CHADEMA n.k
Wataalamu huko CCM msaidieni huyu mzee wetu
Wengine hatuna vyama vya siasa tunajitahidi kufatilia sera zenu ili tuone kama tunaweza kuwaunga mkono.
Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki.
Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Viashiria vyote vinaonesha hivyo. Tunao mitaani, ndugu zetu, tena wakubwa wanasema bila figisu zilizofanyika, Mama asingelipita! Alikuwa anabwagwa katika round ya kwanza!
19 Januari 2025
Na Humphrey Mgonja
CHANZO CHA PICHA,CCM
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha...
Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba akiwasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2025/2026 "Nisisitize tena, Serikali chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi imedhamiria kwa dhati kuhakikisha maendeleo...
Wadau wa jukwaa hili, bila shaka mko vizuri mnafuatilia bunge la bajeti.
Kwa macho ya rohoni, ninaona kile kilifanyika CHADEMA, kitajirudia CCM.
Mtakumbuka kwamba Mh. TAL hakuwa na kusudi la kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama ila alilazimika kufanya hivyo kwa kuwa M/kiti aliyekuwepo muda...
Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku.
Akiongea na...
Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima...
Ukifuatilia mikutano yote cha huyu Amosi Makalla, utujua kuwa huyu jamaa, anaipenda sana chadema, akilala, uck ,akila chakula, anaoga mda wote ana tamka chadema, chadema, hii inathibithibisha kwenye mikutano yake kila akisimama anasema sera za chadema.
Huu ndo ukweli mchungu CCM wote kama...
Ni kipi hasa kimewavutia zaidi vyama vya wapinzani nchini hata kujizuia kufikiria kusimamisha wagombea urais kupitia vyama vyao vya siasa, na kutoa fursa hiyo adhimu kwa kuunga mkono azma ya Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya uraisi wa JMT katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
Kwa Ndugu, Stephen Wasira, na CPA Amos Makala.
Kwa heshima na taadhima, naomba kutoa ushauri huu wa bure kwa viongozi wawili muhimu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Stephen Wasira (Makamu Mwenyekiti wa CCM) na CPA Amos Makala (Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM):
Katika mikutano yenu...
1. Ndani ya CCM hakupo shwari kuna mpasuko mkubwa.
2. Wanalalamika mgombea wao kujiteua yeye mwenyewe kimaigizo ndio maana hakuna anaye mnadi zaidi ya machawa.
3. Serikalini nao wamechoshwa na CCM hasa uongozi wa sasa ndio maana wanafanya mambo hovyo kuichafua CCM.
4. Vyombo vya ulinzi navyo...
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya jamii ya Watanzania ambao watoto wao wanaathirika na ukosefu mkubwa wa ajira.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya wanajamii wa Tanzania ambao hawapati huduma bora na madawa hospitali.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola...
Shauku ya vijana wengi waliofikisha umri wa miaka 18 hivi sasa nchini ni kuandika historia ya kua nao wanashiriki kwa mara ya kwanza kuandika historia ya kuamua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao kupitia uchaguzi mkuu wa october 2025.
Wengi wa vijana hao wana matarajio makubwa ya kutimiza...
GT
Niwapongeze Chadema kwa energy na ubunifu mkubwa.mara zote comfort.zote hudumaza ubongo ndicho kinachowapata CCM.
Hawafikiri kabisa nje ya box. NRNE walipaswa waione mapema kabisa na kujipanga.sasa naona wanakuja na tunatick sijui nani kawaamusha mchana huu aha 😆 😄 wakti NRNE inakaribia...
WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii!
Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja!
Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani!
Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...