ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Rose Vicent Busiga achukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya CCM kugombea ubunge, Mbogwe

    Aliyekuwa mbunge wa viti maalum mkoa wa Geita, Rose Vicent Busiga leo Juni 30, 2025 amechukua na kurejesha rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kupitishwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Mbogwe katika uchaguzi mkuu Wa mwaka huu 2025. Zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso achukua fomu ya kuomba CCM kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha anayemaliza muda wake Cecilia Paresso amechukuwa fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha Paresso amekabidhiwa fomu hizo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Karatu hivi leo na Katibu wa Chama Cha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Joshua Nassari alitaka tena Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CCM

    "Sasa nafikiri imefika muda ni wakati wa uchaguzi na mwaka wa uchaguzi na mimi nimewiwa kuzisikiliza sauti za watu wa Meru. Nimezisikiliza kisawasawa kwahiyo nimedhamiria na nimekuja kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya kiti cha ubunge Jimbo la Arumeru...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada CCM Amandus Jordan Tembo, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Songea mjini

    Kada wa chama cha mapinduzi ( CCM) Amandus Jordan Tembo, juni 28,2025 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Songea mjini katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi oktaba mwaka huu Toronto mdau wa maendeleo hapa Songea mjini na mwanachama hai wa chama cha...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM vita ya kuwania kuteuliwa kugombea ubunge inaweza kuwafanya wakaumizana sana

    Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la Vita vyao wenyewe kwa wenyewe vinafunua siri nyingi sana za huko nyuma .. Ni faida ya baadae huko...
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka leo hii kati ya wale waliochukua Fomu kuwania Ubunge kupitia CCM ambao ni wapya kabisa sijaona ambaye anafaa

    Mpaka leo hii kati ya wale waliochukua Fomu kuwania Ubunge kupitia CCM ambao ni wapya kabisa sijaona ambaye anafaa Hivi kwanini CCM safari hii imeamua Kujidhalilisha hivi na kukubali hata kila mtu achukue fomu wachukue Fomu?
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yussuf Kaiza Makame arudi kwao Jimbo la Mtambile kuomba ridhaa ya CCM

    Wakati zoezi la uchukuaji na urudishaji fomu Chama cha Mapinduzi (CCM) likiendelea kada wa Chama hicho Yussuf Kaiza Makame nae amejitosa kuwania kiti cha Uwakilishi Jimbo la Mtambile Mkoa wa kusini Pemba. Kabla ya hapo Kaiza amewahi kuwa Mkurugenzi wa Baraza la Mji Mkoani na kuitumikia vyema...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupata wagombea ndani ya CCM uwe kama 2020

    Wagombea kwa nafasi za ubunge na udiwani mchujo wake usizingatie nafasi ya kwanza kwenye kura za wajumbe. Kwenye udiwani tafuteni watu kama viongozi wa kiroho, watendaji, wakuu wa shule na watu mashuhuri watawapatia wagombea sahihi. Ubunge pia iwe hivyo hivyo. Hata mgombea mwenye kura chache...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Gwajima kwa haya yaliyofanywa na Polisi kanisani kwako jana na wewe kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge CCM wewe ni mwehu?!

    Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu! Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!! Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020–2025 Unathibitisha Uwajibikaji wa Kisera au Ni Taswira ya Uongo wa Kimuundo kwa Umma wa Watanzania?

    0-0Wapambe wa demokrasia, kwenye Ilani ya CCM ya 2020–2025 kulikuwapo kipengele kilidhamiria kuunda ajira milioni 7 kwa vijana kupitia empowerment, training na access to low‑interest loans  lakini hadi sasa, yawapo jobless wengi; young people wengi bado hawajafikiwa. 209-1Zaidi, kulikuwapo...
  11. F

    JamiiForums Tanzania CCM, CCM, CCM Nimewaita mara 3. Ongezeni siku za kuchukua fomu. Mnapoteza viongozi wazuri wengi na pia mapato

    Dear comrades, nimewaita mara tatu hapo juu. Kuna watu wengi ni viongozi wazuri sana ila laki 5 sio rahisi sana kwao. Tusiwapoteze!!!. Mmeweka siku chache sana na huku wengine bado wanajikusanya kusaka laki 5 za fomu za ubunge. Comrades Mheshimiwa Rais Samia, Dr Nchimbi, CPA Makala na Mongela...
  12. JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM Arusha Mjini huenda watatuletea Waziri Mkuu Mpya 2025-2030

    NI kama mmepewa Nafasi ya kutupatia Waziri Mkuu mpya 2025-2030. Pole Gambo, pole sana
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yatafuta KIKI uchukuaji wa fomu za ubunge ni sehemu ya contents za chama

    Mambo vp wakuu.. Kuna hili linaloendelea nchini la uchukuaji wa fomu za kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM.. Kwa sisi content creators tumeshtukia mchongo na tumegundua ni sehemu ya contents za kufanya watu wafatilie yanayoendelea kwenye chama.. Kwa lugha ya mitaani tunasema chama kimetafuta...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 No Reforms, No Election imekuwa ikipigwa vita na CCM kwasababu inahamasisha ususiaji wa uchaguzi

    1. Inatilia shaka uhalali wa uchaguzi Kauli mbiu hii inaashiria kuwa mazingira ya uchaguzi siyo huru wala ya haki bila marekebisho ya kisiasa na kisheria. Hii ni changamoto kubwa kwa CCM ambayo ndiyo chama tawala na huhesabiwa kuwa mratibu mkuu wa mazingira ya kisiasa. 2. Inahamasisha...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rehema Mandingo ametia nia kuwania Udiwani kwenye kata ya Mikocheni kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM

    Cde. Rehema Mandingo ametia nia kuwania Udiwani kwenye kata ya Mikocheni kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM. Source: Clouds TV
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sophia Mwakagenda ajitosa kuomba ridhaa jimbo la Rungwe kupitia CCM

    Siku chache baada ya kutangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Sophia Mwakagenda leo Juni 29, 2025 amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Rungwe kupitia CCM. Pia soma Pre GE2025 - Mbunge Sophia Mwakagenda atangaza...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

    Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana . Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa. Maazimio yalikuwa. -Vyama...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa namna wanachama wa CCM wanavyojitokeza kuchukua fomu hakika anayetaka vyama vya upinzani vife ni adui namba moja wa taifa

    Hawa wanaojiita Makada wengi wao ni incompetent kuanzia Mahera mpaka shilole. Taifa linalokataa vyama vya upinzani ni taifa mfu na mwendo wa maendeleo yake ni wa kinyumenyume. Huwezi ukapasua kioo kinachoonesha tasirwa Yako kwa sababu tu kimeonyesha kuwa una kovu. Badala ya kutibu kovu wewe...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama kuna Suprise ya kuisimamisha dk 5 ni kwa CHADEMA kutanganza wote kujiunga na CCM na kuchukua fomu za ubunge kupitia CCM

    Nimemuuliza Grok uwezekano wa CHADEMA kuzuia Uchaguzi. Imejibu hizo ni ndoto za mchana. Nikauliza tena iwapo CHADEMA Lissu imeamua kupita ktk hoja cha Chaumma kuwa Kususia Uchaguzi haukuwa mkakati wa CHADEMA bali ilikuwa ni kauli mbiu tu ya kumtisha Kasongo (ngiri) akiwa ndani ya Shimo. Akajibu...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Longolela achukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM jimbo la Wanging'ombe

    Mdau wa maendeleo jimbo la Wanging'ombe johnlongolela mara baada ya kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM, amesema ana imani chama chake kitatenda haki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…