Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM?
Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
2005
Top 3 waliochujwa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr Salim Ahmed Salim
Prof Mark James Mwandosya
Wagombea wengine
Frederick Tluway Sumaye
John Samwel Malecela
Getrude Mongela
Patrick Chokala
Joseph Sinde Warioba
Dr Ali Mohamed Shein
Idd Simba
Dr Abdallah Kigoda
Dr William Shija
Source
2015...
CCM OYEEEEEE
👉OYEEEEEEEEE
CCM SAFIIIIIIIIII
SAAAAFIIIIIIIIIIIII
Ukweli mtupu ni kwamba anae weza kuitoa CCM madarakani ni Mungu pekeee
CCM mitano tena SAMIA SULUHU HASSAN MITANO TENA
Kwa heshima na taadhima , Nina ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa lengo la kufikisha salamu zangu njema kwa Chama Cha Mapinduzi
Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayesaidia kunifanikishia suala hili.
Kwa mawasiliano: 0715804254
Ni mambo yanayoanzaga kidogo kidogo lakini ghafla yanakuwa utamaduni
2030 sio mbali inaweza kutokea viongozi wakubwa wenye ushawisji kwenye chama wakasema tuna imani na mtu flani (waliemuandaa), apite bila kupingwa.
Na sidhani kama kuna mtu mwenye uthubutu wa kuinuka kupinga, mkutano uliopita...
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.
CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.
CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo...
Ndugu zangu Watanzania,
Mmewahi kujiuliza ni kwanini Rais Samia akiwa makamu wa Rais Alipangiwa ziara na kuendelea na ziara ndefu Mkoani Tanga mpaka siku anapewa taarifa za kifo cha Hayati Dkt Magufuli ili sasa yeye ndiye autangazie Umma wa Watanzania juu ya taarifa hiyo nzito ambayo haijawahi...
CCM wameanza kufoji kura huko Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani baada ya kukamarwa kura feki za udiwani wa viti Maalum yaani CCM ni majanga baada sasa wao kwa wao.
Kikwete akiachwa huko CCM mtakuja kujuta. Mna puuza wazalendo wakina Warioba na kumsililiza huyu mzeee mbinafsi atawamaliza. Kikwete anatafuta manufaa yake na familia yake tu hajali lingine.
Msishangae yule Mama Samia wa 2021-2022 yuko wapi ametekwa na team kikwete . Yeye anataka tu awaache...
Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.
Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni...
Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru.
Kuna uvunjifu mkubwa wa katiba ya CCM hasa kipindi hiki ikiwemo mchakato wa wagombeaji kupatikana kinyume cha katiba.
kama mtu atavunja katiba ya chama basi atavunja katiba ya nchi hatoweza kuheshimu ni...
Wasalaam!!
1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia...
Anaandika Kigogo
NYUFA NI KUBWA SANA HATA MFICHE VIPI ,BASHE AMEITIA CCM MATATANI
Kitendo cha kuahirishwa vikao vya juu kabisa vya CCM kwenye kufanya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025 ni jambo zito na gumu sana kuwahi kutokea kwenye uhai wa CCM.
Sababu za kitoto...
Dodoma – Januari 2025
Mwaka 2025 utabaki kwenye historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama mwaka ulioshuhudia moja ya mijadala ya ndani ya chama yenye mvuto mkubwa wa kisiasa, ujasiri wa ndani, na tafakuri ya kidemokrasia. Tukio hilo lilitokea katika Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika jijini...
Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake.
Mwalimu Nyerere, kama mwanzilishi wa TANU (ambayo baadaye ilijumuika na ASP na kuwa CCM mwaka 1977)...
CCM Nzasa Watishia Kukatwa Mgombea Wao Hawatashiriki Uchaguzi
Chama cha Mapinduzi (CCM) Nzasa wametoa salamu kali, wakisema kuwa iwapo mgombea wao atakatwa na kwa sababu zozote, hawatashiriki uchaguzi wa Oktoba 2025. Kauli hii inakuja wakati nchi ikijiandaa kwa uchaguzi wa urais, ubunge na...