ccm bara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TODAYS

    Baada ya Hii Picha Tunasubiri, Mseme Jambo!

  2. bahati93

    Wafanyabiashara wa hizi bidhaa mjitafakari

    Habari wanajamii Kuna utitiri wa maduka mengi sana hapa bongo, mbaya zaidi mengi ya haya maduka yanauza bidhaa nyingi ambazo hazina manufaa kwa taifa! Kinachoniumiza ni kuona kutokuwepo wa Ubinadamu kila nikilinganisha thamani ya kinachouzwa na uzuri wa duka. Hii kwa wale wanauza Pombe kali...
  3. R

    GE2025 CCM: Marufuku wagombea kwenda na wapambe na msafara wa magari kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani

    Chama Cha Mapinduzi kimeeleza sababu za kuzuia shamrashamra za matarumbeta,ngoma,wapambe na pilipiki katika kuchukua na kurudisha fomu za ubunge na udiwani Taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu wa NEC Organaizesheni, Issa Haji Ussi kuhusu mwongozo wa na maelekezo kuhusu utaratibu wa uchukuaji...
  4. Fbn

    Ni wazi sasa CCM mnajulikana kama wanavyo julikana nchi zilizoshindwa nchi kidemokrasia

    Ccm wanazani kuwa habari zao zipo ndani hapa TZ. Nchi nyingi zishajua kuwa hapa TZ hakuna la maana. Washatujua kuwa CCM ni genge la wahuni na wajinga. Tukicheka congo,sudani na kwengine basi na sisi tunachekwa kwa mengi
  5. Mi mi

    PreGE2025 Watanzania wasije matumaini hewa kanakwamba siku CCM ikifurumushwa basi Tanzania ndio itaendelea kwa kasi jibu ni hapana!

    Watanzania wana ongea ongea sana maneno mengi, lawama nyingi kwa serikali iliyopo madarakani(CCM) Ni jambo zuri kwa sababu ni haki yao na mdomo ni mali yao. Lakini Watanzania wengi kujifanya kwao sijui wazalendo, wana uchungu sana na nchi ni maigizo tu ya kukosa vipande vya mate katika keki ya...
  6. Tlaatlaah

    PreGE2025 Kasi ya mikutano ya kisiasa ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Stephen Wasira imewakosesha wapinzani agenda

    Kasi ya Wasira CCM imeharibu mipango, malengo na uelekeo wa upinzani kabisa nchini. Imewadhoofisha na kuwapotezea matumani kabisa, kiasi kwamba wamekosa na hawajui la kufanya. Kwa kipindi kifupi mno, na ni katika maeneo machache sana nchini, ziara za makamu mwenyekiti wa CCM taifa bara...
  7. Heparin

    PreGE2025 Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa kuanzia leo Februari 10, 2025 kwa tuhuma za kukiuka Katiba na maadili ya Chama hicho. Hatua ya kufukuzwa kwa Malisa imeelezwa kuwa inatokana na kauli alizokuwa akizitoa kupinga...
  8. Mindyou

    PreGE2025 Mbunge wa zamani wa Sumbawanga: Viongozi msing'ang'anie kukaa bungeni muda mrefu

    Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa M bunge wa Sumbawanga, Paul Kimiti, amesema wanasiasa wanatakiwa kukaa bungeni kwa muda maalum na kuondoka wakiwa bado wanahitajika na wananchi, badala ya kusubiri hadi wachokwe. Kimiti amesema si vizuri kukaa muda mrefu bungeni, na kwamba hata yeye aliamua...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wasira: CHADEMA Urais mtauona kwenye Runinga pekee

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia chochote katika nafasi ya urais. Soma Pia: Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 Wassira: Hatukuahidi kuachia madaraka baada ya muda tulipopata uhuru. Hatutumii jeshi kubaki madarakani, tunachaguliwa

    Wakuu, Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wassira mkoani Dar yanaendelea wakati huumkoani Dar es Salaam January 26, 2025. Wacha tuone nini watatuchia na neno gani leo Jumapili tulivu. https://www.youtube.com/live/4P5xbgdNV3w?si=oQJ_bTnSNJUw_luk Wasira amesema baada ya kupata...
  11. TODAYS

    Huu Ndiyo Ukweli; Uchaguzi wa CHADEMA Ndiyo Uchaguzi wa Kinyonge Hivi?

    Safari ya imeanza 2025, hapa yupo Samia Suluhu pembeni Nchimbi. Nyuma hapo, bado kugumu ila kesho jogoo anawika safari nyingine inaanza. Toka Dodoma tufanye uchaguzi na kuwapitisha miamba miwili sijaona block yoyote kutuzuia miezi michache ijayo. Niseme kweli tupu, kabla ya Dodoma na hata...
  12. Mlalamikaji daily

    PreGE2025 Je Media za Tanzania zitaipa chadema Airtime ya kutosha kwenye mkutano wao kama ilivyofanya kwa CCM?

    Wakuu kesho ndio kesho.. Je serikali itakubali chadema ionekane? Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live" Kama walivyofanya kwa CCM? Binafsi naona matangazo yakikatwa katikati
  13. Cute Wife

    PreGE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

    Habari Wakuu, Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025. Nani kumrithi Kinana? https://www.youtube.com/live/kGNDo4TvGpI?si=ud91is-_-iElNfhO Makundi mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa ndani na nje ya nchi, wasanii, taasisi za dini...
  14. Mkalukungone Mwamba

    Makalla: Tutafunga screen kwenye mikoa ili watu wafuatilie uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

    Sasa kumekucha CCM wanajambo lao! Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa! ===================== Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha...
  15. Li ngunda ngali

    Tetesi: Mizengo Peter Pinda ndiye Makamu M/kiti CCM Bara

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Mizengo Peter Pinda, ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara anayetarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Ndugu Mizengo anatarajiwa kupigiwa kura za ndiyo ama hapana mapema hivi karibuni kwenye Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika hivi...
  16. Yoda

    Pendekezo: Wenyeviti wa mikoa na wilaya wa CCM wateuliwe na Mwenyekiti Taifa

    Ushauri wangu kwa chama tawala, Ili kuimarisha umoja zaidi, kupunguza mianya ya rushwa, kuongeza udhibiti katika chama na kuwezesha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa ufanisi na ubora zaidi ni vyema wenyeviti wa chama mkoa na wilaya wakateuliwa na Mwenyekiti wa chama Taifa. Mfumo huu...
  17. Gabeji

    CCM ya sasa ni Chama cha Wafanyabiashara

    Ndugu zang ccm imepoteza mvuto tangu CHAMA hiki kilipovamiwa na wanfanya biashara wakubwa miaka ya 1990s, kinyume na malengo ya kuasisiwa kwake, si CHAMA CHA wafanya kazi na wakulima, ni CHAMA CHA wafanyabiashara, waliamua kuingia huko I'li kujificha juu ya uovu wao. Hivyo basi ccm ya leo sio...
  18. PendoLyimo

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Rais Samia yupo kwa mujibu wa katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa katiba

    “Kuna vitu ukisema unavyojua kabisa haviwezekani, Rais Samia yupo pale kwa mujibu wa Katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba, tunaweka uchaguzi miaka mitanomitano ili wale watakaokuwa hawaridhiki ndani ya miaka mitano wapate nafasi nyingine ya kuja kuchagua sio katikati ya msimu" “Na...
  19. mwanamwana

    Ali Bananga: UVCCM tutalinda Chama, Wanachama na mali za CCM kwa gharama za damu zetu

    Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga amesema chama hicho kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) wamejipanga kujibu mapigo dhidi ya mtu yeyote wakiwemo makada wa vyama vya upinzani watakaotumia vibaya uhuru wa kufanya siasa kumtukana Rais wa...
  20. R

    PreGE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

    Mimi nabashiri Msigwa:p:p:p:p PIA SOMA - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Back
Top Bottom