cbe

College of Business Education (CBE): A prominent higher learning institution in Tanzania with its main campus right in Dar es Salaam (along with campuses in Dodoma, Mwanza, and Mbeya). It offers programs in business administration, accountancy, marketing, and procurement.
  1. JamiiForums Tanzania FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #CAFCL ⚽️ Cbe SA πŸ†š Yanga SC πŸ“† 14.09.2024 🏟 Abebe Bikila Stadium πŸ•– 15:00 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya CBE SA FC mpira umeanza dakika ya 2 dube anakosa nafasi ya wazi dakika ya 15 pacome anafanya mashambulizi dakika ya 25 0-0 dakika ya 29 cbe wanakosa nafasi ya wazi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mastaa yanga watua Ethiopia kukipiga na CBE

    Kikosi cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo alifajiri kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wachezaji walioondoka leo ni wale ambao walikuwa hawana majukumu kwenye timu zao za taifa, wakati mastaa kama Djigui Diarra...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha CBE Dar es Salaam hakajapeleka matokeo yangu NACTEVET ili niombe AVN

    Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree. Nimejaribu kwenda mara nyingi lakini jibu nalojibiwa tunafanyia kazi, sasa ni miezi miwili nahangaika maana mimi ni...
  4. JamiiForums Tanzania ICT Officer (Webmaster) at CBE

    JOB ADVERTISEMENT (INTERNS) The College of Business Education was established by the College of Business Education Act CAP 315 R.E. 2002 (CBE Act). It is a Public Higher Learning Institution which provides Teaching, Research and Consultancy Services in the fields of Accountancy, Procurement and...
  5. JamiiForums Tanzania Various Posts at CBE March, 2024

    he College of Business Education was established by the College of Business Education Act CAP 315 R.E. 2002 (CBE Act). It is a Public Higher Learning Institution which provides Teaching, Research and Consultancy Services in the fields of Accountancy, Procurement and Supplies Management...
  6. JamiiForums Tanzania Assistant Nursing Officer II (4 Posts) at CBE November, 2023

    Position: Assistant Nursing Officer II (4 Posts) Qualifications and Experience: Holder of Diploma in one of the following fields; Nursing, Midwifery or equivalent qualifications from recognized institutions and has been registered with Tanzania Nurses and Midwives Council. Duties and...
  7. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)

    TEUZI WA MKUU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA - CΠ’Π• 21 Novemba, 2023, DODOMA Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), kwa Mamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa Sheria ya Chuo cha Elimu ya Biashara Sura 315 na marekebisho yake ya mwaka 2020 kifungu 14(6B) (1) amemteua Prof. Edda...
  8. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe Afanya Ziara Chuo cha CBE & TRIDO

    NAIBU WAZIRI KIGAHE AFANYA ZIARA CHUO CHA CBE & TRIDO Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la Metrology Annex unaoendelea katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam. Hayo yamebainishwa wakati wa ziara ya...
  9. JamiiForums Tanzania Driver II (3 Posts) at CBE

    Position: Driver II (3 Posts) Qualifications and Experience Holder of Secondary Education Certificate with passes in Kiswahili and English having a valid Driving License Class C or E and one-year Basic Driving Course plus driving experience of at least one year without causing accidents...
  10. JamiiForums Tanzania ICT Officer II (System Security) at CBE

    Position: ICT Officer II (System Security) Qualifications and Experience Holder of Bachelor Degree in one of the following fields; Computer Science, Information Systems, Information Technology, Computer Engineering, Telecommunication, Electronics or equivalent computer qualifications from...
  11. JamiiForums Tanzania ICT Officer II (Programming) at CBE

    Position: ICT Officer II (Programming) Duties and Responsibilities Software System Developers: To assist in capturing user Customer Requirement Specifications- CRS; To perform systems analysis and design; To implement software systems (Write and document code); To perform systems testing...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri: Nimekosea kulipia control ya malipo ya mwanafunzi wa Chuo cha CBE

    Habari za Leo wadau, Mimi ni Wakala. Leo dada wa kazini amekosea kulipia control number ambayo ni ada ya mwanafunzi wa CBE akamlipia mwanafunzi mwingine wa CBE ambae sio alietoa pesa. Naomba kuuliza hatua za kufuata Ili nitatue changamoto hii, naomba kuwasilisha. MREJESHO: Nilifuta ushauri wa...
  13. JamiiForums Tanzania Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) kuingia mkataba na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Kufundisha wanafunzi

    Utangulizi Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo. Matokeo ya Utafiti 59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
  14. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

    Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza. Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtu mwenye Post Gradute ya CBE Supply Chain

    Habari wana bodi, Kama una kijana nahitaji awe na PGD ya Supply Chain preferable from CBE. Anichek PM nimpe email atume CV urgent.
  16. JamiiForums Tanzania CBE Dar es Salaam kuna nini?

    Kuna uwezekano mkubwa kwa wanafunzi wa CBE Dar es salaam wa mwaka 2022 waliofaulu kujiunga na vyuo vikuu hawatapata fursa hiyo. Tafadhali wenye taarifa kamili tujuzeni. Wazazi tumelipia watoto ada miaka miwili Ili kuwapatia watoto fursa za kujiendeleza kielimu ila tunashangazwa na mwenendo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Maombi ya kujiunga na chuo CBE

    Wakati nafanya application steps zote nimeletewa mpaka ku submit, lakini hatua ya malipo sijaletewa. Sijaelewa kama ndio ipo hivyo kwa wote au ni mimi tu. Maombi yameenda bila malipo.
  18. JamiiForums Tanzania Mbeya: Waziri mkuu Majaliwa aweka jiwe la msingi Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)

    Leo tarehe 30/11/2021 waziri mkuu wa Tanzania kassimu Majaliwa ameweka jiwe la msingi katika eneo jipya kilipo jengwa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Chuo hicho chenye matawi manne kilifungua tawi lake la nne katika jiji la Mbeya mnamo Mwaka 2013. Katika kipindi chote hicho CBE walikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Hostel Chuo cha CBE

    Wakuu natafuta nafasi ya kubebwa hapo CBE Dar es Salaam. Mwenye connection tuwasiliane. Ahsanteni.
  20. JamiiForums Tanzania Registrar at CBE

    POST: REGISTRAR – 1 POST POST CATEGORY(S): EDUCATION AND TRAINING, HR & ADMINISTRATION, SOCIOLOGY, POLITICAL SCIENCE, COMMUNITY AND SOCIAL DEVELOPMENT EMPLOYER: College of Business Education (CBE) APPLICATION TIMELINE: 2021-08-19 TO 2021-09-02 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES To...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…