canada

  1. JamiiForums Tanzania Baada ya Marekani, Mataifa ya Ulaya na Canada wanafuata

    Kwa nchi zinazojali utu, huwezi kushilikiana na serikali katili ya CCM. Kwa sasa ipi tofauti ya CCM na vikundi vya kigaidi kama Hamas, ISS, na Boko Haram. Maana wote wanaua,wote wanateka,wote wanalawiti, wote hawafati demokrasia. Kama ilivyotokea Zimbabwe, haiwezekani US akupige Pini then UK...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kikosi cha wachezaji 26 cha Uingereza ( England ) Chini ya Thomas Tuchel kuelekea kombe la Dunia 2026 ( USA , Mexico , Canada )

    Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa soka ulimwenguni ( mashabiki ) kukosekana kwa Wharton toka Cyrstal Palace , Levi Colwill toka...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special Thread: FIFA World Cup 2026 - Canada, Mexico & USA

    🏆 FIFA World Cup 2026 Finals Uzi Maalum. 2026 FIFA World Cup itakuwa toleo la kihistoria la Kombe la Dunia kutokana na mabadiliko makubwa katika mfumo wa mashindano. 🌍 Waandaaji Mashindano yataandaliwa kwa pamoja na: United States Canada Mexico Hii ni mara ya kwanza World Cup kuandaliwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Takribani Watu 8 wauawa Canada na wengine kujeruhiwa kwa bastola

    Mshambuliaji aliwaua watu angalau wanane na kujeruhi wengi zaidi katika shule ya upili katika mji mdogo wa mlima wa Tumbler Ridge, Canada, siku ya Jumanne. Mshukiwa ni mwanamke mwenye umri wa miaka 18 ambaye alikuwa ameacha shule hiyo takriban miaka minne iliyopita, polisi walisema. Alizaliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani yaonya yaweza kupeleka ndege za kivita angani mwa Canada ikiwa Ottawa itapunguza ununuzi wa F-35

    Marekani imetoa onyo adimu na la moja kwa moja kwa Canada, ikisema kuwa ndege zake za kivita zinaweza kupelekwa katika anga ya Canada iwapo Ottawa itapunguza au kufuta mpango wake wa kununua ndege 88 za kivita aina ya F-35 (stealth fighter jets). Kwa mujibu wa maafisa wa Marekani, uamuzi wa...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Canada na Ufaransa zawalilia wawekezaji wa Kichina kuwekeza kwenye mataifa yao

    Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani. The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Canada na Norway waungana kulaani kinachoendelea Tanzania. Wataka Mamlaka kuzingatia mikataba ya Kimataifa

  8. K

    JamiiForums Tanzania Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia huko Canada!!! ni snitch!

    Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia yake huko Canada!!! ni snitch mkubwa Canada mwongo na mpenda pesa za deal. Hata jumuia ya watanzania ambako kuna familia ya Lema na Wenje hawataki kumsikia!. Hakuna anayeshangaza kila mtu anajua alikuwa dalali lakini hawakutana kumfukuza ingawa alikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Waislamu waziba barabara Canada wakishinikiza Palestina iachwe huru, watu wahoji kwanini wasiende kuandamana huko uarabuni

    Nchi nyingi za Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zikikariwa na jamii ya watu wa Dini ya kikristo, Nazungumzia Amerika Kaskazini, Amerika Kusini na Ulaya. Lakini hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la waarabu kutoka Mashariki ya Kati na Waafrika ambao upeleka tamaduni zao katika nchi hizo na...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Ubalozi wa Canada Tanzania, watahadharisha raia wake kuhusu Oktoba 28 na 29

    Ubalozi unaamini kitawaka kwa hiyo wanawaambia raia wake wachukue tahadhari waepuke misongamano
  11. JamiiForums Tanzania Canada, UK and Australia say they recognize a Palestinian state as part of efforts to pile pressure on Israel over Gaza

    Here’s what that recognition typically symbolizes: 1. Legitimacy of Palestinian Statehood It signals that these countries formally acknowledge Palestine as a state (not just as a “territory” or “authority”). This boosts the international legitimacy of Palestinian claims to sovereignty. 2...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu mkuu chama Makini: Waandishi wa habari watafanyiwa semina Canada

    Kituko hiki kimezungumzwa na mgombea mwenza wa Chama cha Demokrasia Makini. Haya ni matokeo ya kuachia masuala ya siasa mikononi mwa wajinga. Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho...
  13. JamiiForums Tanzania Marufuku ya Makonda kwenda US, UK, Australia & Canada

    Kwa ile ban ya kutoingia US ni wazi sasa Mheshimiwa Mbunge na Waziri (Mtarajiwa) analazimika kuishia Zanzibar na Juba kutekeleza majukumu yake ya WIZARA YA MAMBO YA NJE.
  14. JamiiForums Tanzania Baada washirika wake UK, Germany, Italy, Australia, Canada kumwambia Netanyahu usipomaliza vita Sept tutalitambua taifa la Palestina akubali kumaliza

    Wanaukumbi. Baada ya washirika wake wa Ulaya, Uingereza, Ujerumani. Ufaransa. Canada, kuwaambia Israel kuwa watalitambua taifa la Palestina Netanyahu kaufyata na majigambo yake kuwa atapambana na Hamas hata kama watakuwa peke yao sasa amekubali kumaliza vita vya Gaza. Waziri Mkuu wa Israel...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Jambo TV wamechapisha taarifa inayosema 'Lema atumia jina la Lissu na CHADEMA kutafuta misaada Canada

  16. C

    JamiiForums Tanzania Pata Mkopo wa Kusoma USA na Canada

    Habari Kwa wale wanaohitaji kwenda kusoma USA na Canada kuanzia Masters na Kuendelea Unaweza kutimiza ndoto zako kwa kupata mkopo kupitia Taasisi za kimataifa zinazotoa mikopo No collateral No Cosigner Unaweza apply via this link https://app.mpowerfinancing.com/?ref_code=azizjxiz Best...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
  18. JamiiForums Tanzania Trump aihurumia canada kwa kutaka kulitambua taifa la Palestine

    Trump ansema itakua vigumu kufanya makubaliano ya kibiashara na na canada baada ya waziri Mkuu wa canada kusema Mark Carney anapanga kulitambua taifa la Palestin ifikapo September
  19. R

    JamiiForums Tanzania Canada kuitambua Taifa la Palestina Mwezi Septemba

    Canada imetangaza kuwa inapanga kuitambua rasmi Palestina kama taifa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba, alieleza Waziri Mkuu Mark Carney, hatua inayoongeza shinikizo kwa Israel wakati njaa ikizidi kuenea Gaza Tangazo hili linakuja baada ya Ufaransa kusema wiki iliyopita kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini

    Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameagana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai katika Uwanja wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…