cag

  1. Wabunge wa Hayati Magufuli wanaopanga kuleta sintofahamu Bungeni mnatakiwa kutambua ufisadi alifanya aliyewaingiza Bungeni

    CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 Trilioni mradi wa SGR Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli llikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa...
  2. Taarifa ya kamati kuhusu ripoti za CAG kwa hesabu zilizokaguliwa za serikali kuu na mashirika ya umma kwa mwaka 2022

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 3, leo Novemba 2, 2023. https://www.youtube.com/live/Px2Csdrfk20?si=ydhC7gCMmMBrjxso === TAARIFA YA KAMATI KUHUSU RIPOTI ZA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA...
  3. Wangapi wametumbuliwa na kushitakiwa kutokana na Ripoti ya CAG 2022?

    Habari wakuu, Hii ripoti ilisababisha mvutano mkubwa na mpaka wanaojitambua kutaka kulazimisha bunge kuijadili kabla ya muda wake. Hivi wale walichezea pesa zetu, kodi zetu kwa maslahi yao na familia zao wamechukuliwa hatua gani? Au ni siri na hatupaswi kufahamu? Tuliambiwa tusubiri bunge la...
  4. B

    Spika Dkt. Tulia usijisahaulishe; Novemba ilee, tunasubiri mjadala wa wazi na huru Ripoti ya CAG

    Asalam Aleykum wapenzi wana JF. Ama baada ya salamu hizo, nitumie nafasi hii kumkumbusha Spika wa Bunge la JMT mh. Dk. Tulia Acson kuhusu ahadi yake aliyoitoa mnamo mwezi Aprili kuhusiana na mjadala wa Ripoti ya CAG iliyotolewa mwaka huu 2023. Dk. Tulia Acson katika kuwanyamazisha badhi ya...
  5. Ripoti ya CAG, je jeshi la Polisi, TAKUKURU wanatimiza wajibu wao?

    Mdhibiti na mkaguzi wa fedha za umma amekuwa anatoa ripoti za ukaguzi wa matumizi na mapato ya serikali na matumizi ya serikali. Kila ripoti imejaa ushahidi tena wa kitaalam namna ambavyo fedha ya umma imetumika ama kuchezewa kupitia vote mbalimbali zilizopitishwa na Bunge. Jambo la kushangza...
  6. Ufisadi wa Matrilioni uliotajwa na CAG 2021/2022 umeishia wapi?

    RIPOTI ya CAG 2021/2022 ilionyesha ufisadi wa kutisha Serikali ambapo Wizara zilizoongoza ni Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Wizara ya Nishati, Wizara ya Fedha na wizara nyingine kidogo kidogo. SWALI langu: Je, huo Wizi na Ubaridhirifu wa Matrilioni ya Fedha ndiyo umeishia hivyo hivyo au kuna...
  7. J

    Chongolo anza ziara nchi nzima kufafanua ufisadi ripoti ya CAG

    Watanzania wanaomba viongozi wa CCM, kuanza ziara nchi nzima kujibu hoja za ufisadi zilizotajwa na CAG kuhusu ufisadi wa Matrilioni ya fedha uliofanywa na vigogo wa Serikali kama wanavyofanya sasa kujibu hoja za mkataba wa Bandari. Ziara ya Bandari isimame kwanza na wafanye tathmini ya...
  8. S

    Mbona hatukumuona Chongolo akifanya ziara ya kulaani ufisadi wa CAG? Kwanini anatetea Mkataba tu wa DP World?

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo anasema ni wajinga wanaokosoa mkataba wa IGA kauli hii ni kinyume cha Katiba na Sheria za nchi na Miiko ya Viongozi wa CCM kuhusu kuheshimu utu na uhuru wa kutoa maoni. Kauli yake nyingine ni ile aliyoitoa kwenye Mkutano wa hadhara wa mikoa ya nyanda za juu...
  9. S

    Mkulima aliyewaburuta Kortini Mbarawa, Mwigulu, Makamba ufisadi Ripoti ya CAG kuunguruma mkutano wa Bandari leo

    MKULIMA aliyeshtaki kina Mwigulu, Makamba na Prof. Mbarawa kuhusiana na ufisadi uliotajwa na CAG atakuwa ni miongoni mwa watanzania wazalendo watakaohutubia mkutano mkubwa wa kupinga kuuzwa bandari kwa mwarabu.
  10. Madai ya muda (EoT) kwa Tanroads yanayoongeza gharama za mradi na ucheleweshaji– Ripoti ya CAG

    Madai ya muda kwa Tanroads yanayoongeza gharama za mradi, ucheleweshaji– Ripoti ya CAG Kwa mujibu wa ripoti hiyo, wakandarasi na washauri walikuwa na madai ya TZS 1.03 trilioni hadi Novemba 2019 kutokana na kuchelewa kulipwa hati za malipo ya muda. “Ilibainika kuwa madai hayo yalisababishwa na...
  11. Ripoti ya Uwajibikaji Utoaji wa Huduma kwa Jamii 2021/22

    Taasisi ya WAJIBU imetumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka 2021/22 kukuletea taarifa rahisi ili kukuwezesha mdau wa uwajibikaji kuzielewa ripoti hizo na kudai uwajibikaji pale unapokosekana. Ripoti hii inategemea ukamilifu na usahihi wa ripoti na taarifa...
  12. Halima Mdee: Serikali Imepuuza na Kukiuka Maagizo ya Bunge ya Kuwafukuza kazi Wezi wa Fedha za Umma Waliotajwa na CAG

    Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa LAAC bi Halima Mdee ameishutumu Serikali Kwa Kukiuka na kupuuza Maagizo ya Bunge yaliyotolewa kwenye maasimio kuhusu washukiwa wa Ufisadi Waliotajwa na CAG. ============ Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali...
  13. Kama waziri Mwigulu anakataa kuwa pesa hazijaibiwa serikalini, ina maana kuwa anapingana na ripoti ya CAG?

    Wakati akifunga mjadala wa bajeti ya wizara ya Fedha ya mwaka 2023/2024 waziri Mwigulu alinukuliwa akiwaambia wabunge kuwa, kama ripoti ya CAG inadai kuwa pesa nyingi zimeibiwa serikalini, je pesa yote anayoitoa Rais Samia kwenye miradi mbalimbali nchini, angezitoa wapi, iwapo pesa nyingi...
  14. CAG aagiza ukaguzi wa uchunguzi mji wa Babati

    Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere ameagiza kuanzisha ukaguzi wa uchunguzi kwenye Halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara, ambayo kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022 imepata hati yenye mashaka. Kichere ametoa agizo hilo kwenye kikao cha baraza la madiwani wa...
  15. CAG Zanzibar aomba radhi kwa kulidharau Baraza la Wawakilishi

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Zanzibar, Dkt. Othman Ali ameliomba radhi Baraza la Wawakilishi Zanzibar na kusamehewa kufuatia kauli yake aliyoitoa ambayo ilionekana kuwabeza wajumbe wa baraza hilo. Hivi karibuni wakati akiwakilisha ripoti ya CAG mwaka 2022/23, Dkt. Othman...
  16. R

    Thomas Nkola (Mkulima) awafunguli kesi 5 Mwigulu, January, Mbarawa, Tutuba na Mkurugenzi PCCB

    Thomas Nkola maarufu kama Mkulima afungua kesi 5 ambazo zimesikilizwa jana tar 29/5/2023 katika mahakam ya hakimu Mkazi Kisutu, dhidi ya viongozi mbalimbali ikiwemo Mwigulu, Mkurugenzi PCCB, Mkurugenzi wa Mashtaka wa Serikali, Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya Jinai, January Makamba, Makame...
  17. T

    Ni kwa sheria ipi serikali inalazimika kusubiri utaratibu wa bunge kuwachukulia hatua wezi na mafisadi waliotajwa na CAG?

    Kwa mjibu wa tamko la kiongozi wa shughuri za bunge letu Sipika Dr Aksoni Tulia kwamba, bunge la kushughurikia wezi waliotajwa kutoka katika wizara mbalimbalu na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG kwamba, kwa mjibu wa kanuni na sheria za Bunge, Bunge linaloendelea ni bunge la bajeti peke yake, na...
  18. R

    Kwa mwendo huu serikali kutowachukulia hatua za kisheria "wezi" waliotajwa na CAG, ripoti za CAG zitakuwa SIRI

    Kitendo cha rais kutowachukulia hatua wezi waliotajwa na CAG, Bunge kupiga dana dana kuzijadili, huko tuendako ripoti za CAG zitakuwa na muhuri wa SIRI na hivyo kutakuwa for public consumption. Hata Bunge halitakuwa na mamlaka ya kuzijadili
  19. S

    Mwigulu, Makamba, Mbarawa kusomewa Albadir Tanga kwa ufisadi ripoti ya CAG

    Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Tanga,Ismail Masoud amesema kama wananchi wanaumizwa na ubadhirifu wa fedha za umma unaofanyika Serikalini na kuwa watafanya dua ya Albadiri kwa wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG. Huyu anakuwa mtanzania wa pili kutangaza kufanya maamuzi magumu...
  20. T

    SoC03 Usomaji wa Wajibisho la Ripoti ya CAG

    Miaka mingi inapita na kila ripoti ya CAG inaposomwa inabainisha kiasi kikubwa cha fedha kinachopotea au kutumika kwa ubadhirifu. Mfano, sehemu ya ripoti ya mwaka 2021/2022 imebaini mianya ya uvujaji wa mapato ambapo bilioni 17 hazikuweka benki. (Niliyoyashudia eneo langu) katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…