cag

  1. Magenge ya awamu iliyopita yaligawana tenda za ujenzi wa mradi wa Stiglers wenye thamani ya trilioni 20, wamejaa hofu kuumbuliwa na CAG na Makamba

    Kwa wasiojua, mmisiri pale ni nyapara, hajengi, hawa Chato dynasty ndio wameji subconstruct . Magenge ya awamu ya tano yaligawana tenda ya ujenzi wa mradi wa Stiglers, hawa wanaopiga kelele na kumshutumu Waziri Makamba, ni kwamba wameanza kuuona moto, kampuni zao zimeanza kuitwa moja baada ya...
  2. Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  3. Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

    Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika. Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma. Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya...
  4. CAG: Watoto wa Masikini wapigwa chini mikopo elimu ya juu, Watoto wa matajiri wala bata

    Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo. Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board...
  5. CAG amesema deni la Taifa limepanda kwa 13.7% kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi

    Naendelea kuipitia ripoti ya CAG ambayo imesema deni la Taifa limeongezeka kwa 13.7% kwa mwaka wa fedha 2020/21 ambapo mwaka uliotanguliailiongezeka kwa 7% ongezeko limetajwa ni kwa sababu ya kushuka kwa thamani ya shilingi. Deni la nje ndio limekuwa kwa kasi kuliko deni la ndani ambapo deni la...
  6. Kuna Umuhimu gani ikiwa mapendekezo ya CAG hayatekelezwi?

    Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali kila mwaka wa fedha baada ya kutoa ripoti ya ukaguzi hutoa mapendekezo ili kuongeza ufanisi wa taasisi na kudhibiti upotevu wa fedha na mapato ya serikali. Hata hivyo mapendekezo machache hutekelezwa hali inayotia mashaka kwa nini CAG anaendelea kuwepo ikiwa...
  7. CAG: Hali ya Magereza ni mbaya, wafungwa wanalala vyumba vya mabati, nyumba za maofisa nazo zimechoka

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi ulihakiki majengo ya makazi ya magereza na kubaini kuwa mengi ni chakavu na yanahitaji ukarabati mkubwa. “Hali mbaya zaidi ilibainika katika magereza ya kilimo ambapo wafungwa walikuwa wakilala katika vyumba...
  8. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

    Charles Kichere (CAG) Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022. Baadhi ya mambo yaliyoguswa: Mashirika ya Umma kutopeleka michango Sh bilioni 129.33 Mashirika ya umma...
  9. Shirika la Masoko ya Kariakoo (SMK) chini ya Ofisi ya Rais, TAMISEMI kutofanyiwa ukaguzi na CAG ni mzaha

    Shirika la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) lipo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. CAG katika taarifa ya ukaguzi 2020/2021 anasema eneo hilo ameshindwa kutoa maoni. Maana yake hakukagua. Je, ni kweli Rais hajui lolote kuhusu Ofisi yake kutofanyiwa ukaguzi na CAG? Shirika la...
  10. K

    Ripoti ya CAG hati nzuri CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA

    Inasikitisha wakati mwingine kuona watu wengi wanapenda sana mabaya kuliko mazuri. Sasa hivi vyama vyote vina hati nzuri lakini watu hawasemi maana kuzuri sio drama. Wengi walikuwa wakisubiria kushambilia wapinzani hasa Chadema na ACT. Vyama ambayo vina hati mbaya kwasababu ni wasindikizaji...
  11. CAG: Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere umekamilika kwa 48% badala ya 94% iliyopaswa. Mafuriko na Uviko vyatajwa kama sababu

    Kwa tuliokuwa tunaulizia mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere ulipofikia, leo CAG ametoa majibu, hauna dalili ya kuisha, ndio kwanza umefikia asilimia 48, kwa hesabu za asilimia maana yake hata nusu haujafika. Ujenzi wa mradi wa ufuaji umeme wa Mwalimu Nyerere ulianza mwaka 2019 na...
  12. Rais Samia apokea ripoti ya CAG, deni bado ni himilivu. Mafao yazidi mapato ya mifuko ya hifadhi

    Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa. Endelea... ========= CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP...
  13. Rais Samia kupokea ripoti ya CAG leo Machi 30, Ikulu Dodoma

    Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/202. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi. CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote wa awamu ya sita au kuchakachua kutaka kuonyesha mama anaupiga mwingi. Kama amenyofoa kurusa zenye...
  14. Zitto Kabwe aliwafanyia kitu gani CHADEMA?

    Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto. Tokea miaka ya 2009 Chadema...
  15. Mabosi hutumia akaunti za benki za watu binafsi, wazabuni na wakandarasi kuchota pesa za Serikali. Serikali imulike taasisi ambazo CAG hana ubavu nazo

    Habari! Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct. Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva. Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
  16. Dear Controller and Auditor General (CAG), take note on this

    Naomba nitupie hii kwa CAG kama ilivyo wadau Hello CAG It is my hope that you are doing fine, and I am also terrific. It is a great honour for us and our nation to have you in that office. CAG I am very much patriotic with our nation and national resources, in fact, I underline the concept of...
  17. CHADEMA, ripoti ya CAG inakuwa nzuri inapoigusa Serikali; kikiguswa chama chenu mnakaa kimya

    Wanaukumbi. CHADEMA ILITUMIA MILIONI 377 NJE YA BAJETI Ukaguzi umebaini Tsh. 100,000,000 zilitumika kwa shughuli ambazo hazikuwepo kwenye bajeti Chama kilinunua Magari 5 kwa 227,430,000 na kutumia 50,000,000 kununua nyumba ya Ofisi Kanda ya Serengeti. Ripoti ya CAG ukurasa 266, imebainisha...
  18. Dkt. Kigwangalla: Ripoti ya CAG ni ya uongo, nimechafuliwa sana. Prof. Adolf Mkenda ndiye aliyeratibu mimi kuchafuliwa

    Nukuu za Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). "Kwa kawaida katika taarifa za CAG huwa kuna hoja nyingi, hoja hizo zinapelekea kamati ya PAC kuzijadili na kuwasilisha taarifa zake bungeni. Katika taarifa zake CAG si...
  19. RC Makalla asema hakuna shule iliyouzwa Kurasini, aagiza CAG kufanya ukaguzi maalumu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameweka sawa kitu kilichosababisha taharuki juu ya uvumi wa taarifa zilizodaiwa kuwa eneo la Shule ya Sekondari Kurasini linauzwa kwa mwekezaji ambapo amethibitisha kuwa eneo hilo haliuzwi. RC Makalla amesema ni kweli kuwa mwekezaji alituma maombi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…