cag

CAG stands for the Controller and Auditor General. In Swahili, this translates to Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

In Tanzania, the CAG is the head of the National Audit Office of Tanzania (NAOT) and serves as the supreme constitutional authority responsible for auditing and overseeing how public funds are collected and spent.

Here is a breakdown of what the CAG does; The CAG audits the financial statements of all government ministries, independent departments, executive agencies, local government authorities (LGAs), and public corporations. They check whether public funds were spent according to the law, approved budgets, and financial regulations. Beyond just checking the math, the CAG assesses whether government projects were executed efficiently and whether the public actually got "value for money" (e.g., if a road was built to the right standard for the price paid). The CAG's audits frequently uncover ghost workers, embezzlement, inflated procurement contracts, and other forms of financial mismanagement.
  1. JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa ni sahihi Kupokea Madudu ya nchi kutoka kwa CAG jana wakati Usiku tunampokea Mgeni mkubwa Duniani?

    Au Tukio hilo (Ratiba ile) iliwekwa Kimkakati (Kimakusudi) ili Mgeni mkubwa Duniani akija ajue kuwa tunasimamia vyema Fedha zetu ili tumuombe nyingine nyingi au avutiwe tu hata Mwenyewe kutusaidia bila Masharti nasi tuendelee Kujenga Mahekalu yetu Mbweni, Madale, Mbezi Beach, Kawe Beach, Masaki...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wizi unaofanywa Halmashauri ni matokeo ya madiwani wasiowajibika

    Halmashauri ni mali ya wananchi na wanamiliki Halmashauri kupitia Baraza la Madiwani. Halmshauri inasimamiwa moja kwa moja na Madiwani, inasikitisha sana Halmashauri ndipo pesa zinapigwa sana, huku wasimamizi wapo kila siku na wanaendelea kula posho za vikao. Tatizo la kuibiwa ni matokeo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ninatarajia IGP Camillus Wambura atatuletea taarifa ya kuwakamata watuhumiwa wote baada ya ripoti ya CAG na matamshi ya Rais Samia

    Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana. Sasa kwasababu Rais ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la Polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka...
  4. JamiiForums Tanzania CAG Ripoti: Matumizi NHIF yanazidi michango ya Wanachama

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi umebaini kuwa matumizi kutoa huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya yamekuwa makubwa ikilinganishwa na michango yao. Katika mwaka 2021/2022 mfuko umepata hasara ya Sh189.65 bilioni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Bunge na Watanzania kwa ujumla, tulichukua hatua gani kwa waliohusika na madudu katika Ripoti Ya CAG iliopita? Another political silly season!

    Binafsi sishangai haya yaliobainishwa katika Ripoti ya CAG ya 2021/2022, bali nawashangaa wanaoshangaa yaliyoibuliwa katika ripoti hii. Kama `Bunge lenye wajibu wa kuisimamia serikali halikuchukua hatua kuhakikisha waliousika na ubadhirifu na ufisadi katika ripoti iliyopita wanachakuliwa hatua...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

    Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini? ATCL “Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
  7. JamiiForums Tanzania Tuna Rais asiyepuuza ripoti ya CAG. Hongera Rais Samia

    Nimemkumbuka Mzee wetu Prof Assad. Nimekumbuka alivyoondolewa madarakani kwa mabavu, nimekumbuka ile IST yake siku anaondoka ofisini. Nimekumbuka pia kwamba RIPOTI YA CAG ilikuwa inaogopwa na Serikali na kupingwa vikali. Nimekumbuka wapinzani kuishi kama digidigi pale wanapojaribu kujadili yale...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29, 2023 Ikulu ya Magogoni, Dar es salaam. CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  9. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021-2022; Waziri Mkuu hana msaada kwa Rais, Baraza livunjwe

    Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza CAG na nakubaliana na Mchungaji Msigwa Serikalini kuna Upigaji mkubwa kila mahali

    Kiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha mtoto Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa? Ramadhan kareem! cc: Mchungaji Msigwa Chadema
  11. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG kuhusu zilipo Fedha za 'Plea Bargain' inatoka lini?

    Wakati bado wananchi wakiwa kwenye sintofahamu ya nini kilitokea kwenye utaratibu wa kumaliza kesi za uhujumu uchumi uliotumika na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Hayati Rais Magufuli, swali jipya linaibuka zikiwa zimebaki siku chache mwezi Machi 2023 kumalizika na hakuna taarifa yoyote...
  12. JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa CAG 2021: Halmashauri zilizopata Hati Mbaya zimepungua

    Mwaka wa fedha 2020/21 Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kuhusu ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonesha kuimarika ikiwa ni kielelezo kuimarika kwa usimamizi wa fedha katika ngazi hiyo. Halmashauri zilizopata Hati...
  13. T

    JamiiForums Tanzania CAG, utaainisha hasara inayotokana na siku ya leo 17 Machi kwa Serikali na Taasisi zake!

    Ilitakiwa angalau masaa kadhaa kuwa muda maalumu ya kukumbuka kifo cha JPM Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini! Wamefanya mgomo wa chini chini! Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge...
  14. JamiiForums Tanzania Mwigulu na CAG nani amedanganya umma suala la malipo ya Bilioni 350 kwa Symbion?

    Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
  15. JamiiForums Tanzania CAG Alihitimisha awamu ya Magufuli, kazi kwa Samia

    By Luqman Maloto RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha 2020-2021, imehitimisha awamu ya Dk John Magufuli. Ukaguzi ujao utaanza kummulika Rais Samia Suluhu Hassan. Taifa lilitangaziwa kifo cha Magufuli Machi 17, 2021. Kipindi ambacho bajeti ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ufisadi ujao? CAG aongezewe nguvu ya kuzuia matobo

    Jana bungeni Mbunge wa Kisesa Ndg Mpina alisema, serikali imetumia pesa nyingi nje ya bajeti akaongelea malipo ya Symbion zaidi ya Dollar 350,000 Mwigulu akamjibu kuwa serikali ilitumia 86,000,000,000/ kutoa mikopo kwa wanafunzi 29,000 ambao hawakuwa na mikopo ya chuo kikuu. Serikali ilitoa...
  17. JamiiForums Tanzania Ina maana kweli, kwa mjibu wa ibara 144(1) ya Katiba kama CAG akateuliwa wa umri wa miaka 20 atadumu miaka 40?

    Wapo watu ambao wanaamini kwamba mahakamani huwa hakuna haki bali kuna sheria pekee. Kwa kiasi kikubwa huwa ninakubaliana nao. Kazi za mahakama ni kutafisiri sheria. Katiba ndiyo sheria mama au kwa jina jingine sheria kiongozi. Ni dhahiri kuwa kama sheria (na Katiba) tulizozitunga wenyewe...
  18. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
  19. JamiiForums Tanzania Ongezeko Deni la Taifa, Luhaga Mpina ashinikiza CAG akafanye ukaguzi maalumu

    Wakati deni la Serikali likifikia Sh71.55 trilioni, Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amesema Serikali ilikopa fedha zaidi ya kiasi kilichoidhinishwa na Bunge na kutaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalumu. Hata hivyo, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CAG ifutwe

    Habari za kazi ndugu wadau.Napendekeza CAG aondolewe kwenye mfumo na nafasi yake ichukuliwe na wizara zenyewe ziwajibike kwa bunge. Ofisi ya CAG kwa sasa imejiingiza kwenye ufisadi na hakuna masirahi kwa taifa. Nasema hivyo kwa sababu kama CAG atakagua kihalali hakuna halimashauri au taasisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…