caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba ikikosa ubingwa wa CAF Shirikisho ni kwa sababu mbili kuu

    Mimi ni mmoja wa watu wachache sana ambao tuliitabiria makubwa Simba kabla hata msimu huu haujaanza. Kwa maana hiyo mimi ni mmoja wa watu wachache ambao tuna kibali cha kuona na kutafsiri kwa usahihi sehemu ambapo klabu au timu imeteleza. Wakati timu ikijiandaa kwenda Morocco kwa ajili ya mechi...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Exclusive video ya Simba Robo Fainali ya CAF Cup 1993

    Zinaendelea kuibuka video nyingi zaidi za kumbukumbu ya mafanikio ya Simba katika historia ya mpira Tanzania. Leo nawaletea video ya robo fainali ya CAF Cup 1993 kati ya USM El Harrachi dhidi ya Simba iliyochezwa kule Algeria. Simba ilivuka kigingi hiki na kwenda hadi fainali na kuwa klabu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yaipa Ndege Simba kuipeleka Morocco kwa Fainali ya CAF

    Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi akiwa Bungeni Jijini Dodoma leo May 08,2025 kwa niaba ya Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kwamba Serikali itawapa Simba SC ndege kuelekea Morocco kwenye mchezo wa fainali. “Baada ya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi CAF au FIFA kwanini wasiifungie ligi yetu? Maana yanaendelea ni udhalilishaji wa mpira wetu

    Mpira gani huu? Hivi CAF au FIFA awawezi kuifungia ligi yetu? Maana yanaendelea ni udhalilishaji wa mpira wetu
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BBC, ESPN na CAF wenyewe wote wanatambua hii ni fainali ya pili ya Simba katika mashindano ya CAF

    Nilidhani hili tulishalimaliza zamaaani ila naona bado kuna watu wanakataa kukubaliana na huu ukweli. Sitasema mengi ila nitaambatanisha vyanzo vitatu vya kuaminika ambavyo vyote vimekiri kuwa Simba ilicheza fainali ya CAF Cup 1993. Hii hapa chini ni article ya CAF baada ya mechi ya pili ya...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF wamethibitisha Simba hajawahi kufika final CAFCC

    Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993 CAF wenye mashindano wamekanusha Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chama kacheza Simba,Berkane na Yanga ila hana medali ya CAF

    Jamaa ana gundu,alienda Berkane hakupata medali,akaenda Yanga timu yake ikaishia makundi ,soon Simba watavaa medali. Akihojiwa alisema ndoto yake ni kuvaa medali au kombe. Hana bahati ila ni mchezaji mzuri sana.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba ni timu ya kwanza Tanzania kuingia fainali za Caf mara 2

    Pia itakuwa ni timu ya kwanza Tz kuleta kombe la Caf. Yanga kwa sasa Tuweni wapole tu, hakuna namna. Tuwe wakweli tu kuwa kwasasa hatuna hoja za mabishano na majigambo. Hata itokee Yanga tuchukuwe kombe la ligi kuu na la crdb na hata itokee tumfunge Simba bado haitazidi HESHIMA NA HADHI YA...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga SC Yashtua Afrika sasa kuisubiri Pyramids au Sundowns!"

    Hongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! 🎉 Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa. Sasa safari yenu ya kimataifa inaendelea kwa kishindo — hatua inayofuata ni kumkabili mshindi kati ya Pyramids FC na...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania U-15 Wabeba Ubingwa wa CAF Schools Football Championship kwa Kuichapa Senegal kwa Penati

    Tanzania imetwaa ubingwa wa wavulana katika mashindano ya CAF Schools Football Championship baada ya kuifunga Senegal katika pambano la kusisimua lililoamuliwa kwa mikwaju ya penalti. Licha ya mvua kubwa iliyonyesha katika Uwanja wa Michezo wa Chuo Kikuu cha Ghana, timu zote zilionyesha...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ngumu sana kwa Yanga leo Simba inapoingia fainali ya kombe la shirikisho la CAF

    Yaani leo Utopolo wanateseka sana na wanaomba kwa miungu yote. Leo Mashabiki wa Simba watafurahi sana lakini Mashabiki wa Yanga WATATESEKA SANA Angalizo: Sio tu kuingia fainali ila Simba inakuwa timu ya kwanza kuleta kombe la Afrika hapa Tz
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utabiri wa bingwa CAFCL, CAF Confederation na NBCPL 2025

    Hello! Bila kupoteza muda. Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali. Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: CAF Champions league | Semi-Final | 1st Leg | Orlando Pirates 0-0 Pyramids SC | FNB Stadium | 19.04.2025

    MATCH-DAY 🏆 #TotalEnergiesCAFCL SF 1st Leg Orlando 🆚 Pyramidsfc 🗓️ 19 April 2025 ⏰ 7pm EAT 🏟️ FNB Stadium Kitaumana leo... Wachezaji Orlando Pirates Kikosi cha Pyramids SC
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana Simba wafahamu wachezaji walioipeleka Simba nusu fainali ya CAF champions Kwa mara Kwanza

    Ilikuwa mwaka 1974 wakati Kwa mara ya Kwanza Timu toka Tanzania kucheza nusu fainali za club bingwa nayo NI Simba SC. Baadhi ya mashujaa wetu walikuwa; 1-Golini: Athman Mambosasa a.k.a angaza juu. 2-Shaban Baraza/ Daudi Salum a.k.a Bruce Lee 3-Mohamed Kajole aka Machela 4-Athman Juma. 5-Omar...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acheni kulishana Upepo. Simba haiwezi kuchukua kombe hili la CAF. Anaenda kuzikwa South Africa

    Ile kushinda jana kuna mabwege wameshaanza kuandika upuuzi. Yaani hii Simba tia maji tia maji ya kufika Fainali? Nyie mnafanya masikhara sana. Labda umri wenu ndo changamoto. Mnaanza kulishana upepo mkidhani mtashiba kutokana na njaa kali ya Makombe mliyo nayo kwa miaka hii 4. Na mwaka huu...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba kuvuna Kitita zaidi ya TSh. bilioni 2 kutoka CAF

    Klabu ya Simba SC itapata kitita cha dola 750,000 sawa na zaidi ya Shilingi bilioni 2 (2,006,874,750) baada ya kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC imefanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuwatoa Al Masry SC ya Misri kwa mikwaju ya penati 4-1, kufuatia sare ya...
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba imepanda kuwa timu ya nne kwa ubora Africa kwa vigezo vya CAF 5 Year ranking,

  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii pitch ya Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio itatumika kwa michuano ya CAF 2027? Imejaa matope

    Mechi za CAF zitakuwa za mfululizo, lakini naangalia mechi ya Simba na mwarabu, uwanja una vipande vya matope
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF walikuwa sahihi, uwanja wa Benjamin Mkapa hauna sifa za kuhodhi mechi za CAF

    Watanzania tumeshazoea siasa kwenye mambo yetu kwahiyo hata inapokuja mambo ya msingi tunataka weka siasa. Huu uwanja wa taifa ni kweli hauna sifa kutumika kwenye mechi kubwa kwa hali uliyonayo. Kwenye hii mechi ya Simba na Masry ukweli kila mmoja anajionea. Uhalisia wa pitch ni tofauti...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia apandisha dau 'Goli la Mama' kwa Simba SC, kila Goli TSh. milioni 10 kwa mchezo wa CAF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu inawakilishwa na Simba Sc pekee kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Akithibitisha ongezeko la thamani hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…