caf

The CAF Champions League is an annual continental club football competition run by the Confederation of African Football (CAF). The top club sides from Africa's football leagues are invited to participate in this competition, which is the premier club football competition in the continent and the equivalent to the UEFA Champions League. Due to sponsorship reasons, the official name is Total CAF Champions League, with Total Champions League also in use.The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season's CAF Super Cup.
Egypt's Al Ahly SC is the most successful club in the competition's history, having won the tournament eight times. Egyptian clubs have accumulated the highest number of victories, winning the title 14 times.

View More On Wikipedia.org
  1. Msigwa: Tuzo ya CAF aliyopewa Rais Samia ni tuzo ya watanzania wote

    Msemaji mkuu wa Serikali Gerson amesema Tuzo ya heshima ya Rais ni Tuzo ya watanzania wote kwa jumla na si yake peke yake. Soma Pia: Samia atunukiwa Tuzo ya Maalum na CAF, kwa kutambua mchango wake katika mchezo wa soka Ameyasema hayo akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutua Tanzania...
  2. PostGE2025 Samia atunukiwa Tuzo ya Maalum na CAF, kwa kutambua mchango wake katika mchezo wa soka

    Goli la mama limelipa ndio tuseme hivyo, na timu nne kwenda hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho =================== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Maalum na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa kutambua mchango...
  3. Hii Hapa Orodha ya Washindi wa Tuzo za CAF Kwa Mwaka 2025

    LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA CAF 2025 ✅Mshambuliaji wa Pyramids na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Kalala Mayele ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2025 barani Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka ndani ya bara la Afrika. ✅Beki wa Timu ya Taifa ya Morocco na PSG Achraf Hakimi ndiye...
  4. Hongera Clement Mzize kushinda Goli bora (CAF)

    Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize amefanikiwa kushinda goli bora la mwaka Afrika
  5. T

    Je, Tanzania bado ni salama kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya matukio ya uchaguzi mkuu?

    AFCON 2027 Nitashangaa sana kuona CAF inaicha Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya yote yaliyotokea Nashauri CAF waiondoe Tanzania mapema kabisa katika nchi mwenyeji wa AFCON 2027
  6. C

    CAF Confederation fixtures 2025/2026

    Azam Tanzania Nairobi United Kenya Maniema Congo Wydad
  7. FT: Simba Sc 0 - 0 Nsingizini hotspurs l CAF CL l second preliminary round l 2nd Leg l Benjamin Mkapa Stadium l 26-10-2025 l 16:00pm.

    Next Match : Simba SC vs Nsingizini hotspurs. Starting Xl ya Simba SC All the best Simba SC 🦁 #Nguvu moja.
  8. B

    Yanga yapangiwa Silver Strikers michuano ya CAF 2025 / 2026

    Baada ya Young Africans kuitoa klabu ya Angola ya Wiliete Sport Clube , sasa imepangwa kukumbana na klabu ya Malawi ya Silver Strikers TOKA MAKTABA : Silver Strikers vs FCB Nyasa Big Bullets https://m.youtube.com/watch?v=ZDJUtOcs7Hk
  9. FT: Yanga SC 2-0 Wiliete | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 27/09/2025

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano. Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Angola, Yanga walitoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wawakilishi hao wa Angola Je...
  10. CAF yaitoza Simba SC faini nyingine, kuchangisha mashabiki

    Klabu ya Simba Sports Club imekumbana na adhabu mpya kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) huku ikijiandaa kucheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United Jumapili, Septemba 28, 2025, bila mashabiki na faini ya Dola 50,000 (takriban Sh123 milioni)...
  11. Kwa hili la Morocco kuwa kocha Simba washabiki wa Simba tususie mechi na tupaze sauti hatutavuka hii hatua CAF

    Moroko huyu anayebebwa na wenzake. Aliyeishindwa Namungo. Viongozi wanatukomesha tuchukue hatua
  12. Full Time: Gaborone United 0-1 Simba SC | CAF CL Obed Itani Chilume Stadium | Septemba 20, 2025

    Huku Maloid kule Jonathan Sowah.. Klabu ya Simba leo itakuwa dimbani kucheza na klabu ya Gaborone ya Botswana katika michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika, hatua ya awali. Mechi hiyo itafanyika katika Uwanja wa Francistown Stadium majira ya saa 2:00 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki...
  13. Simba Sc imefungiwa kuingiza mashabiki kwenye mechi moja ya nyumbani ya CAF CL

    Maamuzi ya CAF yametokana na mashabiki kuvunja utaratibu kwenye mechi ya CAF CC dhidi ya Al Masry. Mechi dhidi ya Gaborone Utd ya Sept. 28 haitakuwa na mashabiki
  14. B

    Kulikoni EACkwa CHAN?

    Polen Uganda huo ndio mpira. Sasa Fainali ni kati ya Algeria na Morocco, Bingwa ni 🇲🇦.
  15. M

    Najiuliza je Azam wamemlipa fei toto mabilioni kwa ajili ya mechi za ndani ama ndio fei toto akawabebe na kimataifa CAF ?

    Hili swali huwa najiuliza sana toka nilivyosikia azam wamemlipa fei toto bilioni. Na mshahara wa milioni 50 sijui milioni 40 kwa mwezi ? Kwa kumtazama toka nimemjua Fei toto , kwenye mechi ngumu za kimataifa.. huwa hana maajabu na anakuwa mzigo uwanjani. Fei toto wa kimataifa Yupo vile vile...
  16. Hatimaye Wajuaji wawili wa Afrika Mashariki watema Bungo la CAF, ila kwa Sisi Waganda (Uganda Cranes) kesho ni mwendo mdundo hadi Fainali na Ubingwa

    Hovyo kabisa Kocha Hemed Suleiman Morocco yaani unaona kabisa Sopu na Nado wameshachoka na wanarukaruka tu Uwanjani unawaacha hadi dakika ya mwisho. Fei Toto alikuwa akifanya nini zaidi ya Kurukaruka tu huku akimpa wakati mgumu Kagoma kuweza Kulitawala vyema Dimba lake Kati. Hata huyu Fei Toto...
  17. M

    Yanga na simba tujifunze. Vilabu vikubwa tunavyoenda kushindana navyo Caf champions league zimepiga chenga wachezaji wao kushiriki mashindano ya CHAN

    Habari wadau. Mashindano ya chan yanaendelea. Ila uhalisia yanachosha wachezaji wazuri na tegemezi wa club zetu. Mamelodi sundowns, orlando pirates, kaizer chiefs zimegoma kuleta majembe yao ya first eleven kuwemo kwenye kikosi cha south africa. mfano majembe yote ya mamelodi tunayoyajua...
  18. CAF yasimamisha uuzaji wa tiketi za mechi za CHAN katika uwanja wa Kasarani Kenya

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepiga marufuku uuzaji wa tiketi kwa mechi ijayo ya CHAN 2024 kati ya Kenya na Zambia kwenye Uwanja wa Kasarani kufuatia machafuko na madai ya utapeli. Haya yanajiri muda mfupi tu baada ya CAF kulitoza Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) faini ya Ksh...
  19. CAF Yataka Maombi Kabla ya Kuingia Uwanjani na Mabango au Bendera

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa muongozo kwa mashabiki kufanya maombi ili kuruhusiwa kuingia uwanjani na mabango na bendera. Maombi yanatakiwa kutumwa CAF kupitia barua pepe: 📧 security@cafonline.com siku moja kabla ya mechi. Muombaji anatakiwa kuambatanisha picha ya rangi ya...
  20. B

    CAF RELEASES 2025 CLUB RANKINGS: Simba yaongoza Afrika mashariki na kati yashika nafasi ya 5 Yanga nafasi ya 12

    Katika viwango vipya vya Shirikisho la mpira Afrika CAF 2025, simba sc imeibuka kinara wa afrika mashariki na kati huku ikishika nafasi ya 5 barani afrika, wakati yanga sc ikishika nafasi ya 12 kwenye orodha hiyo ya vilabu bora.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…