bwana

This is a list of English language words that come from the Niger-Congo languages.
It excludes placenames except where they have become common words.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

    Ila wabongo, aya bwana.
  3. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Hizi Dini bwana

    Kwahiyo huyu naye anaitwa BABA MCHUNGAJI,?watu wanakuwa mazwazwa sana,yaani upo busy na michezo ya kitoto eti Mungu sasa huyu siakafanye mazingala ombwe zunguni primary school
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hili ni janga! Nimeona watu humu wakirushiwa matusi ya "unamsifia bwana yako" kwa sababu tu amemsifia mtu fulani. Fikra zako, Ndio dunia yako

    Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa. Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio usikute mambo ya upinde ndio jadi kwako either wewe ni bwana wa mtu au wewe ni bibie wa mtu, so...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mabinti bwana, ukianza nae mahusiano meseji anakujibu neno moja moja, sasa ngoja muanze kukaa nae ndani inakuwa vice versa 😂😂

    KABLA YA KUISHI PAMOJA: WEWE: "unajua baby xxxxxxxxxxxxxxxxxx xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxccc" YEYE: "k" MKIANZA...
  6. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kopotelea wapi Waziri wa kujionyesha bwana Bashe?

    Tokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini. Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho yasiyo na mbele wala nyuma.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wapendanao hawa!

    Angalia video hii kwa makini ,weka maoni yako
  8. Mkulima na Mfugaji

    JamiiForums Tanzania Mbona hatumuoni shabiki mwenzetu wa Simba bwana Mchome tukifurahi nae baada ya Yanga kutolewa Ccl na Simba kuingia Robo fainali CCC

    Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
  9. Bado natafuta

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya ubatizo wa Yohana na ubatizo wa Bwana Yesu

    Jina la Bwana na Mwokozi Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Je kuna utofauti wowote ya Ubatizo wa Yohana na ule wa Bwana Yesu?, Jibu ni kwamba hakuna utofauti wowote, ubatizo ni ule ule mmoja wa toba, lakini kinachoutofautisha ule wa Yohana na ule wa Bwana Yesu ni “jina” Lakini ubatizo...
  10. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Bwana harusi aliyejiteka aachiwa kwa dhamana

    Vicent Masawe (36) maarufu Bwana harusi, aliyepotea muda mfupi baada ya harusi yake na baadae kukutwa kwa mganga wa Kienyeji Chakechake Pemba, anayekabiliwa na mashtaka ya wizi wa gari na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu ameachiwa huru kwa dhamana. PIA SOMA - POLISI: Bwana harusi...
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Yani unakimbia usiku kufukuzana na Castle Lite na Savanna huku umeacha mtoto wako mdogo eti mtu akuangalizie

    Endeleeni kuzaa na maslay queens. Dogo ndio kashafariki hivyo kwa uzembe wa starehe na akili za ku-slay slay
  12. Brojust

    JamiiForums Tanzania Hela bwana! Beyonce ndio kwanza anakuwa mwali

    Hivi kwa sisi ambao tayati tumefika miaka 38 bado tunajitafuta na tunaonekana kama wazee, Hivi kama ukitoboa labda na miaka 45. Unaweza ukarudi kuwa kijana kabisa ukisingatia diet, mazoezi na vinginevyo ? Au Wenzetu wanaanza hayo mambo wakiwa na miaka 20.
  13. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Nahitaji bwana shamba awe msimamizi wa shamba

    Nahitaji kijana alietoka chuo mwenye uelewa mpana kwenye kilimo Cha nyanya, kitunguu, mahindi, maharage na alizeti pia mwenye kujua na kutunza vizuri nguruwe, mbuzi na ng'ombe -Awe anajituma -Mwenye kufanya kazi Bila kutumwa -Awe mbunifu na kujiongeza Tabia njema na uaminifu -Awe ametoka na...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Pole mashabiki WA Mam U na Chelsea kwa matokeo mliyopata leo

    Niko Morogoro Nilichokiona Leo n BALAA tupu Polen sana mashabiki WA man u na Chelsea Kiujumla sisi Man City tumehuzunishwa sana na yanayoendelea ligi kuu ya EPL Nahisi tueleke kwenye maombii ya Mchungaji wa Dube tukaponye timu zetu
  15. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania AFANDE SELE FT. BWANA SAM - MTU NA PESA.

    AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA Verse ..1 ( afande sele) Mtu na pesa hakuna mwanadamu asie jua maana ya pesa/ hata mwanangu Tunda hi leo ana ijua pesa/ tangu ana miezi tisa (9)/ maana kila kukicha anacheki inavyonitesa/ baba ake nateseka / mchana kutwa mbilika na usiku ni batashika/...
  16. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Wewe Mbosso haya mambo yako ndiyo yalisababisha bwana Marioo alifuta verse zako kwenye nyimbo zake mbili

    Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
  17. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Masudi kipanya bwana!

    Jamaa haoni mtu wa kumzika japo yeye mwenyewe yupo ukingoni mwa kaburi lakini hayupo wa kumzika.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Bwana eti "Mtengenezaji wa Vinywaji Changamshi"

    Wakati wakiripoti habari ya Mkurugenzi wa Kampuni inayotengeneza Pombe kali mkoa wa Manyara ndugu David Mulokozi kuhusu kununua helikopta yake binafsi, hawa hawa waandishi wetu wa habari badala ya kusema mtengenezaji wa aina mbalimbali za pombe kali eti wanasema "POMBE CHAMGAMSHI". Tena bora...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Bwana harusi Ulomi kukutwa kwa sangoma- wachaga mmeniangusha sana.

    Nasikia tetesi nyingi tu kuwa ndugu zangu wachaga sasa wanaingia kwenye anga za ushirikina kwa spidi ya 5g. Sasa leo, bwana Massawe kijana mtanashati na anaye onekana mstaarabu kumbe ni tapeli na anaamini ushirikina. Asante sana polisi yenye mkono mrefu kwa kufichua hili. Wachaga kiasili...
  20. B

    JamiiForums Tanzania POLISI: Bwana harusi alijificha kwa mganga.

    #VIDEO: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupatikana kwa Vincent Massawe (Bwana harusi) ambaye taarifa zake zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amepotea siku chache baada ya kufunga ndoa. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro...
Back
Top Bottom