bungeni

Bungeni is a large sprawling rural settlement situated on top of one of the foothills of the Soutpansberg mountain in Louis Trichardt, Limpopo Province, South Africa. The Levubu agricultural plantation, where avocado, bananas, litch, Macadamia nuts, peaches and mangoes are grown in abundance is just 3km away north of Bungeni village. It lies 35 km east of Makhado, with the R578 road (South Africa) passing through it. With more than 30 000 people, Bungeni is the largest Tsonga village in Makhado local municipality. In 1994 and in 2016, administrative control of this western portion of Gazankulu has been sub-divided in half and allocated to two Municipalities, first in 1994 to Makhado Local Municipality and in 2016, to the New Malamulele Municipality in the Vhembe district. As of April 2016, the Western portion, known as 'Bungeni West' by the locals, has remained in Makhado local municipality, while the eastern portion, known as 'Bungeni east', has been allocated to the new Malamulele Municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Chadema mnamachaguo mawili: Unite or Die

    Tundu Lissu alipewa nafasi ya kugombea Urais wa JMT! kuna nafasi kubwa kama hiyo ndani ya nchi? Then Unaponiambia kuwa Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama ambacho hakina hata wanachama 3M active countrywide, chama ambacho hakina hata 1/3 ya wabunge wa bunge zima…::ila tulikua tayari awe Rais...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni ni nani?

    Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa! 1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? 2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani? 3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lini CCM watatambua kuwa na upinzani imara nchini, Bungeni na katika serikali za mitaa, ndio chachu itakayoleta kasi ya maendeleo ya Tanzania?

    Kuna kufikiri ambako nakuona hakupo sawa ndani ya CCM, kuanzia raisi Samia kama mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Spika wa Bunge, mawaziri, wakuu wa mikoa nk, yaani uongozi wote wa nchi ulio chini ya chama tawala cha CCM. Hivi ni lini watarudiwa na akili na kutambua kwamba kuwa na upinzani...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amjibu Mpina Bungeni kuhusu DP World kukusanya Kodi Bandarini, Mpina afuta kauli

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) amemjibu Mbunge wa Kisesa Luhaga, Joelson Mpina kuhusu hoja ya DP World kukusanya kodi akieleza kuwa amelidanganya Bunge, jambo lililosababaisha Mbunge huyo kuomba radhi na kufuta kauli. Dkt.Nchemba amesema hakuna taasisi au kampuni...
  5. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwita Waitara: Sina mpango wa kuachia Jimbo, ila naweza nisirudi Bungeni serikali isipotatua changamoto Tarime Vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aibana Serikali ataka mikataba ya Bandari na DP World ipelekwe Bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameitaka Serikali kueleza kwa nini mikataba ya uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam na kampuni ya DP World haijawasilishwa Bungeni ili wabunge waweze kujua maudhui yaliyokubaliwa kwenye mikataba hiyo. Akiwasilisha hoja yake wakati wa kujadili...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina arejea Bungeni kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu yake ya sakata la Sukari

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina leo tarehe 07 Novemba, 2024 amerejea tena Bungeni kuedelea na vikao vya Bunge baada ya kufungiwa kutokuhudhuria vikao 15. Adhabu iliamuliwa na wabunge wengi kupitia kura baada ya Mpina kushindwa kuthibitisha madai yake dhidi ya Waziri wa Kilimo. Pia...
  8. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Mliokosa mikopo mbunge Kanyasu ajitolea kuwasemea bungeni

    Mbunge wa Geita Mjini Constantine Kanyasu amesimama Bungeni Leo ambapo amesema kuwa nchi imekosa vipaumbele ikiwe cha kuwalazimisha wanafunzi kusoma masomo ya wasiyotaka kwa hoja ya kupata mikopo ya serikali, Kanyasu alienenda Mbali zaidi kwa kuongeza kuwa utoaji wa mikopo umekuwa na ukilitimba...
  9. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Mbunge CCM alalamika bungeni kuwa awasikilizwi, pia taarifa za CAG zinapuuzwa

    Mbunge wa Jimbo la Momba CONDESTER SICHALWE CCM amelalamika kuwa mawazo, maoni wanayotoa bungeni yamekuwa ayasikizwi na serikali, pamoja na ayo ameongeza kuwa taarifa za ukaguzi za mkaguzi Mkuu wa serikali CAG zimekuwa zikipuuzwa na Serikali. Soma Pia: Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Washiriki wa Mapenzi ya Jinsia Moja kufikishwa Mahakamani, Serikali Yajipanga Kusimamia Sheria

    Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba na kuchukua hatua za kuwapeleka Mahakamani Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro awapigania wastaafu Bungeni Jijini Dodoma

    Kutokana na kikao cha Wazee wa wastaafu na Mh Ruhoro kilichofanyika hivi karibuni nyumbani kwake Buhororo ambapo watumishi wastaafu walimtuma mbunge wao kuwapigania, Leo Mbunge wa Jimbo la Ngara ameiomba serikali kuboresha kiwango cha Pensheni ya wastaafu. Ameiomba Serikali kuangalia uwezekano...
  12. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Bei ya kunganisha umeme mjadala Bungeni, Wabunge wahoji kwanini haibadiliki?

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku ya jana Oktoba 29, 2024 katika kipindi cha maswali na majibu wameibana Serikali kuhusu bei ya kuunganisha umeme maeneo ya mijini, ambapo bei hiyo ni shilingi 320,000. Akijibu swali la Mbunge wa Korogwe, Timotheo Mzava, Naibu Waziri Judith...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Fun Fact: Kamala Harris ndiye atayepokea matokeo ya uchaguzi kutoka kwa electors na kuyawasilisha bungeni yakathibitishwe

    Electors kutoka majimbo yote hupeleka matokeo yao kwa Rais wa bunge la Senate. Na Rais huyu ni Makamu wa Rais wa Marekani. Kama mnakumbuka January 6, 2021. Waandamaji walikuwa wanapiga kelele anyongwe Mike Pence! Huyu alikuwa Makamu wa Rais wa Rais Donald Trump na alikataa kufanya figisu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Bashe anaingia bungeni kesho akiwa hana kashfa ya Sukari

    JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa. Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Australia atolewa nje ya bunge baada ya kumkaripia Mfalme Charles III wa Uingereza

    Mbunge Lidia Thorpe wa Australia ametolewa nje ya Bunge la Nchi hiyo baada ya kupiga kelele na kumfokea Mfalme wa Uingereza, Charles III alipolitembelea Bunge hilo jana Jumatatu. Thorpe alisindikizwa nje na Walinzi baada ya kupiga kelele akisema hamtambui Mfalme huyo kama Mfalme wake na kwamba...
  16. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameshindwa watoa kina Mdee bungeni wanakuja na Samia Must Go, nchi hii ina maajabu mengi sana

    Ukiwaza na kufikiri kwa kina sana utagundua Chadema wananufaika na hawa wabunge 19. Hili halishangazi ila kuwaacha watu wanaokula mamilioni kinyume cha sheria na kutaka kumtoa Samia kitu ambacho wanajua kabisa hawataweza ndio kinashangaza.
  17. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Miaka 25 ya Nyerere; CCM Imetutosa Wastaafu, Kutudanganya na Kutudharau kwa Kauli za Mwigulu Bungeni

    Kwako Mwalimu Nyerere; Wiki hii tunaitumia kukukumbuka wewe na uongozi wako. Sisi wazee tunakumbuka mbali zaidi hasa zile nyakati za vita Kagera ambavyo wapo wenzetu ambao waliambulia vilema na mpaka leo tunao wakiwa hai na huku wakilipwa Pension ya Laki 1 kwa mwezi na Hazina na hakuna msaada...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge apitisha hoja ya Kumtoa madarakani Naibu Rais kujadiliwa Bungeni

    Baada ya wabunge 291 kuunga mkono hoja ya Makamu wa Rais nchini Kenya Rigathi Gachagua kuondelewa madarakani, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kenya, Moses Wetang'ula ameidhinisha hoja hiyo kujadiliwa akisema sababu zote 11 zinakidhi vigezo vya kikatiba. Hoja hiyo imewasilishwa bungeni jioni hii na...
  19. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hoja maalumu ya kumwodoa Gachagua yawasilishwa bungeni

    Hoja maalum ya kumwondoa ofisini Makamu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, imewasilishwa bungeni na Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mutuse Mwengi. Kwa mujibu wa Spika wa Bunge Moses Wetangula, hoja hiyo imeafikia vigezo hitajika kulingana na kanuni za bunge la kitaifa nchini Kenya, ambapo ili...
  20. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kwa kumbukumbu tu kuna wakati Bashe wa CCM na Sugu Chadema waliweza kuongea lugha moja bungeni lakini hawakusikilizwa!

    Watanzania tu watu wa ajabu sana... https://www.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI Sina cha kuongezea!
Back
Top Bottom