GHATI CHOMETE AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI KATIKA IBADA YA KUAGA MWILI WA MHE. LUKUVI, BUNGENI DODOMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 27 Machi 2026 ameungana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), Spika wa Bunge...
Mbunge wa Mbagala, Abdallah Chaurembo, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Chamazi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Chaurembo ametoa kauli hiyo leo Juni 19, 2025, wakati akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka...
Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026)
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo amechangia mengi yakiwemo:
*Uwekezaji uongezeke kwenye Elimu na Taasisi zake (2-3% ya Pato la Taifa, GDP)
*Uwekezaji uongezeke kwenye Utafiti na...
Wakuu!
Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi ambavyo baadhi ya wabunge wetu bado hawajafahamu vizuri majukumu yao ya msingi kama wawakilishi wa wananchi.
Katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia changamoto nyingi kama ukosefu wa ajira, mfumuko wa bei, ubovu wa miundombinu, huduma duni za afya...
Prof. Sospeter Muhongo, LEO BUNGENI DODOMA (Bajeti ya Wizara ya Afya)
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa mchango wake Bungeni akielezea mengi yakiwemo:
Musoma Vijijini wameamua kujenga zahanati moja kila kijiji. Jumla ya vijiji ni 68
Taifa lisomeshe vijana...
LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameelezea umuhimu wa uanzishwaji wa Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema la Jimboni mwao.
Mbunge huyo ameeleza mengi, yakiwemo yafuatayo:
(i) Mhe Rais Dkt Samia...
Ukiangalia mijadala ya Bungeni na ukija ukiangalia mijadala ya Wabongo mitaani basi ufanano ni mkubwa sana. kwa kifupi Bungeni pale ni reflection ya akili za Watanzania mtaani.
Bunge liko busy na mijadala ya kijinga jinga tu, hawako serious kabisa.
Njoo mtaani kwenye vijiwe vya kahawa, usipo...
Wakuu
Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Anaandika Martin Maranja Masese, Mtikila
Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Mwanasheria mkuu wa serikali, Spika wa bunge, Naibu Spika wa bunge, Mawaziri na Wabunge wote, wanalipwa posho ya kujikimu (perdiem) kwa siku ni Sh220,000.
Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264...
Wakuu,
Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.
Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kuendelea kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa.
Pia, Majaliwa ameagiza miundombinu ya mradi huo inaimarishwa ili uweze kudumu kwa muda mrefu. Kauli ya Majaliwa inakuja...
My Take,
Jamani wanandoa si vizuri kunyima utamu wa tendo la ndoa :rolleyes::)
=======
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msavatavangu amelitaka Bunge kuanzisha sheria ya kuwashughulikia watu waliozaa na kuwatelekeza watoto bila kuwapa msaada wa kiuangalizi.
Msavatavangu ameyasema hayo leo Agosti...
Mbunge wa Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama mechangia hoja Bungeni kuhusu Sekta ya Utalii akitolea mfano wa Jimbo la Madaba.
Amesema kuna fursa ya uwekezaji wa mafao ya misitu, ambapo kuna ardhi iliyopandwa miti zaidi ya ekari 100,000.
Ameeleza kuna mpango maalum wa kupata ongezeko la viwanda...
Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza ....
Spika Dkt Tulia ameongea Hayo baada ya waziri Dugange kujibu swali lililokuwa linauliza...
Mbunge huyu tangu ajiuzulu uspika, amekuwa haonekani Bungeni na kama nitakuwa sahihi, hajaonekana hata mara moja.
Swali langu ni je, katika vikao via Bunge vinavyoendelea hivi, sasa, amehudhuria hata mara moja?
Kama hajahudhuria mpaka leo, hastahili kuvuliwa ubunge?
Kama alikwenda Israel...
Mbunge Ester Bulaya (Viti Maalum) amesisitiza Mabadiliko katika Sheria ya Huduma ya Habari 2016 akisema Waandishi wa Habari bado wanatishwa na hawafanyi kazi kwa Uhuru kwenye baadhi ya maeneo.
Amefafanua, "Leo hakuna Habari za Kiuchunguzi, hata Makala zinazoandikwa ni za kawaida. Sheria hii...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameomba Bunge kuidhinisha Fedha hizo kwa Mwaka 2022/23 ambapo Matumizi ya Kawaida ni Tsh. 51,462,269,000
Akiwasilisha Hoja yake Bungeni Waziri Aweso amesema "Jumla ya Bajeti ya Maendeleo ni Tsh. 657,899,338,000. Kati ya hizo, Tsh. 407,064,860,000 ni Fedha za Ndani na...
Katani Ahmed Katani (Mbunge wa Tandahimba) amesema Vyuo vinaendelea kutengeneza Mitaala na Kozi ambazo hata Mhitimu akienda 'Ajira Portal' hakutani na kitu alichosomea. Amesema, "Tunaendelea kutengeneza Mitaala ambayo haiendi kumsaidia Mtanzania"
Amefafanua, "Tunaendelea kutumia Mitaala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.