Tovuti rasmi ya Bunge inayo orodha ya wabunge wanaoongoza kwa kutochangia chochote kwa miaka mitano.
Miongoni mwao ni Mbunge wa Tunguu (CCM), Khalifa Salum Suleiman, ambaye hajawahi kuchangia wala kuuliza swali la msingi au la nyongeza, sawa na Mbunge wa Mfenesini (CCM), Zubeida Khamis Shaib...