bunge

  1. Akili Munemba(AI) inavotumiwa na Kenya kulinanga Bunge la 12 kama Bunge la Vihiyo

    https://youtu.be/txvRnIcB9tc?si=DI7EpxtR-jnsGoai Kumekuwa na matukio ya kushangaza tokea lile sekeseke la Wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania kusikiliza kesi ya Mhe. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Wanaharakati hao baadaye walikamatwa na Polisi wa Tanzania...
  2. Maajabu: Karani mwongoza wapiga kura anahitajika kuwa na elimu angalau kidato Cha nne ila Mbunge wa Bunge anahitajika kujua kusoma na kuandika pekee

    Hizi ni ishara za kuwa na watu waliovimbewa na kujiona wanaweza kutuwekea vigezo vya uongozi kulingana na sifa za wanafamilia wao. Hivi kweli Mtunga sera, mchambuzi wa maswala ya kijamii na mtetezi wa katiba ya nchi awe anajua kusoma na kuandika pekee huku Karani mwongoza wapiga kura awe na...
  3. M

    Kwa nini Rais ameahirisha shughuli za Bunge badala ya kulivunja kama katiba inavyosema? Kuna tatizo?

    Ibara ya 65 (2) inatanabaisha kuwa uhai wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa unaanza pale pale wabunge waliochaguliwa baada uchaguzi mkuu kukutana kwa mara ya kwanza hadi litakapovunjwa na Rais wa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao. Juzi tumesikia rais akiahirisha shughuli za Bunge...
  4. R

    Tetesi: Nasikia mgombea mwenza anapigiwa chapuo kisa mzalendo ndio maana Bunge halijavunjwa!!

    Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!! Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!? Je tetesi hizo ni za kweli!!? Nasikia ndio maana vikao vya...
  5. Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
  6. Rais Samia amepata wapi mamlaka ya kusema anasitisha shughuli za bunge?

    Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu " 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka...
  7. Bunge kuvunjwa

    Habari zenu wakali, kichwa cha habari chajieleza ningependa kujuzwa bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa TZ lilipangwa kuvunjwa tarehe 27/6/2025 lakini mwenye mamlaka kikatiba kuvunja bunge Rais ametangaza kuhairisha shughuli za bunge na kusema kuwa bunge litavunjwa rasmi 3/8/2025. Je...
  8. Mwabukusi: Bunge la 12 kama tambara la mlangoni?

    Anaandika Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi: "Katika historia ya taifa letu, tangu kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1964, na hususan tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Bunge la Kumi na Mbili (2020–2025) ndilo Bunge dhaifu...
  9. J

    Kwanini haya hayakutokea kwenye hotuba ya kuahirisha bunge?

    Katika hotuba hiyo kuna mambo nilitarajia yatapata maelezo lakini hayakutokea. Lakini pia kuna yaliyoniacha nikitafakari. 1. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa mwanza haukutajwa lakini nimesikia vingine kadhaa vikitajwa kama msalato na songwe. 2. Mv Mwanza imeishia wapi? 3.ujenzi wa barabara za...
  10. Kulikoni mbona CHAUMA na ACT wamechukia sana Bunge kutovunjwa?

    Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes. Cha kushangaza...
  11. GE2025 Kwanini Bunge lifungwe Leo, na kuvunjwa Aug 3, 2025? Kwanini isivunjwe Leo?. Is Yes Reforms, Yes Election Coming?

    Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani. Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge. Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge? Nina Swali Moja tu. Je, hii siyo kusema...
  12. Mambo ya kukumbukwa kwa bunge la 12 la Tanzania

  13. R

    Kutovunjwa bunge Leo Hadi hapo August, ni ishara ya kufanyika reforms kupata katiba mpya?

    Salaam! Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu, Sasa Nini kimelengwa hapo? Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi? Karibuni 🙏
  14. S

    Wanasheria nn sababu ya bunge kuvunjwa tarehe 3 August na siyo leo?

    Hivi huu ndiyo utaratibu ama imekaaje? Tunaomba mtusaidie.
  15. Bunge live, Kuna Mic imesikika inasema “kuna wanawake zako wanapiga” 😀

    Kwa wanaofuatilia bunge live , kuna mic ya mbunge imesikika ikisema “kuna wanawake zako wanapiga”
  16. Swali. Je baada ya kuvunjwa bunge, mawaziri wanaendelea?

    Kwa mujibu wa taratib naomba kujua ukomo wa ubunge, ni baada ya kuvunjwa bunge. Mtu anakuwa sio mbunge tena, je uwaziri unakaa pembeni? Tukumbushane wajuz wa mambo.
  17. Bunge linafungwa, ni Bunge la CCM, ni Bunge la kibabe

    Mama leo hii na muda huu anafunga Bunge lake. Ni Bunge la Chama kimoja ni Bunge la kibabe na Bunge lisilotambua Vyama vingi!! Ndo maana hata Spika wakti anatambulisha wageni sijasikia Kiongozi wa Kambi ya Upinzani kutajwa. Hakuna Covid-19, hakuna CHADEMA, hakuna ACT Wazalendo hakuna chochote...
  18. Tetesi: Huenda Rais Samia asilivunje bunge rasmi leo hii

    Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la wawakilishi Zanzibar mpaka tarehe 13 August 2025. Rais Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza...
  19. R

    Je! Wabunge 19 wasio na chama, wataendelea kuwa wabunge hata baada ya bunge kuvunjwa?

    Hellow! Hawakuwa na chama, lakini walikuwemo bungeni, Leo bunge linavunjwa rasmi, Je, wao wataendelea kuwa wabunge? Maana hata baada ya CHADEMA kuzuia kufanya shughhuli za kisiasa, wao waliendelea kuwa wabunge! Karibuni 🙏
  20. Matukio 12 yaliyotikisa Bunge la 12

    🏛️ 1. Kujiuzulu kwa Spika Job Ndugai Mnamo Januari 2022, Spika wa Bunge, Job Ndugai, alijiuzulu kufuatia kauli tata kuhusu mikopo ya nje. Nafasi yake ilichukuliwa na Dk. Tulia Ackson, ambaye alikua mwanamke wa pili kushika wadhifa huo baada ya Anne Makinda. 👩‍💼 2. Uteuzi wa Katibu wa Bunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…