bunge

  1. Bunge la Tanzania kwa wastani kila mwaka wanakufa wabunge wawili

    Bunge la 12 limepoteza wabunge 10,ndani ya kipindi cha miaka mitano,wastani wawabunge wawili kwa mwaka. Halu ni hiyo hiyo kila bunge Wabunge na watia nia hawapendi kusikua habari kama hizi za kutishana Tuwaombee bunge lijalo asife hata mkoja ili vaada ya miaka mitano tuwaulize wametufanyia...
  2. Bunge, Mahakama, utawala, dini, na wenye fedha wanapoungana jua tumekwisha

    Siku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi. Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha Tanzania? Hapa bado hatujagusia kuisha kwa ulalamishi wa Visiwani juu ya muungano. Je nini kifanyike...
  3. PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaishauri TEMESA kuongeza kasi ya usimamizi mradi wa kivuko kipya mafia nyamisati

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeishauri TEMESA kuhakikisha inaongeza kasi ya kusimamia mkandarasi anaetekeleza mradi wa ujenzi wa kivuko kipya cha Mafia Nyamisati ili umalizike haraka na wananchi waweze kupata huduma ya kivuko. Akizungumza mara baada ya kupokea taarifa...
  4. PreGE2025 Arusha: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaridhishwa kukamilika mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira

    Arusha, 22 Machi 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Japheth Asunga (Mb), ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa Kamati hiyo, ameongoza ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira katika Jiji la...
  5. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC) kwenye mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji

    Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutembelea mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji katika shamba la mbegu la Wakala wa Mbegu (ASA) lililopo Ngaramtoni, eneo lililowekewa miundombinu ya Umwagiliaji Hekta 160 kati ya 200...
  6. PreGE2025 Kamati ya bunge yabaini madudu Mbeya, zimepigwa milioni 73

    Vifaa vya ujenzi wa nyumba mbili za wakuu wa Idara Halmashauri ya Mbeya Mkoa wa Mbeya vyenye thamani ya zaidi ya milioni sabini tatu, havijulikani viliko na hakuna taarifa ya matumizi yake, huku Afisa Manunuzi wa halmashauri hiyo akishindwa kutoa taarifa kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...
  7. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), yalidhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Augustine Vuma, leo Alhamisi Machi 20, 2025 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga, ambapo imeeleza kuridhishwa na hatua iliyofikiwa ya asilimia 75 ya...
  8. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambao umechochea uboreshaji wa huduma katika bandari mbalimbali hapa nchini uliotokana na maboresho ya uwekezaji. Akizungumza mara baada kufanya ziara ya kujionea utendaji...
  9. PreGE2025 Bunge lirefushe madaraka ya Rais Samia ili kupisha Mageuzi ya kisheria na kikatiba

    Ni miaka zaidi ya 30 sasa imepita pale ambapo wanasiasa, wadau wa Demokrasia na wanaharakati walitaka kutokee kwa Mageuzi ya sheria za uchaguzi na Katiba ambayo yanahakisi mabadiliko ya kurejea kwa mfumo wa vyama vingi Nchini chini ya NCCR-Mageuzi, lengo la vuguvugu hili mpaka kinabadilishwa na...
  10. PreGE2025 Kamati ya bunge ya utawala, katiba na sheria yapongeza uwekezaji wa TASAF sekta ya elimu

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeeleza kuridhishwa na uwekezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika miundombinu ya elimu katika mikoa ya Tanga na Pwani, ikisema miradi hiyo ni hitaji kubwa kwa wananchi wa maeneo husika. Kamati hiyo imetoa pongezi hizo siku ya...
  11. PreGE2025 Tabora: Kamati ya Bunge yaridhishwa ujenzi Bwawa la Kizengi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson Kiswaga, imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika Kijiji cha Kizengi, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora. Pia soma Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa...
  12. Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa daraja la Pangani

    Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Seleman Moshi Kakoso amesema kazi iliyofanywa kwenye daraja hilo lenye urefu wa meta 525 ni kubwa hivyo Wizara ya Ujenzi na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), wahakikishe daraja hilo linakamilika kwa wakati ili kukuza fursa za uwekezaji katika ushoroba wa...
  13. PreGE2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yaimiza Serikali kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani

    Serikali imehimizwa kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani ili kuhakikisha anamaliza kwa wakati. Katika mradi huo hatua ya kwanza (lot one) ya ujenzi wa barabara ya Afrika Mashariki, kipande cha kilomita 34 kilichosalia cha Tanga-Pangani, ambacho kwa mujibu wa...
  14. Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Yataka Ulinzi wa Daraja la Mawe Garkawe

    KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI YATAKA ULINZI WA DARAJA LA MAWE GARKAWE OR-TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, imewataka wananchi kuacha shughuli za kilimo kando ya mto ulipojengwa Daraja la Mawe la Garkawe katika barabara ya Maretadu - Garkawe, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili...
  15. M

    Tundu Lissu akiwa Uganda amemsifia Mwalimu Nyerere lakini ni yeye ndiye aliyemtukana kwenye Bunge la Katiba

    Mwanasiasa msanii sana huyu, wakati wa bunge la katiba alimkashifu sana Baba wa Taifa, aliwaudhi watu wengi sana kwa kauli zake dhidi ya Mwalimu Nyerere. Alivyo mnafiki ameonekana kule uganda akitoa mhadhara na akamwelezea vizuri kabisa Mwalimu Nyerere. Ukiwa mnafiki utotoni ukifikia uzeeni...
  16. J

    PICHA: Namna Spika wa Bunge la Cuba anavyofanana na M|Kiti Steven Wassira

    WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.* Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika...
  17. Hungry kuondolewa haki ya kupiga kura kwenye bunge la umoja wa ulaya kwa kujiweka kwake karibu na Urusi

    Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja. Hatua ya Bunge la Ulaya ya kuiondolea Hungary haki ya kupiga kura siyo tu inayostahili bali pia ni...
  18. PreGE2025 Lissu: Mabadiliko yakikubaliwa, Uchaguzi utaahirishwa na Bunge litarudishwa hata kama lilivunjwa

    Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  19. U

    Rais wa Lebanon amwambia Spika wa Bunge la Iran: Tumelipa gharama kubwa kuwatetea Wapalestina na hivyo tumechoka na vita vya nchi nyingine!

    Wadau hamjamboni nyote? Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: February 23, 2025 Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is ‘tired of others’ wars’ Lebanese President Joseph Aoun tells Iranian Parliament Speaker Mohammad...
  20. PreGE2025 Kamati ya kudumu ya bunge yaridhishwa na ujenzi wa minara 758

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeeleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), katika kusimiamia utekelezaji wa ujenzi wa minara 758 inayojengwa katika kata 713 nchini licha ya changamoto za ubovu wa barabara zilizojitokeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…