bunge

  1. Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

    Wanabodi leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Paskali https://www.youtube.com/watch?v=rxqoSMPy4Ug
  2. Miradi hiyo hiyo inakaguliwa na mwenge wa uhuru, hiyo hiyo kamati za Bunge, hiyo hiyo CCM, hiyo hiyo inakaguliwa na viongozi wa serikali

    Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo. Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu na miradi ikawa inakaguliwa na taasisi moja maalumu baada ya hapo inapeleka ripoti kwa wengine.
  3. Bunge la 12, Dkt. Mwigulu: Uchumi wakua kwa asilimia 5.5, mfumuko wa Bei wasalia thabiti – Wizara ya Fedha yaomba TSh Trilioni 20.1

    https://www.youtube.com/watch?v=UTsVTMLcS5Q Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022. Aidha, katika kipindi cha Julai 2024 hadi...
  4. Askofu Gwajima ni maarufu kuzidi Bunge?

    Nilikuwa nimesahau kuwa vikao vya bunge vinaendelea Dodoma! Muda mfupi uliopita niliingia YouTube nikakutana na "title" yenye maneno kama GWAJIMA KIKAANGONI BUNGENI. Nikifikiri kuwa suala la Gwajima limetua bungeni, niliifungua kwa ajili ya kujua kinachojiri. Kumbe ni uongo mtu! Nilikuta ni...
  5. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 38, Juni 03, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Dhe1bpdrnXE Wabunge wamepitisha makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2025/2026, jijini Dodoma leo Juni 3, 2025. Katika mjadala wa kupitisha bajeti hiyo wajumbe wametoa ushauri mbalimbali ikiwemo Serikali kuangalia namna ya...
  6. Utazamaji kesi ya Lissu vs Bunge.

    habari, mnaruhusiwa kucheka kwa nini wananchi mnalipuuzia kuangalia bunge lenu mnaniachia mimi peke yangu na makarani wa bunge pekee(hawazidi 10)? hii haikubaliki 😂 Watanzania tunatakiwa kuliangalia bunge letu namba za views zipande pale mjini YouTube. haiwezekani kesi ya Lissu izidi Bunge...
  7. PreGE2025 Mavunde akabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bunge

    Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde amekabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bunge lengo ikiwa ni kuendelea kuwasaidia wanafunzi hao kuendelea kupata huduma ya umeme na maji pindi umeme unapokatika. Mavunde akizungumza baada ya...
  8. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 37, Juni 02, 2025

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama anatarajiwa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26, jijini Dodoma leo Juni 2, 2025. https://www.youtube.com/watch?v=PDXVMgTMq5M Wizara ya Afya imeliomba Bunge kuidhinishia TSh trilioni 1.6 kwa ajili ya...
  9. PreGE2025 Kwanini Bunge linatoa Tuzo kwa Rais kupitia jina la CCM? Hili ni jambo la hatari kwa Katiba yetu

    “Simba hana haja ya kujitangaza. Ukisikia mwituni kimya kingi, ujue ama amecheua au yuko katika mawindo.” Methali hii ya Kiswahili imenikumbusha taarifa ya tarehe 1 Juni 2025 iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikitoa pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupokea Tuzo Maalum...
  10. L

    CCM yatoa pongezi kwa Rais Samia kwa kupewa tuzo na Bunge

    Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Mapinduzi CCM,chama kiongozi Barani Afrika,chama kilichobeba matumaini ya watanzania,chama kinachoaminika ,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania kimempongeza Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
  11. Bunge la Tanzania kuondoa CV za wabunge kuogopa Gen Z wa Kenya ni utoto

    Bunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.
  12. H

    Tuiombe Dunia Imfukuze Tulia Kwenye Nafasi ya Spika wa Umoja wa Mabunge Duniani.

    Tulia, spika wa Bunge la JMT, amekuwa mstari wa mbele katika kutetea na kulinda utekaji na mauaji ya wakosoaji. Mara mbili, wabunge waliomba Bunge lijadili utekaji na mauaji ya wakosoaji, lakini Tulia, kama spika wa Bunge la JMT, alizizima hoja za wabunge hao, na kuzuia kabisa zisijadiliwe...
  13. Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 26 Mei 30, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 26 Mei 30, 2025 https://www.youtube.com/watch?v=8Orl0SHsmP8 Orodha ya Shughuli za Leo Dua Hati za kuwasilisha mezani Maswali
  14. R

    Kassim Majaliwa atakuwa mbunge wa kawaida kama Kisasa kwenye bunge lijalo?

    Waziri mkuu yupo kwenye vikao nje ya nchi. Mkutano mkuu wa chama unaendelea. Means amekosa fursa yakunong'ona na wajumbe. Mkutano huu kwenye analysis ya kisiasa alipaswa kukosa? Kwanini atumwe nje dakika hizi? Unaweza kumshauri ajiandae kumwachia Doto kiti?
  15. Bunge lapitisha zaidi ya shilingi bilioni 164.1 sekta ya ardhi

    BUNGE LAPITISHA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 164.1 SEKTA YA ARDHI Bunge limepitisha na kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kiasi cha shilingi 164,146,052,000/= ili kuendelea kutambua, kupanga, kupima na kumilikisha ardhi kwa ajili ya matumizi mbalimbali nchini...
  16. Bunge La 12: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawasilisha bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 Bungeni kupitia waziri Deogratius Ndejembi

    https://www.youtube.com/watch?v=UfR2sHGnbYE Bunge la 12 linaendelea na vikao vyake ambapo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2025/26. Bajeti hiyo inawasilishwa Bungeni na Waziri wa wizara hiyo, Deogratius Ndejembi, ikilenga kuainisha...
  17. Je bunge letu limejaa wajinga?

    Kuna kipindi Spika Ndugai iliwahi kusema mule bungeni kuna wavuta bangi balaa, na akashauri ikiwezekana hatua madhubiti zifanyike ili kunusuru ile hali. Bunge likazizima kwa makofi ikiwa ishara kuunga mkono hoja ile. Juzi juzi, Mbunge Waitara akatoa pendekezo la kuomba ofisi ya spika ifanye...
  18. S

    Kauli ya Dr Tulia kuwa wabunge walipochangia mtafaruku wa Tanzania na Kenya walikiuka maadili na kanuni za Bunge umeonyesha Naibu Spika hafai kabisa!

    Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni. Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
  19. Bunge lisilo na maono na linalokiuka katiba ya nchi

    Ndugu zangu Watanzania, huu si wakati wa kimya. Tumevumilia kwa muda mrefu. Sasa ni wakati wa unfiltered truth. Tuko katika kipindi ambapo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepoteza kabisa legitimacy yake ya kikatiba. Limegeuka kuwa a ceremonial rubber-stamp institution, linalotumika...
  20. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…