bunge la marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha CCM hamuwezi kuua watu Oktoba 29 alafu ikawa kawaida tu. Bunge La Marekani limeshikilia ile Orodha

    Wanachokitafuta CCM kwa kuendelea kumsumbua Lissu ni kuilazimisha dunia, kupitia taasisi zake kama ICC na UN, pamoja na nchi kama Marekani na za Ulaya, kuchukua hatua kali dhidi yao. Nimekuwa nikisema humu kwamba kusalimika kwa CCM kuko mikononi mwa Lissu. Kumsumbua Lissu kwa kesi za kutungwa...
  2. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani laikosoa ripoti ya Chade, lataka Samia afikishwe ICC

    https://vt.tiktok.com/ZS4J6KuBH/ Soon veri soon....
  3. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lapitisha azimo la kupinga vita Iran

    Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Baraza la Wawakilishi limepitisha tu Azimio la Mamlaka ya Vita vya Iran, 215-208. Warepublican 4 walipiga kura na Wademokrasia: Massie, Fitzpatrick, Barrett, na Davidson. Hatua hiyo inalenga kupunguza hatua zaidi za kijeshi dhidi ya Iran. Ikiwa itabadilisha chochote ni swali...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Muswada wa Bunge la Marekani ni kuingilia mchakato wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai

    Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai. Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe. Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi. Utata...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mswaada wa Bunge la Marekani kuhusu Tanzania unalenga pia kuwataja wanaohusika na ukandamizaji wa demokrasia bila kusahau waliogiza na kuekelez mauji

    Hii ni sehemu ya 5 ya Mswaada husika. Jisomee:
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge wawili wa Bunge La Wawakilishi wajiuzulu saa chache kabla ya kufukuzwa Bungeni

    Baraza la Wawakilishi nchini Marekani limekumbwa na mtikisiko mkubwa baada ya wabunge wawili wenye nguvu, Eric Swalwell na Tony Gonzales, kujiuzulu nyadhifa zao ghafla siku ya Jumanne ili kukwepa kufukuzwa kwa aibu kutokana na kashfa nzito za maadili na ngono. Kujiuzulu Dakika ya Mwisho Wabunge...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani: Kama Jumuiya za Kimataifa zingesimama na viongozi wa kidini na upinzani, mauaji ya Oktoba 29 yangeweza kuzuiwa

    Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika hotuba yake, Smith ameorodhesha nchi zinazokandamiza uhuru wa kidini kuwa ni China, Urusi, Nikaragua...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania inahaha kutafuta mshawishi 'Lobbyist' kwa Bunge la Marekani ili kujisafisha na mauaji yaliyotokea

    The Tanzanian government is on the hunt for a Washington lobbyist to help “shape its narrative” on Capitol Hill and beyond as the East African nation reels from post-election violence that has spawned its biggest political crisis in decades, according to two people familiar with the plans...
  9. JamiiForums Tanzania Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

    Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia. Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali...
  10. JamiiForums Tanzania Spika wa bunge Marekani afunga bunge baada ya kushindwa kuzuia wabunge waliojifungua kupiga kura wakiwa nje ya bunge!

    Mike Johnson, spika wa bunge la Marekani amezua gadhabu kutoka kwa raia wengi na wabunge wenzake baada ya kuhairisha bunge wiki nzima kufuatia kushindwa kuzuia muswaada wa mbunge mmoja wa chama chake cha Republican uliolenga kuruhusu wabunge wenye udhuru wa uzazi(waliojifungua watoto) kuweza...
  11. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani agoma kumpa Biden Dola Bilioni 24 kama msaada kwa Ukraine. Asema Trump ndo ataamua hatma ya Zelensky

    Wakuu, Tunapoongelea mambo ya demokrasia na uwajibikaji basi bila shaka Marekani inakuwa ni nchi mama. Hivi karibuni Speaker wa Bunge la Marekani amekataa ombi la Rais Joe Biden la kupeleka msaada wa Bilioni 24 nchini Ukraine. Mike Johnson ambaye anatokea kwenye chama cha Republican amesema...
  12. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Bunge la Marekani ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti

    Serengeti. Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Ujumbe wa Wafanyakazi wa Bunge la Marekani ukiongozwa na Bi. Courtney Butcher, ambao wamefanya ziara nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba 2024. Dhumuni la ziara hiyo ya miadi ni kujadili namna...
  13. JamiiForums Tanzania Akihutubia Bunge la Marekani, Netanyahu alisema ni wakati sahihi wa Iran kupigwa

    Israel ndilo taifa linaloongoza kwa kutengenezewa vikundi vingi vya kigaidi ili tu lisiwe na amani na pengene mpango wa viongozi wenye kutengeneza vikundi hivyo, ni kulifuta Taifa hilo. Irani kuchangamkia vita kwa sasa dhidi ya Israel, ni Isarel baada ya kumuua Gaidi na kiongozi wa makundi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Marekani: Biden hafai hata kupewa muda uliobakia

    Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi Mwanadamu haridhiki kabisa walimtaka asigombee amalizie ingwe yake na amekubali sasa hawataki hata kumalizia...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau kulihutubia Bunge la Marekani muda wowote

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa rasmi kutoka Congress Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni. Mungu ibariki Israel
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge la Marekani

    Kamati ya Bunge la Marekani🇺🇲 kuhusu Mambo ya Nje imemuandikia barua Spika wa Bunge kuomba ridhaa yake ili Rais William Ruto ahutubie kikao cha pamoja cha Bunge hilo Iwapo Mheshimiwa Spika atakubali, Rais William Ruto atakuwa : • Kiongozi wa kwanza kutoka Kenya kuwahi kuhutubia Bunge la...
  17. JamiiForums Tanzania Tiktok yaligomea Bunge la Marekani, ByteDance yasisitiza haitauzwa

    Kampuni ya ByteDance ambayo ni Kampuni mama ya Mtandao wa Kijamii wa TikTok, imeshikilia msimamo wake kuwa haitauza mtandao huo licha ya tishio la kufungiwa nchini Marekani. Bunge la Marekani hivi karibuni lilipitisha sheria ya kuilazimisha Bytedance, ambayo ni Kampuni ya China kuuza mtandao...
  18. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lapitisha muswada wa kuifungia TikTok

    Hivi majuzi Baraza la Wawakilishi lilipitisha mswada ambao unaweza kusababisha kupigwa marufuku kwa TikTok nchini Marekani. Sheria inamtaka ByteDance, mmiliki wa China wa TikTok, kuuza maslahi yake kwa kampuni ya Marekani ili kuepuka marufuku. Mswada huo sasa umehamia kwenye Seneti, ambako...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Baada ya mkwamo wa muda mrefu uliochangiwa na baadhi ya wabunge wa Marekani wenye mahaba na Putin hatimaye bunge la Marekani limepitisha kifurushi kipya cha $billion 60 kwa vita vya Ukraine. Msaada huu mpya kwa Ukraine unajiri baada ya mwaka mmoja na nusu tangu bunge lililokuwa likiongozwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok

    Bunge la Marekani limepitisha Muswada wa Sheria itakayoruhusu kufungiwa kwa TikTok, mtandao wenye Watumiaji Wamarekani takriban Milioni 170, kama haitatengana umiliki wake na kampuni ya ByteDance yenye asili ya China. Wakitoa maoni ya kupitisha Muswada huo, Wabunge wamesema TikTok inahatarisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…