bukoba

Bukoba is a city situated in the north west of The United Republic of Tanzania on the south western shores of Lake Victoria. It is the capital of the Kagera region, and the administrative seat for Bukoba Urban District. Population estimate: 100,000. The city is served by Bukoba Airport and regular ferry connections to and from Mwanza, as well as roads linking to Uganda's Rakai District for the cross border car commuters with plans underway for a standard gauge railway construction[1] to fulfil the high ambitions of Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Kuzorota kwa huduma za Tiba na Matunzo kwa WAVIU mkoa kwa Kagera kuanzia January 2026

    Habari, Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini. Kuanzia mwezi wa pili mwaka 2026, sisi WAVIU tumeanza kupata shida ya kuzorota kwa huduma. Kwa mfano...
  2. A

    KERO Ujenzi wa Barabara hii ya Bukoba Manispaa ulitakiwa kukamilika Oktoba 2024, haujakamilika hadi Februari 2026

    Ujenzi wa kipande cha Barabara ya Kilomita 1.6 kinachopita maeneo kadhaa ndani ya Manispaa ya Bukoba ambacho ujenzi wake ulianza Oktoba 9, 2023 ilipaswa kukamilika tangu October 8, 2024 mpaka leo Feb 16 2026 hakijakamilika na kuta zinazidi poromoka. Kinachosikitisha zaidi ni kuwa kuta za mawe...
  3. figganigga

    DCP Michael Kamuhanda Kuzikwa kesho Bukoba

    Salaam Wakuu, Hadi sasa sijapata Orodha ya Mtu yeyote wa kitaifa kuhudhuria Msiba wake. Japo alliwapania. Hata IGP hatakuwepo. Huyu Muhaya kesho Tarehe mbili anazikwa Bukoba Mkoani Kagera. Huyu Jamaa aliua ndugu yetu, waandishi wetu Daud Mwangosi kwa sifa. Sasa anaenda peke yake kaburini...
  4. R

    Wahaya wamepinda, ndege zote Bukoba to Dar zimejaa mpaka Lyamba!

    Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.! Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays! Tutajuta kwenda huko! Ngoja nipande Katarama Bus 😅😄😃😁
  5. Roving Journalist

    Responded Madai ya Halmashauri Bukoba kuuza mchanga wa makaburi ya Kishenge, magari yapigwa marufuku kuingia eneo hilo

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika. Kusoma hoja ya Mdau...
  6. A

    KERO Hii biashara ya Mchanga wa Makaburini eneo la Kishenge (Bukoba) ni Mradi wa Halmashauri?

    Kwenye Mji wetu wa Bukoba Mkoani Kagera Uongozi wa Mkoa ulitangaza kuhamisha makaburi ya Kishenge ili kujenga kitega uchumi, lakini sasa eneo hilo limegeuka kama ‘dili’ la ushirikiana. Walitoa makaburi kadhaa kisha watu wakaanza kuchimba mchanga wa makaburini (eneo ni mchanga mtupu). Sasa...
  7. JanguKamaJangu

    Ongezeko la ajali Kemondo - Bukoba lawaingiza Mtaani Bwanku na Jeshi la Polisi kutoa elimu

    Ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili Kata ya Kemondo imeshuhudia ajali 3 za barabarani zilizoua watu watatu, kufuatia matukio haya ya ajali Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku, Ijumaa Oktoba 3, 2025 ameongozana na Polisi Kata wa Kemondo Afande Huruma...
  8. JanguKamaJangu

    Meli ya New MV Mwanza ilivyofanya safari ya kwanza Mwanza kwenda Bukoba

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia safari ya kwanza ya meli ya MV New Mwanza kutoka Bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza kuelekea Bandari ya Bukoba ikiwa imebeba wataalamu kutoka kwa Mkandarasi, Maafisa wa Serikali na wawakilishi kutoka vyombo vya...
  9. W

    GE2025 Mgombea Ubunge Bukoba: Nawaahidi ndani ya miaka 5 ijayo Bukoba itakuwa kama Ulaya

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi Johnston Mtasingwa, aliomba kura kwa wananchi mbele ya mgombea mwenza wa Urais wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashai, mjini Bukoba.
  10. britanicca

    Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

    Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !! Kwanza hawana stend! Hawana soko! Barababara kuu imekwama na pesa wamekula! Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango Britanicca
  11. chiembe

    Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

    Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono. Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa...
  12. Blasio Kachuchu

    Miaka 15 ya Mafanikio: Josiah Girls’ Secondary School Yazidi Kutoa Kizazi Chenye Ndoto na Upeo

    Na Mwandishi Wetu, Bukoba Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah imeadhimisha miaka 15 tangu kuanzishwa kwake kwa Ibada Kuu ya Shukrani iliyoongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dkt. Alex Malasusa. Katika mahubiri yake...
  13. Now and then

    Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  14. W

    GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni Bukoba vijijini

    Bukoba Vijijini | CCM Kura za Maoni Falis Athumani Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni baada ya kutoridhika na matokeo hayo yaliompa ushindi Dk. Jasson Samson Rweikiza, aliyeibuka mshindi baada ya kupata kura 6,485 kati ya kura halali 11,582 Falis Athumani Buruhan, alipata kura...
  15. DR HAYA LAND

    GE2025 Siasa za Bukoba Mjini Kati ya Lwakatare na Kagasheki ilikuwa hatari sana ile ligi!

    Miaka imeenda Sana . Tumepoteza ladha katika siasa zetu , Pale Bukoba Mjini kulikuwepo VITA Kali Sana Kati ya Lwkatare na Kagasheki hii ilikuwa zaidi ya Simba na Yanga. Kura zilikuwa zikipigwa haijulikani nani atashindwa. Wote hawa wamekalishana Benji. Mmoja anaingia mmoja anaingia benchi.
  16. Mmawia

    Masikini Byabato ametupwa kabisa Bukoba aliponzwa na makundi ndani ya CCM

    Huyu dogo BYABATO alikuwa ni kijana kichwa sana pale mjengoni. Wana BUKOBA alikuwa na mbunge mwenye uweledi sana kuanzia maisha ya Elimu na heshima kwa jamii. Lakini akakutana n a wabunge mapapa hasa pale alipo kuwa kwenye unaibu waziri chini ya January pale Nishati. Leo hii masikini uteuzi...
  17. cutelove

    Umetoka Dar mpaka Bukoba kuja kunitafuta au kuna biashara zako

    Simu yangu inaita ilikuwa saa saba mchana wa leo,kwa kuwa nilikuwa kwenye kikao kazi kuhusu uchaguzi sikupokea simu,niliacha iite coz ilikuwa namba ngeni Baada ya kuita mara kadhaa sms ikaingia "Naitwa R ulinipaga namba jf kipindi umekuja Dar,nipo Bukoba mjini naomba tuonane" Nimejibu"Niko bize...
  18. JanguKamaJangu

    RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na fedha, asipokuja nazo nitamuweka ndani

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa ameipa siku mbili Kampuni ya IFS Consulting Limited ambayo ilipewa tenda na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ya kupakia na kushusha mizigo, kuwalipa fedha wabeba mizigo malipo yao wanayodai ya wiki Tisa katika Bandari ya Bukoba Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
  19. JanguKamaJangu

    wafanyakazi Wanaobeba mizigo Bandari ya Bukoba wafanya mgomo wakidai malipo yao

    Wafanyakazi wa kubeba mizigo katika Bandari ya Bukoba mkoani Kagera wamegoma kufanya kazi wakilalamikia kutolipwa stahiki zao kwa muda mrefu, hali ambayo imeathiri maisha yao ya kila siku. Chanzo: Azam TV Pia soma ~ RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na...
  20. Valencia_UPV

    Wazazi hawataki nioe Mwanamke toka Bukoba

    Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Back
Top Bottom