bucha

Bucha (Ukrainian: Буча) is a city in Ukraine's Kyiv Oblast. Administratively, it is incorporated as a city of oblast significance. Its population is approximately 36,284 (2020 est.).

View More On Wikipedia.org
  1. lewiathan

    Nauza Samaki Aina zote Kutoka Ziwan Tanganyika, fresh fish (Wenye Bucha za Samaki)

    Aina za Samaki Sangara. Kg 1 Tsh 10,000 Kuhe. Kg 1 Tsh 11,000 Sato. Kg 1. Tsh. 9,000 Migebuka Kg 1. Tsh 8,000 Nungi. Kg 1. Tsh 8,000 Kungura. Kg 1. Tsh 8,000 Singa. Kg 1. Tsh 7,000 Napatikana Sumbawanga. (Usafr Juu yako Mteja) Name: Silvester...
  2. Tumpara Dudu

    Machimbo ya bidhaa za buchani

    Habari za mda huu wakuu? Kama kichwa Cha habari kilivyoeleza hapo juu. Naomba kujulishwa MACHIMBO ya jumla ya bidhaa za BUCHANI mfano samaki,nyama,kuku wa kienyeji na broiler na
  3. Fbn

    Bucha la kitimoto linalipa tena ukiliweka classic

    Achana na biashara za kukaanga kitimoto na sema bucha la kitimoto chenye chuki kubwa duniani ila ndio nyama tamu ya kumtoa ubwabwa jikoni. Watu wanasema fursa hakuna ila fursa zipo japo nchi ya utawala wa ovyo ndio shida. Bucha classic ambalo utatoa maelekezo wasio tumia kuwa sio sehemu yao...
  4. B

    Bucha la nyama ya mbuzi vs bucha la nyama ya kuku wa kienyeji

    Habari wakuu Naomba uzoefu...Niko na mawazo haya mawili bucha la nyama ya mbuzi au bucha la nyama ya kuku wa kienyeji biashara ipi italipa location ni dar
  5. nipo online

    Biashara ya bucha au saloon?

    Wakuu nina 1,000,000 kati ya kuongeza salon ya pili na kufungua bucha la nyama ipi inaweza nilipa? asanteni
  6. B

    KERO Arusha-Arumeru: Choo kinajengwa karibu na bucha la nyama

    Wakuu natoa kero yangu katika mkoa wa Arusha wilaya ya Arumeru kwenye soko la TENGERU Ni halimashauri wanajenga choo karibia na sehemu ya kuuzia nyama (BUTCHER) hivi kwel mamlaka hawakuona sehemu nyingne tofaut na sehemu ya butcher Tena sehemu ambayo biashara ya mnada hufanyika. Wahusika...
  7. M

    BUCHA LA NYAMA

    Habarini members ,poleni na swaumu na qaresma , allah awafanikishe kipind hiki kitakatifu. Back to topic , baada ya kufanya utafiti nimegundua biashara ya kuuza nyama ya ng'ombe inaeza nipunguzia maumivu ya Tozo , ila bahati mbaya sina uzoefu na hii biashara hivyo nlihitaji msaada wenu hasa...
  8. KING MIDAS

    Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

    Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana. GHARAMA: 1. Frame...
  9. Sir Kisesa

    BUCHA YA NYAMA YA MBUZI

    Habari Naomba wazoefu mnisaidie , nikifingua Bucha yq Nyama ya Mbuzi itanilipa? Naona mabucha mengi ni Ng'ombe. Naomba wazoefu mnisaidie, je inalipa location ni Dar
  10. B

    Nilishindwa kumuoa sababu ya mahari waliyohitaji wazazi wake

    Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani...
  11. cabo

    KERO Mataa ya Korogwe, Bucha (kwa Thomas) na Kibo hayafanyi kazi na kupelekea madereva kuvunja sheria za barabarani

    Habari za muda huu waungwana, kutokana na ujenzi unaoendelea wa upanuzi wa barabara kutoka Ubungo mpaka Kimara mwisho haya mataa ya hapa Korogwe, Bucha (kwa Thomas) nasikia hili jina lilikuja kutokana na huyo mzee yeye ndio alikuwa anauza mdudu pendwa yule kwa wale wenzetu wasiopenda kumla...
  12. S

    Raisi Samia, utatembelea bucha zote lakini maini ni yale yale!

    Sintashangaa kwamba katika maraisi wote wa Tanzania, Raisi Samia atakuwa anashikilia rekodi ya kuteua na kutumbua, na kama bado hashikilii hiyo rekodi, basi ataishikilia hivi punde, na huenda ikawa ni rekodi ya raisi aliyeteua na kutumbua kwa kiwango cha juu zaidi duniani! Nataka nikueleze wazi...
  13. Meshaki Richard

    INAUZWA Mashine za kukata nyama kwenye bucha

    Hello Unahitaji mashine ya kukata nyama kwenye bucha pata kwetu na waranti ya mwaka mmoja Mashine tunauza kwa 1300000 tu tupo kariakoo mtaa wa masasi na ndanda Namba zetu 0774150519 Instagram follow Kariakoo machines
  14. adakiss23

    Traffic Lights za Kimara Bucha hazifanyi kazi kwa muda sasa. Wahusika kulikoni?

    Takribani wiki na zaidi traffic lights zilizopo Kimara Bucha hazifanyi kazi na wahusika wako kimya. Ni eneo hatari mno kwa watumiaji wa barabara, kutofanya kazi kwa taa hizi ni sawa na kuliandaa taifa kuelekea msiba mzito maana hakuna anayejali si Tanroads ambao ndo wahusika wa kuu wala askari...
  15. Mr Why

    Natafuta bucha la nyama ya mbuzi Dar es Salaam

    Wapendwa natafuta bucha linalouza nyama ya mbuzi Dar es Salaam Ni muda mrefu sana sijapata hii nyama mwenye connection atoe location na namba zao za simu
  16. Pdidy

    Ibungo club Kimara Bucha imekuwa kanisa{kanisa la toba}

    Wakati wa Mungu ukifika hakuna apingaye aiseeeee, kuna Mh mmoja alisema hizo club na kumbi za starehe mtageuza makanisa nimepita ibungo club ya pale bucha florid duh baada ya muda mrefu kutopita njia hio naona chata kubwa. KANISA LA TOBA Mungu azidi kuimidiwa na kutangazwa popooteeeeee Sema...
  17. M

    Inaitajika frame ya kuweka bucha ya Kitimoto (pork burchery)

    Wadau, Inaitajika frame ya kufungua bucha ya kitimoto, iwe sehemu yoyote yenye mzunguko mikubwa wa watu kwa dar es salaam. Nicheck kama unayo au mawazo. Ahsante
  18. Desierto

    Wewe jamaa wa bucha soko la Samunge nakuonya acha kuwakwaza majirani zako kwa makelele ya radio

    Huyu jamaa Tania yake ni kufungulia habari za manabii tena kwa sauti kubwa baada ya kuwatazama wale wa mama pale mbele ya bucha yake niliwaona kabisa wakionyesha kukerwa na hayo makelele ya radio yako ya battery 4. Mimi si mfanyabiashara wa hilo eneo lakini Nina kuomba tu acha maana soon...
  19. chuma jr

    Tupeane muongozo jinsi ya kufungua biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe

    Habari za majukumu wakuu Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za kufata tunakuomba uje utupe white hapa ili kama kuna mwengine anawaza hii biashara bas ajue pa...
  20. mavaldo

    Msaada eneo la biashara ya bucha

    Naulizia maeneo ya kufanyia biashara ya bucha ambayo kuna mzunguko mkubwa wa watu na uwezekano wa kupata wateja wengi pamoja makadirio ya kodi ya fremu. Niko eneo la daressalaam
Back
Top Bottom