bucha

Bucha (Ukrainian: Буча) is a city in Ukraine's Kyiv Oblast. Administratively, it is incorporated as a city of oblast significance. Its population is approximately 36,284 (2020 est.).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Biashara ya bucha ya nyama ya ngombe-bunju b mapwepande

    Ndugu zangu, Kutokana na kuhamishiwa kikazi mkoani katavi, sina jinsi zaidi ya kuiuza biashara yangu ya bucha ya nyama ya ngombe, iliopo eneo la bunju b mabwepande(off mabwepande road). Bucha hii ni mpya na tulifikia mauzo ya kg 50-60 kwa siku. Inauzwa kwa bei ya millioni mbili (2 millioni...
  2. Chendembe

    Kuna umuhimu wowote wa mabucha yetu Tanzania kuuza nyama pamoja na mifupa?

    Wanabodi, imekuwa kawaida kwa Bucha zetu nchini kuuza nyama na mifupa yake. Awali walitumia mashoka kupasua mifupa hiyo na sasa misumeno inayoendeshwa na umeme imetamalaki. Kwa hali ilivyo sasa katika Bucha nyingi, mifupa ni muhimu katika kutengeneza faida kwao na karaha kwa walaji. Uwa...
  3. M

    Ajira: Muuza Bucha ya nyama anaitajika

    Anaitajika Muuza bucha mwenye uzoefu wa kuuza bucha ya nyama na samaki kwenye jiji LA Dar as salaama, ikiwemo uzoefu wa kufata mzigo kwenye machinjio kama vingunguti na kwingineko. Bucha iko maeneo ya Bunju B, mshara ni 300,000/= kwa mwezi. Uzoefu ni muhimu kwani tuna wateja wanaoitaji aina...
  4. M

    Anahitajika kijana wa kuuza bucha

    Anaitajika mtu mwenye uzoefu wa kuuza bucha ya nyama na samaki kwa ajira ya muda mrefu. Bucha iko bunju. Ni PM kama unauzoefu na kazi hii.
  5. TheDreamer Thebeliever

    Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa

    Habari wadau..! Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa. Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
  6. The Assassin

    Je, kuna Bucha za nyamapori hapa Dar es Salaam?

    Natambua kuwa TAWA ama Wizara ya Utalii ilizindua utaratibu wa uwindaji na uuzaji wa nyamapori kwenye baadhi ya mikoa kama Katavi, Dodoma na kwingineko. Naomba kufahamu kama huduma kama hiyo imeanzishwa mkoa wa Dar es Salaam. Nimechoka nyama za mbuzi, kuku, ng'ombe na kitimoto. Natamani kula...
  7. michibo

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya bucha

    Naomba kupata ABCs za biashara ya bucha. Kuanzia vifaa vinavyohitajika gharama zake, vibali na upatikanaji wake. Ikipendeza zaidi, basi na bei ya nyama machinjioni na makadirio ya faida kwa kilo. Na taarifa zote muhimu zinazohitajika. Natanguliza shukrani. ===== Mchango wa mdau
  8. Kisoda James

    Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

    Mama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni 80 alikuwa anataka kuziweka bank ili asizitumie vibaya. Alikuwa anataka bank iwe inamlipa kiaso cha...
  9. Second Lieutenant

    Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Habari za Mchana wana JF, Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business. WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII MICHANGO NA MIONGOZO
Back
Top Bottom