brown

Brown is a composite color. In the CMYK color model used in printing or painting, brown is made by combining red, black, and yellow, or red, yellow, and blue. In the RGB color model used to project colors onto television screens and computer monitors, brown is made by combining red and green, in specific proportions. In painting, brown is generally made by adding black to orange.
The brown color is seen widely in nature, wood, soil, human hair color, eye color and skin pigmentation. Brown is the color of dark wood or rich soil. According to public opinion surveys in Europe and the United States, brown is the least favorite color of the public; it is often associated with plainness, the rustic, feces, and poverty. More positive associations include baking, warmth, wildlife and the autumn.

View More On Wikipedia.org
  1. Dereva Bodaboda Brown Anthony asafiri kwa Bodaboda kutoka Mbeya hadi Dar kwa kutumia saa tisa

    Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
  2. Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
  3. Kwanini Foxy Brown yupo underrated kwenye game la HipHop hapewi heshima kubwa anayo stahili

    Kwa nini game ya HipHop upande wa kina dada haimpi heshima kubwa sana Foxy Brown ?
  4. Chris Brown kufanya show kwa Mkapa, Tanzania

    Muandaaji wa matamasha mtanzania au mrundi anaeishi Canada PCK adai miezi ijayo Chris atafanya show kwa Mkapa na tayari ashaongea na management yake na kukubaliana kila kitu venue itakuwa LAKI na ishirini kama kiingilio cha chini zaidi.
  5. Kwanini Soudy Brown huvaa mask?

    Sababu gani hasa inayo mfanya Soud Brown kuvaa mask? Anaficha nini?
  6. Kauli ya Chriss Brown kuhusu ndoa alipoulizwa kwann haoi?

    “I don’t want to get married because I’ve realized all women do is try to use marriage as a quick way to get rich and continue their expensive lifestyle after making you sign the dǐvorce papers. Most of them come with a plan. They act sweet, marry you, and all of a sudden they switch and show...
  7. Wazee hivi huyu msanii trey Songz anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwasha sana

    Huyu mwamba alikua anatoa ngoma Kali sana Sasa hivi naona amestop kutoa ngoma na Mimi ni shabiki yake Sasa najiuliza jamaa anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwashaa sana tu Sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini Kwa huyu mwamba
  8. G

    Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  9. Tyla awaburuza Chris Brown, Burna Boy na Usher tuzo za MTV Video Music Awards 2024

    Mwaka huu umeweka alama nyingine muhimu kwa muziki wa Afrika baada ya Tyla kushinda tuzo ya "Best Afrobeats" kupitia wimbo wake maarufu "Water." Tyla, wa Afrika Kusini ameshinda tuzo hiyo katika kipengele cha Best Afrobeats katika tuzo za MTV Video Music Awards (VMAs) za mwaka 2024 na kuwabwaga...
  10. My Brown Sugar

    Ilianza kama utani lakini sikujua kama itatokea siku nita fall in love na wewe,wala sikuwahi kuwaza kwamba utakuja kuziteka hisia zangu Wakati mwingine huwa napotezea lkn ukweli unabaki pale pale kwamba hakika moyo wangu umekupenda,,naweza kuyadanganya mawazo yangu lkn si moyo wangu Hatujawi...
  11. L

    Bajaji TVS Apache 1604v 2020 Brown inauzwa 3.2million kazi kwenu.kwa mawasiliano piga 0695022051

    Habarini Wana JF kwa anaetaka kuanza biashara ya bajaji Karibu sana bajaji inauzwa na ipo vzr sana bei ni 3.2 million tu
  12. D

    The DaVinc code by Dan brown; Part 1

    Salamu wana jamvi, leo nimeona niwaletee chapisho linaloelezea kitabu maarufu sana cha hadithi kinachojulikana kama’’The DaVinci Code”. Kitabu hiki nimekisoma hivi karibuni nikaona si vibaya kuleta hapa ili kujifunza. Kitabu hiki kilmeandikwa na mwandishi Dan Brown na kutolewa mwaka 2003...
  13. Nightmares - Chris Brown ft Bryson Messia

    ...
  14. Yule mwanamuziki bora wa muda wote "CHRIS BROWN" ameachia album kali funga mwaka

    Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy. Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka kama alivyo ahidi mwenyewe kuwa mwezi wa 11.2023 ataachia na bila kusita mtaalamu Breezy kawapa...
  15. Chris Brown kuachia albam ya 11 tarehe 11 mwezi wa 11 na itakuwa na Nyimbo 11

    Nyota huyo wa Muziki wa R&B kutoka Marekani, amesema albam itaitwa "11:11" na itakuwa na nyimbo 11, tofauti na ilivyozoeleka katika albamu zilizopita ikiwemo 'Heartbreak' on a Full Moon, Indigo iliyokuwa na nyimbo 57. Breezy amesema licha ya mashabiki zake kutaka albam yenye nyimbo nyingi...
  16. B

    Chris Brown naona kama amekuwa mwanamuziki wa ovyo siku hizi

    Sio yule Chris Brown wa kipindi ile na zile hit songs zake, kama kiss kiss, turn up the music, transform ya, international love aloshirikishwa na pitbull, She ain't you, no air, loyal, na hit song yake national ya mwisho aloshirikishwa Na lil dicky inaitwa freaky Friday.. Sasa hivi ana...
  17. Beki wa zamani wa Man United, Wes Brown afilisika

    Brown (43) ambaye alikuwa analipwa mshahara wa Pauni 50,000 (Tsh. Milioni 145) kwa wiki ametangaza hali hiyo Mahakama Kuu ikiwa ni mwaka mmoja tangu kuvunjika kwa ndoa yake. Nyota huyo aliyedumu United kwa miaka 15, na kucheza mechi 23 za timu ya Taifa ya England aliondoka katika nyumba...
  18. Chris Brown ahojiwa na Polisi kwa vurugu zilizotokea baada ya kuingia Klabu

    Polisi wa England wamemhoji Star huyo wa R&B kutokana na vurugu zilizotokea kwenye Klabu ya Usiku ya 'Tape' jijini London ambapo Watu walioambatana naye walipigana na Walinzi wa Klabu na kusababisha Mtu mmoja kujeruhiwa kwa Chupa Kichwani na kukimbizwa Hospitali. Chris Brown anayeendelea na...
  19. Hivi kwanini Brown alishika Tama ?

    Nakumbuka Kibanga alivyompiga Mkoloni, nakumbuka Anduje alikuwa mfupi, nakumbuka Baba Mmoja alivyorudi toka Safari ya Mbali...., Nakumbuka yule dogo mtesa wanyama alivyonyooshwa na Jogoo, vilevile namkumbuka Kimweri na ndoto zake, nakumbuka yule ndege mzuri mwenye rangi za kupendeza. bila...
  20. Baada ya Diamond platnumz kuonekana moja ya club ambayo Chris Brown alikuwa akifanya Show

    Wabongo bhana..... Diamondplatnumz baada ya kuonekana kwenye moja ya club uko london akiwa anashuhudia show ya msanii nguli wa Rnb na pop/ Chris Brown, wabongo wamekuja na lao jambo kuwa tiyari Diamondplatnumz ashafanya wimbo na Chris Brown... kweli Tunaushabik wa kidenzi sana 😁😁😁 nimecheka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…