Nakumbuka Kibanga alivyompiga Mkoloni, nakumbuka Anduje alikuwa mfupi, nakumbuka Baba Mmoja alivyorudi toka Safari ya Mbali...., Nakumbuka yule dogo mtesa wanyama alivyonyooshwa na Jogoo, vilevile namkumbuka Kimweri na ndoto zake, nakumbuka yule ndege mzuri mwenye rangi za kupendeza. bila...