Mamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini?
Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya binadamu 29.10.2025 haikuwatosha
Watumishi sita wa afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma...
INASADAKIKA watu zaidi wawili wamefariki kwenye ajili hii iliyodaiwa kutokea tarehe 26 Januari 2026 eneo la Kibiti wakiwa wanatoka kwenye kisiwa cha Mafia.
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Rufiji, Protas Mutayoba, amesema boti hiyo ilikuwa imebeba abiria 11 na imepata ajali katika eneo...
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limepokea boti ya mwendokasi itakayotumiwa na kikosi cha polisi wanamaji kwaajili ya Doria katika ziwa victoria hatua inayolenga kupambana na vitendo vya kihalifu pamoja na kudhibiti uvuvi haramu.
Boti hiyo iliyogharimu zaidi ya shilingi milioni mia nne itasaidia...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawatafuta watu wawili ambao bado majina yao hayajafahamika baada ya kutoroka na kutelekeza boti ambayo ilibeba shehena ya dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka nchini Kenya kuja Tanzania kupitia Bahari ya Hindi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
WAZIRI DKT. KIJAJI AKABIDHI BOTI ZA UVUVI ZENYE THAMANI YA BILIONI 2
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amekabidhi boti 13 za Uvuvi zenye thamani ya takribani shilingi Bil. 2 kwa Vikundi vya mikoa ya Pwani na Dar-es-salaam ambazo zinatarajiwa kuwanufaisha zaidi ya Wavuvi 205 wa...
Wakazi wa maeneo ya Ipogolo Kitwiru na mengine ya karibu mjini Iringa wamekusanyika katika eneo la Eso mjini Iringa kushuhudia boti ya uokoaji inayoelekea ziwa Victoria jijini Mwanza huku wakisifu juhudi za Serikali ya awamu ya sita katika kuboresha maisha ya watu wake
Soma Pia:Boti...
Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara.
Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana. Najiuliza kwanini haijasafirishwa Vipande? Mzigo kama huu unatakiwa Uchinjwe ndo usafirishwe
Kuna...
Anayeweza kunisaidia kufafanua bot inayosafirishwa kupita mikoa zaidi ya 4 kwa siku 30 kwanini lisingesafiri kwa maji kutoka Mtwara mpaka Mombasa Kenya kisha, wasafirishe mpaka bandari ya Kisumu kisha iingie kwenye maji yenyewe mpaka Mwanza?
Wataalam walitumia tathimini gani kuona njia...
Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
boti
hawana
haya
itakuwa
klabu
klabu ya simba
kupigwa
kwenda
laana
lazima
mashabiki
mechi
milele
mpaka
mungu
nauli
radhi
simba
uwezo
wewe
yakubali
yathibitisha
zanzibar
Boti ya mbao yenye injini iliyokuwa na abiria wapatao 400 imeshika moto na kupinduka kwenye Mto Congo karibu na mji wa Mbandaka Kaskazini Magharibi mwa nchi ya Congo, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 50.
Kamishna wa Mto Congo Bwana Loyoko, aliambia Shirika la Habari la Associated Press...
Nimeona picha za Mhe. Rais kuzindua Boti za Wavuvi huko Tanga.
Cha kusikitisha pamoja na nchi yetu kuzalisha Ma engineer tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mradi huo wa Boti za Uvuvi unazinduliwa kwenye Pwani ya Bahari ambayo haina hata eneo maalum la kisasa la kuegesha na...
Huko nchini Brazil Influencers wawili wameripotiwa kufariki dunia baada ya kukataa kuvaa Jaketi za kuokoa maisha walipokuwa kwenye boti ya mwendo kasi iliyozama pwani ya Brazil. Walikataa kuvaa jaketi hizo kwa sababu hawakutaka kuharibu mwonekano wao kwenye picha walizokuwa wakipiga kwa ajili ya...
Zaidi ya Watu 100 wanadaiwa kupoteza maisha baada ya Boti ya Abiria kuzama kwenye Mto Niger wakati ilipokuwa ikitoka Kijiji cha Mundi kuelekea Kijiji cha Gbajibo.
Shirika la Usimamizi wa Dharura la Jimbo la Niger (Nsema) limesema uokoaji wa awali umefanikiwa kupata miili 26 na juhudi...
Inasikitisha sana kusoma kwamba Zaidi ya Vijijini 23 Wilayani Rufiji vilivyopo kwenye blonde la mto Rufiji Vimekumbwa na Mafuriko Makubwa ya maji kutoka bwawa la umeme la Nyerere.
Vijiji hivyo viko kwenye kata 12 Zenye kaya zaidi ya 1,000 ambapo makazi,mashamba,mazao na Mali nyingine...
MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka kwenye 'Boti'.
Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024...
Mamlaka ya bandari Zanzibar sidhani kama haioni hali ya sehemu ya kusubiria boti kwenye bandari yao. Wateja wengi wa boti hupanda economy class ambayo watu wengi husubiria huku kwenye viti vya plastic.
Safari inamtaka mtu afike pale walau lisaa limoja kabla. Hivyo hutumia viti akisubiria...
Kwanza kabisa niwapongeze kwa kuwa na usafiri mzuri na wa uhakika ila niwape ushauri kidogo.
Hata kama ni daraja la Economy tambueni kuna watoto, wazee na wanaohitaji msaada. Tiketi hata za basi siku hizi kuna namba ya siti ila kwenye boti zenu daraja la economy kiukweli mnakose. Boti inajaza...
Wabunge hao wamesema Bunge haliwezi kuidhinisha kiasi hicho cha Fedha kwasababu ni matumizi mbaya ya Kodi za Wananchi hasa kwa kipindi ambacho Nchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa Uchumi.
Serikali ya Rais Bola Tinubu imeanza kukumbana na changamoto tangu kuingia kwake madarakani ambapo mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.