boresha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    SoC02 Lima matunda uinuke kiuchumi na boresha afya yako

    Napenda kutoa ushauri kwa kila mtu anayeweza kupanda miti ya matunda ya aina mbalimbali apande kwa wingi,ikishindikana kupanda kwa wingi, panda angalau hata miti mitatu ya matunda aina tofauti tofauti kwani kuna matunda yanatofautiana misimu japo matunda mengi yanafanana misimu ya upatikanaji...
  2. Yesu Anakuja

    Boresha Dodoma iwe kama WindHoek

    Nimeona tayari ikulu kama imeshaisha Dodoma. Nawapongeza Dodoma city kwa mpango miji walioufanya, aina za nyumba, kuna maeneo ukienda utakuta nyumba zote rangi moja. Tunaomba sasa Mh. Rais aboreshe zile barabara, sio viwe vibarabara vidogovidogo kama vya miji ya kibongo, tunao uwezo kuifanya...
  3. Program Manager

    USAID Boresha Afya Southern Zone, mtalipa lini madai ya community testers?

    Kwa kifupi sana ni kwamba shirika linalohusika na program ya Boresha Afya Southern Zone halijalipa allowance na nauli za community & facility testers pamoja na CBHS wao kwa kazi ya wiki ya mwisho wa mwezi wa 9. Tatizo liko wapi? Ni sawa project zimeisha je mtalipa madai hayo ya vijana...
  4. Championship

    Pendekezo: Jangwani paboreshwe Wamachinga wa Kariakoo wahamishiwe hapo

    Wanabodi, Ni dhahiri kwamba ipo changamoto kubwa sana ya wafanyabiashara hawa wadogo pale Kariakoo. Wamekuwa wengi mno na kusababisha adha kubwa sana kwa wenye maduka na wateja waendapo kupata huduma. Ninapendekeza eneo lote la jangwani painuliwe, pajengwe vizuri na kuwekewa vibanda modern...
  5. Huihui2

    Rais Samia boresha kila kitu tutakusahau, ila ukimaliza mchakato wa Katiba tutakukumbuka milele

    J K Nyerere alikuwa Pan Africanist na hicho ndicho kilicho mpamanua dhidi ya wenzie kama akina Jomo Kenyatta au Milton Obotte. Miaka yote alifikiria kuunga mkono mapambano ya nchi zinazopigana na wakoloni. Mwinyi alikuwa mwana Diplomasia mliberali na ndiyo maana akafungua milango ya uchumi wa...
  6. heartbeats

    Boresha mahusiano/penzi kwa ladha tofauti za piano

    Maisha yenyewe yashakua vagara vagala vululu vululu ,huku covid kule covid version 2.0 kule chanjo huku kuchokonolewa site nyeti ilimaradi tu mambo yawe shagalabaghara. Leo bana nimeona nishare na wakulungwa wenzangu maana haya maswala ya mapenzi hayana professional yani yanahitaji ubunifu...
  7. Analogia Malenga

    Wafanyabiashara wasioboresha Mashine za EFD kuchukuliwa hatua

    Kamishna mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Dkt Edwin Mhede amesema kuwa mamlaka hiyo haiongezi muda wa wafanyabiasha kuboresha mashine za EFD badala yake itachukua hatua za kisheria kwa ambao bado hawajaboresha. Dkt. Mhede aliyasema hayo wakati akifungua mkutano mkuu wa nusu mwaka wa...
Back
Top Bottom