bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama hii ndio simba tulioitaka bora wazee

    Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili, Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya. Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control skills, dribbling, marking & concentration. Timu ilikuwa down sana hamna pace, no clear target &...
  2. JamiiForums Tanzania Lipi ni bora, kuwa muhuni yani nitoke nje ya ndoa au kuachana na huyu mwanamke?

    Habarini za JIONI wakuu? Mimi ni kijana wa miaka 32 mnamo mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke kutoka Kanda ya ziwa{Tabora}..,nilimpenda sana na nahisi nae alinipenda japo siwezi semea nafsi ya mtu. Ilipofika 2020 alihitaji sana kukaa NAMI nyumba moja kama mume na mke..,kweli KUTOKANA na...
  3. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa detention ulikuwa ni utaratibu bora kuliko huu uliopo sasa

    Kwa sisi wa kitambo kidogo wakati wa mwalimu sote tunaukumbuka utaratibu wa detention. Ilikuwa endapo umeikera serIkali basi kilichokuwa kikifanyika ni kukukamata kwa siri na kukuficha pahala. Basi huko utasoma magazeti, utasikiliza radio, utakula vizuri kweli lakini ulipo, raia wa kawaida...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Simba wanaenda kukutana timu Bora ahliy tirpol ya Libya,

    Heshima kwenu Wana jf,turudi kwenye topic,Kwanza niwe muwazi Mimi ni mshabiki wa Simba sport club,kikwel this time tunaenda kukutana na timu nzuri ahliy tripol ya Libya,ukiangalia rank za caf tumewaacha mbali,lakini tukirudi kwenye msimu huu ahliy tripol wamefanya usajili mzuri,wamemsajili...
  5. JamiiForums Tanzania Nani kati ya hawa viongozi unamuona kiongozi bora wa muda wote?

    Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi? Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako? 1. JK Nyerere 2. Ali Hassan Mwinyi 3. BW Mkapa 4. J M Kikwete 5. JP Maguful 6. SS Hasani
  6. JamiiForums Tanzania Mfumo bora wa kusimamia nyumba za wageni wa kipato cha chini na kipato cha kati

    Nyumba za wageni (guest houses) ni aina ya malazi ambayo yanatoa huduma za muda mfupi kwa wageni, sawa na hoteli lakini kwa kiwango kidogo zaidi. Nyumba hizi zinaweza kuwa na vyumba vichache ikilinganishwa na hoteli kubwa, na mara nyingi zinamilikiwa na kuendeshwa binafsi. Nyumba za wageni...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

    Baada ya vilio vingi kuhusu mabinti zetu kuwatenda vibaya vijana wetu baadhi kufunga harusi Leo na baada ya wiki ndani hakukaliki Kama sio kukutana mahakamani kupeana taraka Katika mizunguko yangu nimekuja kugundua Kuna hazina ya mabinti wema nje ya makanisa,misikiti,majumbani,vyuoni na...
  8. JamiiForums Tanzania Huwezi nishawishi Nyerere alikuwa Rais bora

    Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana. Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora. Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo. Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Shirima ujenzi bora Tanzania asaidiwe kitaalam ana kitu, atafika mbali!

    1. Huyu "Ëngineer" wa instagram anafaa kusaidiwa kitaalamu ili ajisajili ERB na kampuni yake isajiliwe BRELA, TRA, OSHA, NEMC ili apate kazi kubwa zaidi. 2. ukimsikiliza vizuri, anaonekana mjuzi haswa japo ni kama hajui namna ya kuwasilisha utaalamu wake kwa umma akaeleweka.
  10. JamiiForums Tanzania Jipatie Rangi bora za decoration kutoka SILKCOAT PAINT

    Kama unahitaji kufanya finishing za mjengo wako, basi kwa upande wa rangi, hakuna rangi bora kama za Silkcoat paint. Hizi ni rangi za kituruki -Hapa nazungumzia Stone au wengi wanapenda kuziita Drewa Pia Decorative plaster hizi zipo za mifuko na ndoo, za ndoo zinaitwa Silkoterasit kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ni Albam bora zaidi ya Koffi Olomide

    𝐊𝐎𝐅𝐅𝐈 𝐎𝐋𝐎𝐌𝐈𝐃𝐄 𝐕𝟏𝟐 𝐀𝐋𝐁𝐔𝐌 Ni albam ya 13 ya Koffi Olomide. Iliachiwa mapema mwaka 1995. Kwa mujibu wa Tutu Roba, mdogo wake Koffi hii ndo albamu bora zaidi ikifuatiwa na Efrakatta. Kipaji kilitumika haswa. Hii album ilinikuta tayari niko shule ya msingi. Nadhani mwaka 1995 albam nyingi kali za...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Kufuta “Law School” Mawakili wasomi na walio bora watapatikanaje?

    Sote tu Mashuhuda wazuri wa baadhi ya habari zinazotangazwa katika Vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii kuhusu Kesi zinazoendelea, ambapo kuna baadhi ya kesi nyingi hushtakiwa nazo watu pasipo hata wao kutenda makosa hayo. Lakini Baadhi ya Mawakili wanaojua Vizuri Sheria na waliopita...
  13. JamiiForums Tanzania Mwalimu jenga mahusiano bora na mwanafunzi wako

    Image Source: Pinterest Mtu mmoja aliwahi kusema kuwa, "Walimu wanaotanguliza uhusiano sio tu kuwa na wanafunzi kwa mwaka mmoja. Wana wanafunzi wanaowaona kama mwalimu wao wa Maisha" Mateso tuliyopitia kwenye elimu yetu si lazima kizazi hiki kipitie. Mateso yaliyofanya wengi kutokujiamini...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar watamkumbuka sana Magufuli kwa kuwapatia Rais Bora

    Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya. Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa kijana anayejitafuta kwa sasa ni bora ufugaji kuliko kilimo au biashara

    1. Biashara zimeandamwa na makodi ya mamlaka na fremu ilihali uwezo wa ununuaji umepungua 2. Kilimo kinaathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi na bei kuyumba 3. Mazao ya mifugo hutoa mbolea, nguvu kazi, chakula na bei yake haishuki daima hupanda mfano kuku bei ya 15000-20000 imedumu kwa miaka...
  16. JamiiForums Tanzania Nani kubeba tuzo ya Msanii bora wa Kiume kwa Bongo kati ya mafahari hawa?

    Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo August 29,2024 imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo za muziki Nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi. Wimbo bora wa taarabu...
  17. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Misumeno na yenye ala inauzwa

    Misumeno na yenye ala inauzwa. Ni mikali na imara sana. Inafaa sana kwa shughuli za nyumbani,kambini,ufundi. Inafaa pia kukatia pemba za ng’ombe na mbuzi. Wahi ofa hii katika bei ya shilingi 10,000/= kwa mmoja. Misumeno ipo kumi kwa sasa, na inaweza kutumwa popote nchini kwa uaminifu mkubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mazoezi na mapishi bora: kabiliana na umri na Saratani

    Mazoezi ni kitendo cha kuushughulisha mwili kwa muda maalum. Wakati wa tendo hili , chembe hai huunguza sukari ( glucose) ili kupata nishati(ATP) na mabaki ya sukari. Mabaki ya sukari baada ya kuiunguza ( AMP) husisimua king'amuzi (exercise sensor) kilichoko kwenye chembe hai. King'amuzi hiki...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

    Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
  20. JamiiForums Tanzania Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy

    Naomba niseme mapema kabisa kabla Azam hawajaanza kucheza mechi za NBCPL. Nimetizama mechi nne za azam za msimu huu, kuna kitu nimekiona ambacho wengi hamjakiona mbaya zaidi mnasifu eti azam inakikosi kizuri, kwa maoni yangu azam ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita. Beki wa kushoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…