boniface mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Mwabukusi: Mabadiliko yamefanyika kwenye Sheria za Uchaguzi, unapobadilisha sheria, tujiulize unataka kutibu nini?

    Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema, "Hatukatai kwamba kulikuwa na mabadiliko, mabadiliko yamefanyika ya Kisheria kwenye Sheria za uchaguzi, lakini tuwe wa kweli unapobadilisha unataka kutibu nini? Hiyo ndiyo hoja siyo mabadiliko tu"
  2. Waufukweni

    GE2025 TLS yaomba kukutana na Rais Samia

    Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze...
  3. Waufukweni

    GE2025 Rais wa TLS, Mwabukusi: Uchaguzi wa mwaka 2025 umeleta mgawanyiko wa Kisiasa, Kidini na Kikabila

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi aemesema Uchaguzi wa Mwaka huu umekuwa na changamoto na hii inatokana na yaliyojiri wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2018 ambapo iliuwa trend ya ukuaji wa demokrasia ya Vyma vingi katika taifa letu. "Uchaguzi...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wakili Boniface Mwabukusi: Zuio la CHADEMA kutoongea na wanahabari sio sahihi

    Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kutofautiana na maamuzi ya Mahakama yaliyotangazwa mapema leo na Wakili Mwenzake Shaaban Marijani anayesimamia Kesi dhidi ya Chadema yenye kutaka mgawanyo sawa wa rasilimali za Chama hicho kwa upande wa Bara na...
  5. Waufukweni

    KUMBUKIZI | Mwabukusi: Ukiwa mpinzani ni Adui kila sehemu, hata Mahakamani

    Wakuu! Katika moja ya matamko yake, Wakili Boniface Mwabukusi alizungumza kwa hisia kali kuhusu namna wapinzani wanavyotazamwa ndani ya mfumo wa haki, akisema: "Ukiwa mpinzani ni adui wa kila sehemu. Hata mahakamani, nimemsikia Jaji mmoja anasema, ‘Mimi siwapendi hawa watu wasumbufu.’ Sasa...
  6. Q

    Boniface Mwabukusi: Si kila Kiongozi wa Dini ni Mtumishi wa Mungu

    Katika historia ya mwanadamu na hata katika maandiko matakatifu, ipo tofauti kubwa kati ya viongozi wa dini na watumishi wa kweli wa Mungu. Ni muhimu kwa jamii kutambua kuwa si kila kiongozi wa dini ni mtumishi wa Mungu. Na si kila anayesema "Bwana, Bwana" ataingia katika Ufalme wa Mungu...
  7. Papaa Mobimba

    Boniface Mwabukusi: Tuache propaganda 'Utekaji upo', mnaodai Wanajiteka, waliotoroka nchi na Madeni wekeni majina yao hadharani

    WE DON’T NEED PAINKILLERS — WE NEED A COMPLETE CURE FOR THE DISEASE. Abductions are real, and the abductors exist; some of them have already been cited in the matter of Mdude Mpaluka Nyagali. Also Read > Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali...
  8. Mshana Jr

    PreGE2025 Adv. Mwabukusi: Sitagombea ubunge jimbo lolote

    Nimeulizwa na wengi iwapo nitagombea Ubunge au nafasi yeyote ya kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 na haya ndiyo majawabu yangu. 1.Kipaumbele changu cha kwanza kwasasa ni kupigania utawala wa sheria ,haki za binadamu na ulinzi wa Raslimali za Asili za Tanganyika. 2.Kipaumbele changu cha...
  9. Dalton elijah

    PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

    Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X: UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu...
  10. The Palm Beach

    Boniface Mwabukusi: RC Homera na RCO Mbeya, kama mmemdhuru Mdude Nyagali, hakikisheni mnamzaa, kumkuza na kumrudisha nyumbani kwake salama

    https://youtu.be/tfhpaLr7hBc?si=obXDytUPxizyrgqy Advocate Boniface Mwabukusi, Rais wa TLS ameapa kuwa, mwisho wa watu Kutekwa na kuumizwa ni kwa Father Charles Kitima na Mdude Nyagali... Amewataka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bwana Homera, RPC na RCO wahakikishe wanamrudisha Mdude Nyagali nyumbani...
  11. The Palm Beach

    PreGE2025 Rais wa TLS Boniface Mwabukusi: Ni aibu kesi ya Tundu Lissu kujadiliwa na Bunge la Ulaya. Inaonesha Watanzania wote hamnazo

    https://youtu.be/zJJTDTAdmMA?si=2-OHtOWYBhnzGLZk Anasema; • Ni aibu sana kwa kesi ya Tundu Lissu kujadiliwa Bunge la EU kwa sababu Bunge la Tanzania ndilo lililopaswa kujadili jambo hili na kuhakikisha linaisimamia serikali kuhakikisha haki, sheria na taratibu za kidemokrasia zinazingatiwa na...
  12. W

    PreGE2025 Mwabukusi: Tunamtaka Mdude akiwa hai

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola kuhakikisha kuwa mwanaharakati Mdude Nyagali anapatikana akiwa hai, huku akilaani vikali kauli ya kutolewa zawadi ya Shilingi milioni tano kwa atakayesaidia kupatikana kwake akiwa hai au mfu...
  13. Q

    Ujumbe wa Fr. Kitima baada ya kushambuliwa: Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki

    Boniface Mwabukusi. Rais na TLS ameandika kupitia ukurasa wake wa X: "Nimemtembele Father Dr. Charles Kitima. Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha. Mungu ni mwema sana anaendelea vizuri. Huu ni Ujumbe wake kwetu.... Lazima Tuwe Imara kusimamia masuala ya Msingi...
  14. M

    Kuna watu wengine wanavifuata hivi vyama vya upinzani kishabiki

    Nimefuatilia sana kwanini baadhi ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini wanapendwa sana na wananchi, kwa mfano Askofu Bagona anayefanana kichwa na msanii Mwijaku amekuwa akiisema sana vibaya serikali kwa kisingizo cha uhuru wa kutoa maoni, kauli zake zinatumiwa sana na wapinzani wa serikali...
  15. B

    PreGE2025 Mwabukusi afunguka mazito atoa msimamo wa TLS''hatumuogopi mtu'' agusia no reform no election

    09 April 2025 MWABUKUSI AFUNGUKA MAZITO ATOA MSIMAMO WA TLS ''HATUMUOGOPI MTU'' AGUSIA NO REFORM NO ELECTION https://m.youtube.com/watch?v=zFB3QFtmK3w TLS ni mshauri wa umma people's power wakati mwanasheria mkuu ni mshauri wa serikali afafanua rais wa TLS mwanasheria msomi Boniface...
  16. W

    Mwabukusi ataka mahakama iwe ni sehemu ya kutoa haki ambapo hata mkulima akienda kulalamikia kuhusu Rais mahakama itende haki

    Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 amesema kuwa mahakama inabidi ijitafakari iwe huru na ya kutenda haki ili hata kama mkulima ataenda mahakamani kulalamika kuhusu...
  17. W

    PreGE2025 Mwabukusi amuomba Rais atoe ruzuku kwa taasisi zinazotoa msaada wa kisheria

    Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 alisema kuwa kuna umuhimu sasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutoa ruzuku kwa taasisi zinazotoa misaada ya kisheria kwa wannachi...
  18. D

    Wanaomtuhumu Mwabukusi wa TLS kulamba asali waelimishwe. Tumtie moyo maana hawezi fanya hivyo

    Nawasihi sana ndugu zangu tusiwe wepesi wakunyooshea watu vidole! Mwabukusi kafanya kazi kubwa sana inayostahili kupongezwa! Huwezi kumpima mwabukusi kwa jambo moja! Angekuwa mtu wa dili wangemalizana nae kipindi cha bandari! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Ifahamike kwamba mambo...
  19. W

    PreGE2025 Wakili Mwabukusi aeleza kuwa Tanganyika Lawyers' Society (TLS) hawajalamba asali

    Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa; "Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata changamoto watu wanapoona tunashirikiana na serikali wanafikiri tunalamba asali. TLS siyo kikundi cha...
  20. Mwl.RCT

    Rais wa TLS Boniface Mwabukusi Anatoa Tamko Muda Huu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, anatoa tamko muda huu. Tamko hili linahusu masuala muhimu yanayogusa sekta ya sheria, haki za binadamu, na maendeleo ya taifa kwa ujumla. https://youtu.be/zgoZejCXR1M
Back
Top Bottom