boniface mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    PostGE2025 Rasmi Kesi iliyofunguliwa na TLS kupinga amri ya IGP kuzuia watu kutoka nje Oktoba 29 imetupiliwa mbali na Mahakama Kuu

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilifungua kesi mahakamani kupinga amri ya Mkuu wa Polisi (IGP) ya kuzuia watu kutoka nje (curfew) wakati wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025. Lakini, Mahakama Kuu imeiamua kuitupa kesi hiyo kapuni bila hata kuanza kuijadili. Hizi ndizo sababu tatu (3)...
  2. Q

    Boniface Mwabukusi: Iundwe Tume huru ya kulichunguza Jeshi la Polisi

    Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana. Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama. Soka na wenzake uchunguzi...
  3. Dalton elijah

    SI KWELI Boniface Mwabukusi: Matamshi ya Lissu yalikuwa na Uhaini ndani yake turudi mezani yanazunguzika

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na picha (graphic) inayosambazwa kwenye vikundi vya Facebook ikimnukuu Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Boniface Anyisile Mwabukusi Picha hiyo inadai kuwa Rais huyo amesema matamshi ya Tundu Lissu yana viashiria vya "uhaini" na kwamba...
  4. M

    Nikumuona Boniface Mwabukusi akiendelea kukaa pamoja na waliomteka na kumuua Mdude Nyagali naishiwa nguvu.

    Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati. Kwa nini uende kwenye ufunguzi wa siku ya sheria nchini? Unasimama na kuhutubia bila kutaja habari za Mdude Nyagali.
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais wa TLS: Kila anayatakiwa kuwajibika awajibike kwa maslahi mapana ya Taifa letu, viongozi msizungumze kutonesha mioyo ya wananchi

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
  6. R

    PostGE2025 Mwabukusi: Vurugu zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kuonyesha dissatisfaction, hakuna kura iliyopigwa kuanzia saa 4

    Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi akizungumza katika mahojiano na Jambo TV leo Januari 9,2026 amesema kuwa Vurugu za Oktoba 29 zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kwa sababu wananchi hawakuridhia michakato ya zoezi hilo. Pia amedai kuanzia saa nne asubuhi hakuna kura zilizopigwa akieleza...
  7. McLaren

    PostGE2025 Mwabukusi: Kuiba ngoma ya kijiji inaweza isiwe tatizo bali pa kuipiga kwa amani bila wanakijiji kukusikia!

    Anaandika Wakili Boniphace Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X: Kuiba Ngoma ya Kijiji ina weza isiwe tatizo, changamoto kubwa ni kutafuta mahali pa kuipigia kwa Amani bila wanakijiji kukusikia (Msemo wa wahenga). HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI ndiyo pekee vitatutoa hapa tulipo katuka mkwamo huu...
  8. The Palm Beach

    Boniface Mwabukusi: RC Chalamila Stop that!..Yatosha sasa, wewe ni mmoja wa hamasisha vurugu kabla, wakati na baada ya 29/10

    =============================================== CHALAMILA STOP THAT!? NASISI HATUTABAKI KIMYA TENA INATOSHA SASA... Mkumbusheni Albert Chalamila yeye ni mmoja wa wahalifu waliochochea vyombo vya dola kutumia nguvu zilizokithiri dhidi ya Raia. Aelewe kwamba hatutaendelea kuvumilia yeye...
  9. Ileje

    PostGE2025 Boniface Mwabukusi ahoji kuhusu kijana aliyehongwa bilioni tano na Mabeberu

    NINAFIKIRI KIJINGA!? 1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria? 2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza...
  10. Ileje

    PostGE2025 Boniface Mwabukusi: Viongozi acheni kudogodesha mauaji mliosababisha!

    Viongozi wajiepushe na Kauli za Kudogodesha mauwaji waliyoyasababisha kwa kutokuwajibika kwao. Walipuuza Mazungumzo na kudhihaki kila jitihada ya Mashauriano. Watu waliwaona na kutambua Maiti za ndugu zao kwenye picha na mitandao ya kijamii wakiwa wameuawa wana kwenda Mochwari miili hamna bado...
  11. DuaZaMama

    PostGE2025 Mwabukusi: Kutisha mawakili wanaotoa msaada wa kisheria ni kubaka na kunajisi mfumo wa utoaji haki

    Anaandika wakili Boniface Mwabukusi,,, Narudia tena .Hapa tulipofikishwa na utepetevu wa vyombo vya maamuzi pamoja kwa kuharibu demokrasia,uwajibikaji na Utawala wa sheria hatuwezi kutoka kwa Propaganda za tunaonewa wivu? Sijui tuna raslimali chache au nyingi au sijui uzalendo! au sijui dada...
  12. Heparin

    PostGE2025 Mawakili Boniface Mwabukusi na Mpale Mpoki wahojiwa kwa Makosa ya kutaka kuvunja Muungano, waachiwa bila masharti yoyote

    Mnamo Novemba 12, 2025 Wakili Mwandamizi Mpale Kaba Mpoki alipokea wito kutoka kwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kipolisi Kawe. Wito huo ulimtaka afike leo asubuhi Novemba 13, 2025 katika kituo cha Polisi Mbweni. Wakili Mpoki aliongozana na mawakili wake ambao ni Raisi wa TLS Boniface...
  13. R

    GE2025 Mwabukusi: Wote waliohusika na mauaji na utekaji wa raia wakamatwe na kufikishwa Mahakama ya kimataifa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X-twitter Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi ameandika haya: "Kabla ya mazungumzo lazima waliopanga, kufadhili na kuendesha mauaji ya raia wa Tanganyika na kuhusika na mpangilio wa utekaji na upotezaji wa raia kabla, wakati na...
  14. Heparin

    GE2025 Boniface Mwabukusi: Kumtuhumu Heche kwa Ugaidi ni kumwaga Petroli kwenye moto, DPP na Polisi acheni kuwachokoza tena vijana

    Ofisi ya mashtaka ya taifa (DPP) na Polisi kwa matendo yao wanamwagia petroli wakidhani wanazima moto. it is an illusion kumtuhumu John Heche kwa ugaidi. Achaneni na huo upuuzi. Hali ya Usalama siyo nzuri kuendelea na desturi zenu za kupika Kesi ili kubambika watu mnatia aibu taaluma na mnakera...
  15. DuaZaMama

    GE2025 Mwabukusi: Tukio la ofisi za TLS kuzingirwa na polisi tumelichukulia kwa uzito mkubwa sana

    Akizungumza na Wakili tv kwa njia ya mtandao rais wa Tanganyika Law society TLS Wakili Mwabukusi amesema kuwa kitendo cha jeshi la polisi kuzingira ofisi za cha hicho wamelichukulia kwa uzito mkubwa huku akiikumbusha jeshi la polisi kuwa TLS ipo kwa mujibu wa sheria. Pia Soma: GE2025 - Ofisi ya...
  16. Waufukweni

    GE2025 Rais wa TLS, wakili Mwabukusi: Anakwambia kinukishe, mwingine yupo Ulaya

    "Nilimwambia mtu mmoja nyumbani kwangu ninapotoka kunajulikana, watoto wangu wanaposoma kunajulikana. Sijifichi. Pia soma > Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi "Mwingine anayekwambia pambana. Kinukishe au kafanye hivi hajulikani anapoishi. Akikuandikia meseji...
  17. tonicimmobility

    GE2025 MWABUKUSI: Kesi ya uhaini ya Lissu iwe LIVE Mahakamani

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ametoa wito kwa Mahakama kuona namna ya kurejesha matangazo mubashara ya mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ili kutoa nafasi kwa umma kufuatilia kile kinachoendelea Mahakamani...
  18. Just Pray

    GE2025 Mwabukusi: Rais Samia aliniambia suala la Lissu watalishughulikia bila kuingilia utaratibu wa mahakama

    Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kushughulikia mambo mbalimbali aliyoyawasilisha kwake alipozungumza nae Ikulu Dodoma. Akijibu swali kuhusu majibu ya Rais Samia kama...
  19. R

    GE2025 Rais wa TLS Boniface Mwabukusi afika Mahakamani Kusikiliza Kesi ya Tundu Lissu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ni miongoni mwa waliojitokeza Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatano Septemba 10.2025 kusikiliza mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Wakili Tundu Lissu Kesi...
  20. U

    Ushauri kwa serikali ya Tanzania: Wakili Msomi Boniface Mwabukusi ni jembe na hazina kubwa Nchini anastahili kushika nafasi ya Mwanasheria Mkuu

    Ni maoni yangu huru kabisa Uwezo wake ni wa manufaa makubwa kwa nchi yetu kwa ujumla hivyo ni vema akawa na hiyo nafasi ya AG.
Back
Top Bottom