boniface jacob

Meya Boniface Jacob
Boniface Jacob Aligombea udiwani kata ya Ubungo kwa mara ya kwanza mwaka 2010 akiwa mwalimu wa sekondari, alishinda na kumuangusha mgombea wa CCM, Wakili Abduel Kitururu.

Meya Jacob alichaguliwa tena kuwa Diwani mwaka 2015. CHADEMA ikamchagua kupeperusha bendera ya umeya wa Kinondoni akishindana na Benjamin Sitta, mtoto wa Samuel Sitta na diwani wa Kata ya Msasani. Boniface alimshinda bwana Sitta na kuwa Meya wa Kinondoni.
  1. Numero Uno

    GE2025 Boniface Jacob amekuwa kimya kipindi chote cha uchaguzi, ipi sababu ya kukamatwa kwake?

    Boniface Jacob amekuwa kimya kabla ya kuanza kwa uchaguzi,sababu ya yeye kukamatwa mi nini?
  2. DuaZaMama

    PostGE2025 Boniface Jacob 'Boni Yai' akamatwa na Jeshi la polisi akiwa Goba DSM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Boniface Jacob (Boni Yai) muda mfupi uliopita leo, Jumamosi Novemba 08.2025 amekamatwa na Jeshi la Polisi Goba, jijini Dar es Salaam akiwa njiani kwenda kuripoti kituoni Wakili Hekima...
  3. Ubaya Ubwela

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche, Lema na Boniface Jacob kuwakilisha Chama kwenye mazishi ya Odinga

    Hao ndo wanachama na Viongozi wa CHADEMA watakaoenda Kukiwakilisha Chama Kwenye Mazishi ya Raila Odinga yatakayofanyika hapo Jumapili. NB: Usishangae Kusikia awamezuiwa Airport na Mamlaka wakati huo huo Kikwete na Mpango wakipepea hewani kwenda kwenye Mazishi hayo
  4. R

    GE2025 Anaandika Boniface Jacob: Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA!

    Hii hapa taarifa yake Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya. Ujumbe wao kwa pamoja ni.... 1.Viongozi wa CCM wanaokaa vikao vya mchujo wamejawa na kiburi na dharau kwa...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Boniface Jacob: Tunataka ufike wakati uchaguzi ufanyike bila hata sisimizi kuumia

    "Chadema tunachokitaka tunataka uchaguzi wa kistaarabu sisi diwani tunapata ,wenyeviti wa mitaa tunapata na mbunge tunapata lakini tunapata kwa maumivu makubwa sana" "Ndiyo maana tumesema hatutaki uchaguzi wa kumwaga damu kwa sababu ili nishinde ubunge wa mikumi kwa mfano na wananchi kama...
  6. Heparin

    PreGE2025 Patrick Assenga ajutia kuondoka CHADEMA, amlaumu Boniface Jacob kwa kutokusema ukweli mapema. Amuomba Mungu ampe ujasiri

    Ama kweli majuto ni mjukuu. Press ya leo ya Bony yai imewavua nguo G-55. Soma alichoandika Assenga. Ndugu yangu Bony ulikuwa wapi siku zote kuniambia haya? Unaona sasa NDUGU yako napigwa kama mpira wa Kona? SEGEREA hakukaliki, ROMBO ndio kabisa…hii habari za hii CHAUMMA zishakuwa ngumu...
  7. W

    PreGE2025 Boniface Jacob: Hakuna mtu mgumu kumshahuri kama anayekaribia kutapeliwa

    Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa hakuna mtu mgumu kumshauri kama anayekaribia kutapeliwa. "Waswahili wenzagu wanasema Hakuna mtu mgumu kumshauri kama anaye karibia kutapeliwa Remember this tweet..!" - Boniface Jacob Soma Pre GE2025 - DSM -...
  8. Erythrocyte

    PreGE2025 Ujumbe wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Boniface Jacob kwa G-55 na Wanachadema

    Jisomee Mwenyewe " NI NANI KATUROGA...? Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%. Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa ‘fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine. Huwezi...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Boniface Jacob: Chadema itagharamia gharama za Wafuasi waliojeruhiwa Kisutu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watagharamiwa matibabu yao. Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema...
  10. Damaso

    Kesi ya jinai nambari 11805 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa

    Kesi ya jinai nambari 11805 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa ilisikilizwa juzi, Jumanne, Aprili 12, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya cross examination kati ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Shahidi wa Jamhuri. KIBATALA: Shahidi, ikumbushe...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Boniface Jacob: Walimu na Polisi wanaisaidia CCM kuihujumu Chadema wakati wa Uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob awashukia vikali walimu na askari Polisi adai wanahusika kuihujumu CHADEMA kwenye nyakati za uchaguzi.
  12. Mwl.RCT

    Audio: Case of Incitement – Republic v. Boniface Jacob (Boniyai) and Godlisten Malisa

    Case of Incitement – Republic v. Boniface Jacob (Boniyai) and Godlisten Malisa Lead Section The case of incitement involving former Ubungo Mayor Boniface Jacob (Boniyai) and human rights advocate Godlisten Malisa represents a high-profile legal proceeding in Tanzania. The defendants face...
  13. Damaso

    Kesi ya uchochezi kati ya Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob (Boniyai) na Godlisten Malisa, Kibatala ambana vilivyo shahidi upande wa Jamhuri

    Kesi ya uchochezi nambari 11805/2024 kati ya Jamhuri dhidi ya Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, na mtetezi wa haki za binadamu, Godlisten Malisa, imeendelea leo tarehe 17 Machi 2025 katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, chini ya Hakimu Mwandamizi Ushindi Swalo. Upande wa Jamhuri...
  14. L

    Baadhi ya wana CHADEMA waanza kumpigia magoti Boniface Jacob na kumuomba Msamaha. Soma barua hii hapa

    Ndugu zangu Watanzania, Siweki neno wala kuongeza neno bali nawawekea barua ya Mwana CHADEMA kama ilivyo.👎 BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA EX MAYOR WA UBUNGO NA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA PWANI . Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya...
  15. L

    SI KWELI PreGE2025 Boniface Jacob aamua kujiweka pembeni ya Siasa za CHADEMA na kuhamia kwenye ufugaji wa kuku

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kusema ya kuwa Mheshimiwa Boniface Jacob ameamua kujiweka pembeni ya ulingo na masuala mazima ya siasa za CHADEMA na kuamua kujikita kwenye shughuli zake binafsi za kijasiriamali. Ambapo Mheshimiwa Jacob ambaye ni Mayor wa zamani wa Ubungo ameonekana akiwa...
  16. KING ASSENGA

    PreGE2025 Barua ya wazi kwa mheshimiwa ex mayor wa ubungo na mwenyekiti wa chadema kanda ya Pwani

    Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA. Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba kutambua unao washauri wengi sana wenye vyeo na nafasi kubwa kuliko Mimi ila naomba unipe dakika...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Boni Yai: Mbowe utabakia kuwa Jenerali na kiongozi wangu siku zote, Nitakuwa tayari siku yoyote kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa

    Wakuu ujumbe wa Boni kwa boss wake wa zamani == Freeman Aikaeli Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe ni mfano wa kuigwaNashukuru kwa kuniamini na kunipa jukumu la kuwa Mwenyekiti wa kampeni zako katika...
Back
Top Bottom