boniface jacob

Meya Boniface Jacob
Boniface Jacob Aligombea udiwani kata ya Ubungo kwa mara ya kwanza mwaka 2010 akiwa mwalimu wa sekondari, alishinda na kumuangusha mgombea wa CCM, Wakili Abduel Kitururu.

Meya Jacob alichaguliwa tena kuwa Diwani mwaka 2015. CHADEMA ikamchagua kupeperusha bendera ya umeya wa Kinondoni akishindana na Benjamin Sitta, mtoto wa Samuel Sitta na diwani wa Kata ya Msasani. Boniface alimshinda bwana Sitta na kuwa Meya wa Kinondoni.
  1. M

    Vijijini yela na Tukuyu wanachangishana pesa ili wawatumie mawakili wanaomtetea kijana wao EX Mayor

    Atatoka tu, Mungu atamtetea, sisi huku ni watu wa mungu tunapiga goti kuomba na kufunga lakini pia na sisi tumeuza cocoa pesa hapa tunachanga, tuteue watu wawapelekee mawakili huko mjini wanaomtetea kijana wetu, (maneno hayo ya Mama Anangisye) Baada ya kuyasikiliza hayo binafsi naona tunajenga...
  2. Waufukweni

    Dhamana ya Boniface Jacob yadunda, aendelea kusota Rumande

    Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana. Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Wakili wa Boniface Jacob: Polisi wamekuta tu Documents fulani hivi na wameondoka nazo

    Hekima Mwasipu ambaye ni Wakili wa Meya wa zamani wa Ubungo ambaye pia ni Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema Polisi wametumia dakika takribani 180 kufanya upekuzi nyumbani kwa Boniface maeneo ya Mbezi Msakuzi Jijini Dar es salaam. Wakili Mwasipu akiwa nje ya...
  4. Suley2019

    Polisi wamaliza upekuzi kwa Boniface Jacob

    Polisi wamemaliza kufanya upekuzi nyumbani kwa Meya wa zamani wa Ubungo ambaye pia ni Kada wa CHADEMA, Boniface Jacob ambaye amekamatwa na Polisi jioni leo akiwa maeneo ya Sinza na kupelekwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam leo September 18,2024 kisha baadaye kwenda nae...
  5. Mkalukungone Mwamba

    NTOBI: Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface, hapa Msakuzi kwa ajili ya upekuzi

    Kada na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ntobi amesema Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface Jacob, maeneo ya Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia upekuzi. Hii inakuja baada ya kutoka taarifa kwa Jeshi la Polisi kwamba linamshikilia Boniface...
  6. Q

    Kamati Kuu CHADEMA imemteua Boniface Jacob kugombea Uenyekiti Kanda ya Pwani

    TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Chama iliyoketi kwenye kikao chake cha kawaida tarehe 17-18 Septemba, 2024 Jijini Dar Es salaam pamoja na ajenda nyingine imefanya uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali katika Kanda za Pemba, Kusini na Pwani. Soma Pia: Wafuasi Chadema wamsindikiza Meya...
  7. Heparin

    Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

    Jeshi la Polisi limemkamata na linamshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo. Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa. Imetolewa na: David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi...
  8. S

    Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo

    Kupitia Mtandao wa X, Askofu Mwamakula amesema Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amenyakuliwa na defenda akiwa kikaoni Sinza, Dar es Salaam na haijulikani kapelekwa wapi. Sisi Askofu Mwamakula tunatoa wito kama ni Polisi wamemchukua waseme maana huyo ni kiongozi wa jamii...
  9. J

    Boniface Jacob: Chadema kuwapa ushirikiano Polisi ni usaliti na mzaha kwa roho za waliotekwa, kupotea na kuuawa

    Meya mstaafu wa jiji la Dar es Salaam, Boniface Jacob, amesema kuwa alipokea taarifa kwamba Jumanne, tarehe 10 Septemba 2024, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, kupitia Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa (RCO), liliwasiliana na mawakili wa CHADEMA na kuwaeleza kuwa wanamuhitaji Katibu Mkuu wa chama...
  10. Black Butterfly

    Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

    1. Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Samia Suluhu Hassan. 2. Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Hamad Masauni. 3. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Mongoso Wambura 4. Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahim Juma 5. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob Nkunda 6...
  11. I

    Boniface Jacob mtoa taarifa za awali za mara kwa mara za watu kutekwa na miili kuokotwa, kuna namna hapa sio bure

    Huyu bwana kwani ni nani? Kila upoteaji na upatikanaji wa miili kabla ya Polisi yeye ndio mtoa habari 🤔🤔🤔 Pia soma - Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?
  12. Tlaatlaah

    Kwa hali ilivyo ni dhahiri Boniface Jacob atashidwa vibaya sana kwa fedheha uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Pwani

    Dalili si nzuri kabisa kwa upande wa huyu muungwana tena zimejidhihirisha wazi mapema kweli, ana kibaru kigumu na mtihani mzito sana kurlekea uchaguzi huo muhimu wa kanda ya Pwani. Kiufupi kimbe jamaa hakubaliki wala hatakiwi bana pwani. Ili walau kukwepa fedheha atakayokumbana nayo ni...
  13. B

    PreGE2025 Wafuasi Chadema wamsindikiza Meya Mstaafu Boniface Jacob kurudisha fomu ya uenyekiti

    05 September 2024 Dar es Salaam, Tanzania Boniface Jacob arudisha fomu akisindikizwa na mamia ya wanachama wa CHADEMA leo hii jijini Dar es Salaam. Jeshi la polisi lapongezwa kwa kutoa ulinzi katika maandamano hayo. Hali ilivyo mitaani Ubungo, Kibamba, Manzese hadi Kinondoni maandamano ya...
  14. S

    Boniface Jacob azua jambo kuhusu kingereza cha Msigwa. Msigwa ajibu na kuendelea kuharibu

    Someni, mimi siongezi wala sipunguzi neno: Baadae Msigwa akajibu.
  15. JanguKamaJangu

    Mahakama ya Kisutu yapanga Agosti 29, 2024 kusikiliza ushahidi wa kesi ya Boniface Jacob

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Agosti 29, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (42) maarufu kama Boni Yai. Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili katika kesi...
  16. J

    Boniface Jacob, Malisa watua Kisutu kufuatilia kesi inayowakabili, yapangwa Agosti 29, 2024

    Mfanyabiashara na mwanasiasa Boniface Jacob maarufu Boni Yai na mwanaharakati Godlisten Malisa na baadhi ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wakiwa katika viwanja vya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu leo Jumanne Julai 30, 2024 jijini Dar es Salaam. Boniface mkazi wa Mbezi Msakuzi Dar...
  17. Cute Wife

    Kesi ya Malisa kituko! Wafika Mahakamani leo Julai 18 wakuta haijasajiliwa!

    Kesi ya uchochezi inayomkabili Mwanaharakati na Mkurugenzi wa GH Foundation, Godlisten Malisa imezua sintofahamu baada ya kufika mahakamani leo, Julai 18, 2024 mkoani Kilimanjaro na kukuta kesi hiyo bado haijasajiliwa. Pia soma: Kilimanjaro: Godlisten Malissa afikishwa Mahakamani Malisa...
  18. Erythrocyte

    Kilimanjaro: Godlisten Malissa afikishwa Mahakamani

    Mkurugenzi wa Taasisi ya GH Foundation, Godlisten Malissa tayari amefikishwa Mahakamani leo 18/07/2024, ambako anatarajiwa kusomewa Mashtaka kadhaa likiwemo la Uchochezi Pia soma: Malisa aripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, ajulishwa kuwa upelelezi haujakamilika Anatetewa na Mawakili Hekima...
  19. Heparin

    Boniface Jacob: Kombo amezungushwa mikoa 10 akihojiwa na kuteswa na Polisi kabla ya kurudishwa Tanga

    Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu kutelekezwa Wazazi wa KOMBO nje ofisi ya RPC Tanga bila ruhusa ya kumuona mtoto wao na msaada wowote Na baadae Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA Godbless Lema kuwapigia Jeshi la Polisi Tanga. Mchana huu wazazi wa KOMBO na waliokuwa ofisi za RPC Tanga...
  20. Manyanza

    Aliyoyaandika Boniface Jacob: Siri na sababu ya mgomo kuendelea Kariakoo

    1. Malumbano kati ya Waziri wa fedha na Kamishina wa Mapato TRA Msimamo wa Kamishina kuhusu kero za wafanyabiashara ni kutekeleza sheria wala siyo maagizo ya wanasiasa wa ngazi yoyote. Kamishina TRA amewaambia Wafanyabiashara mara kadhaa mkitaka tuache kufanya kazi ambazo nyie...
Back
Top Bottom