bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

    Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Hii ni thread maalum ya simulizi mbalimbali pamoja na visa, mikasa na vitimbi vya wasanii wa zamani wa bongo fleva. Stay tuned....
  3. JamiiForums Tanzania Tuchemshe bongo kidogo

  4. JamiiForums Tanzania Kama USA tu, celebrity endorsement imefikia ukomo hata bongo

    Haifanyi kazi tena. Watu wanatumia akili sasa hivi. hatubebeki kiselasela Sio tu huko mjini hata hapa Nanjirinji. Uzi tayari Ngoja nikabet
  5. JamiiForums Tanzania Wa Bongo Wengi hawana Elimu kuhusiana na " YAHOO BOYZ" wa Naija

    Wafahamu Yahoo Boyz vijana wa Nigeria ni wakina nani? Wapo tayari kupata pesa kwa gharama yyte ile. Pitia thread hio ya X kuwafahamu https://twitter.com/yrnskypper/status/1858751626460193176?t=AJcYLdCwbIY70Va7NChcrw&s=19 https://www.instagram.com/reel/DEjhYFMqAku/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
  6. JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo: Mabingwa wa Mathematics

    Hebu tusaidie mabingwa hapo hiyo ksh 10 imetoka wapi?
  7. JamiiForums Tanzania John Pambalu ni mchungaji au mwanasiasa? Abarikiwe sana ana nondo sijapata kuona? Sion wa kumfananisha naye bongo

    Amani iwe nanyi waungwana Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa? Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye Kijana ana nondo ni balaa Kamchana chana Mbowe kama karatasi Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
  8. JamiiForums Tanzania BONGO TV na mapinduzi sehemu ya kwanza

  9. JamiiForums Tanzania Generation ya bongo movie mjini YouTube

    Wadau. ebu tuzungumzie hii generation ya bongo movie ambao wao wamejikita kwenye mitandao ya kijamii hasa YouTube
  10. JamiiForums Tanzania Majizzo ataja Playlist ya nyimbo zake bora mwaka 2024, Komasava namba moja Bongo

    Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi. Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda Bongo Star Search kweli inapata wapi?

    Just imagine mwana wa mai 🤣🤣😆
  12. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii

    Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono...
  13. JamiiForums Tanzania Tesla Yatua Bongo

    Haya vijana changamkeni Tesla ishatua Mlimani city jameni😂😂😂
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya, nayo kujenga BRT kama Tanzania wenye thamani ya Ksh 43.4 bilioni

    Serikali ya Kenya nayo imeamua kuinga toka Tanzania, kuwa na mradi wa Rapid Bus Transport(BRT) ijengwe Nairobi Kenya. Mradi wa Kenya inaelekea utakuwa mkali zaidi kwa kuwa na mabasi ya umeme. ================= Baraza la Mawaziri Jumanne, Desemba 17, limeidhinisha ujenzi wa mfumo wa Clean Bus...
  15. JamiiForums Tanzania Akili ni nywele: Wakati Wizara ya Ardhi Bongo wanahangaika na clinic za ardhi, Kenya wameanza kubomoa na kuyajenga upya maeneo yaliyojengwa vibaya

    Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
  16. JamiiForums Tanzania Bongo kutoboa imekuwa jambo lenye mambo mengi sana ndani yake

    AMANI IWE JUU YENU __tuendeleeni tu kupambana
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni nani malkia wa Hip Hop ya Bongo

    Kwenu wadau mnaofatilia kiwanda cha mziki huu wa bongo, je ni msanii yupi wa kike unafikiria tunaweza kumpa taji la umalikia katika mziki wa hip hop ya bongo. Bahadhi ya wasanii waliowai kufanya vizuri katika mziki huu ZAY B SISTER P DADA JOO RAH P WITNESS KIBONGE MWEPESI CHIKU KETO ROSA LEE...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna gari aina ya Tesla inauzwa, imeingia Bongo jana

    Kama ilivyo humu jamii forum kuna Matajiri Sasa mimi kama dalali mzoefu Kuna ndinga mpya imeingia Jana aina ya Tesla inauzwa nafikiri mnajua hii gari sio Kwa ajili ya masikini Nimetoa tahadhari mapema usije ukajua IST narudia tena ni Tesla ya tajiri Elon mask sio Kwa ajili ya watu njaa njaa
  19. JamiiForums Tanzania naona kama Bongo star search wamekosa mvuto kwasasa?? Shida nini

    Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
  20. JamiiForums Tanzania Spotify Bongo 2024: Top Artists of 2024 - Tanzania

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…