bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mshindi mpya wa Bongo Star Search Moses Luka siyo kwamba Soda yake haina Gesi kwa jinsi anavyoongea na kujilegeza?

    Kila nikiziangalia Interviews zake baada ya Kutangazwa Mshindi ninaona ni kama vile labda Soda yake haina Gesi kabisa.
  2. JamiiForums Tanzania Watuamiaji wengi hapa bongo wa viagra wanadhani kuwa itawasaidia kuchelewa kumwaga na kuimarisha munkali lakini inaboresha uwezo wa mtalimbo kusimama

    Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda. Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa maana ya kuchelewesha kumwaga au kuongeza muda wa kujamiiana. Kazi yake ya msingi ni kuwasaidia...
  3. JamiiForums Tanzania Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

    Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Wahitimu msing'ang'anie kuomba kazi bongo pekee hata kama uridhiki na ajira uliyonayo muda haurudi nyuma fursa popote

    Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
  5. JamiiForums Tanzania Kongole kwa huyu mwanadada alieimba wimbo wa watu feki. Ana aina fulani hivi ya style yake ya kipekee na pia muziki wake ni very touching

    Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa" She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
  6. JamiiForums Tanzania Bongo Star Search (BSS) anzisheni program ya kupeleka vipaji American Got Talent (AGT)

    Kwa: Meneja wa Bongo Star Search (BSS) Dar es Salaam, Tanzania Yah: Kuanzisha Programu ya Kuwapeleka Washindi wa BSS Kushiriki Mashindano ya America’s Got Talent (AGT) Natumai barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na unaendelea vyema na juhudi za kukuza vipaji vya muziki na sanaa kupitia...
  7. JamiiForums Tanzania Tuseme Elon Musk na D.O.G.E yake amepata nafasi ku-analyze mamlaka zetu hapa Bongo, ni mambo gani ungependa aanze nayo kwanza?

  8. JamiiForums Tanzania Bongo mtihani sana just imagine kuuziwa US dollar kwenye bureau mpaka connection

    Unaenda kwenye Bureau unakuta mwenzio anauziwa dollar vizuri ila ikifika zamu yako unaambiwa stock imeisha inabidi uwe humble tu maana hii Tanzania Kila kitu ukichukulia personal basi options ni mbili kuzeeka mapema au kufa mapema.
  9. JamiiForums Tanzania Mo akipewa DOGE ya bongo kama Elon anaweza kuleta mabadiliko serikalini?

    Mo amefanikiwa sana kibiashara na ndio $bilionea wetu hapa bongo anayetambulika rasmi, akipewa kitengo cha DOGE kuleta ufanisi serikalini anaweza kuleta mabadiliko makubwa? Tukumbuke pia Wahindi ni wataalamu sana katika kudhibiti matumizi.
  10. JamiiForums Tanzania Tuchemshe bongo kidogo

  11. JamiiForums Tanzania Msanii wa bongo fleva, Hamorapa achoma moto gari lake.

    Katika hali ya kushangaza msanii wa kufokafoka Hamorapa ameonyesha video wakati akichoma gari lake.
  12. JamiiForums Tanzania Fountain gate dhidi ya simba mechi nzuri yenye kuvutia upinzani wa soka la bongo hii haina uhusianao na singida?

    JIoni ya leo tunashuhudia mechi halisi mpira halisi na matokeo halisi yaani fair play yasiyo na chembe ya mashaka fountain gate dhidi ya simba ni mechi ya kukamiwa simba ni aina ya mechi simba anazo zipenda huwapa mazoezi na ukomavu wachezaji wao si mechi za bahasha si ajabu kukuta kibu d au...
  13. JamiiForums Tanzania Maadui wakubwa wa soka la bongo katika picha!

    Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na makocha. Timu ikifika ngazi klabu bingwa kule hakuna Mwigulu wa GSM chali nyumbani na...
  14. JamiiForums Tanzania Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo😂, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

    Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
  15. JamiiForums Tanzania Huu mchezo wa kuzabana makofi na bongo upo?

    Aisee huu mchezo sio poa yani unazabwa kofi mpk unaskia marue marue. Kibongo bongo mechi zake zinachezewa wapi?
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe mzee wa bongo bahati mbaya mwanetu Young D alihamia USA!

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU Katika kitu ambacho nilikuwa sijui ni kuwa kama mwanetu Young D mzee wa bongo bahati mbaya kuwa alihamia Marekani Leo ndo nimejua MWENYEZI MUNGU aendelee kuwabariki hawa vijana katika ridhiki zao na mapambano yao ya kila siku AMINA tuendelee...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndio beat #1 bora ya bongo fleva ya muda wote

    Huwa inanikumbusha mbali sana, kipindi twaandika mwaka katikati kuna double zero. Na cha ajabu sikua namjua msanii na bahati mbaya kumbe alisha fariki. This is not a beat this is memory.
  18. W

    JamiiForums Tanzania Hit za mwisho walizotoa malegend wa bongo flava, baada ya hapo walirudi level za kawaida na wengine hawakuvuma tena

    Inspector Haroun - Asali wa Moyo Juma Nature - Dance with Me Professor Jay - kipi sijasikia Dully Sykes - Bongo fleva Ray C - Unanimaliza Feruz - Ndege mtini Mwana Fa - Mfalme Ngwea (Rip) - Nipeni dili Chege na Temba - mkono moja Marlaw - Pii pii AY - Leo remix Mr Blue - Baki na mimi TID na...
  19. JamiiForums Tanzania Bernard Morrison: Nimekuja Bongo kujitafuta sio kupata Hela – Muhimu ni kuibakisha KenGold

    Hiki Kiswahili cha BM3 🫰🏽 Mchezaji nyota Bernard Morrison kwenye mahojiano na Azam TV asema amekuja Bongo kujitafuta sio kupata hela, kwani ametoka kupona majeraha sio rahisi kurudi moja kwa moja kwenye timu zenye presha (kubwa) – Muhimu ni kuipambania KenGold kuibakisha Ligi Kuu ya NBC.
  20. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu(Dementia) ni ugonjwa adimu Tanzania?

    Huu ugongwa wa kupoteza kumbukumbu(dementia) ni common sana kwa watu hasa wazee kuugua huko Marekani na Ulaya. Kwa hapa bongo ni nadra sana kukutana na mtu anayegua ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia). Maisha yangu yote nimewahi kumuona mzee mmoja tu akiugua huu ugonjwa, tena alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…