bongo movie

  1. Trainee

    Ni ajabu ya kiwango cha lami serikali kupiga marufuku media za ngono halafu ikaruhusu bongo movie iendelee

    Yaani bongo muvi ni ufuska mtupu umejaa tu pale hakuna kitu mule Ni ajabu ya kiwango cha lami serikali kupiga marufuku media za ngono halafu ikaruhusu bongo movie iendelee
  2. fundinaizer

    Comedian Chenjeu: Naombeni hata tangazo la 50000. Nakufa njaa

    Nimepita page za wachekeshaji mtandaoni maarufu kama COMEDIAN WA BONGO , Jamaa wanaomba matangazo hata ya Tsh 50,000/= na kumaliza kwa kusema "NJAA ITATUUA" Mkawasapoti wapate unga na dagaa mchele sisi ni wamoja
  3. Cute Wife

    GE2025 CCM waja na tamthilia (bongo muvi) ya kusifia serikali ya Samia, kweli vuguvugu la maandamano linawanyima usingizi!

    Wakuu, Kuna tamthilia imeanza kurushwa Septemba 30, 2025 ambapo waliachia episode ya kwanza. Tamthilia hiyo inaitwa Hatua na kama kawaida wasanii chawa ndio waliyoipamba tamthilia hiyo. Kwenye episode ya kwanza wanaonesha maendeleo yaliyofanywa kwenye sekta ya kilimo, na jinsi wakulima...
  4. Stability

    Huyu mwamba ameshinda mbio za kimataifa, we ngoja arudi nyumbani sasa uone mademu wa mitandoni na bongo movie watakavyomganda kupata kiki

    Watamshugulisha wee had magoti yaishe ute ute siku akirudi tena ulimi wote njee aanze kusema walimwibia viatu vyake kama yule wa Tanga. Pia Soma: Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni
  5. Mhaya

    Bongo Movie wana vitu vingi vya kujifunza kupitia Trailer ya Mbosso ya MAD MAX kuliko kukaa kusifia viongozi na CCM

    Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM na viongozi serikalini. Mbosso ambae ni msanii wa mziki kuachia trailer ya MAD MAX iliyofanywa kwa...
  6. Andromeda Galaxy

    Naomba kuuliza kuhusu huyu msanii wa Bongo Movie kama yupo hai

    Naomba mwenye kujua kama huyu msanii yupo hai atujuze, Jina lake alikuwa akiitwa Scola.
  7. Mshana Jr

    Bongo movie ya ACT part 2

    Monalisa ambaye kwasasa amevuliwa uwanachama na chama chake cha ACT amezidi kufunguka nakusema kitendo hicho chama chake kimefanya utoto huku akitoa siku mbili barua hiyo iweze kukanushwa
  8. figganigga

    Chawa wa Bongo Movie, na Wasanii Uchwara hatuwaoni Wakitumbuiza Kwenye Kikao cha CCM cha Kubadili Katiba

    Kweli ya Mungu mengi, nani angejua Mkutano wa CCM unaweza fanyika bila Chawa? Bongo Movie na Chawa wote wa CCM wwalikuwa anapambana kushonesha nguo za Kijani hadi kuwatukana mafundi wetu. Hii picha sasa ndo wajue Dunia hubadilika na mambo ya kibadilika hawana uwezo wowote. Chawa sijaona...
  9. Poppy Hatonn

    Mtoto wa miaka saba aliyejinyonga Arusha Bongo Movie zalaumiwa

    Ndugu wa mtoto mvulana aliyejinyonga Arusha siku chache zilizopita, wanasema labda sababu ilikuwa ni kutazama filamu za kutisha Wazazi wangetuachia,Men of the Cloth,tutunze watoto,badala ya kuwapotezea muda watoto kwa kuwafundisha uongo
  10. W

    PreGE2025 Wasanii wa bongo movie wamshukia Martha Karua

    Wakuu Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu? Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli. === Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka...
  11. ELI COHEN

    Kwahio salome ataondoka na aziz au ndoa ilikuwa ni ya bongo movie

  12. DeepPond

    Johari: Nipate mume yeyote, kigezo ni awe anapumua

    "Mwanamke yeyote ndoto yake kubwa kuwa na Mume, katika maombi yangu yote hilo naliomba sana lakini siwezi kumpangia Mungu atayajibu lini". "Mkisikia natangaza harusi mjue maombi yamejibu, nipate mwanaume yeyote ili mradi TU awe anapumua" - Muigizaji Johari Chanzo: EATV
  13. Deejay nasmile

    Huyu mdada kaifanya bongo movie irudi DUNIANI

    Nadhani sijaeleweka!! ila ukimtoa kanumba (ME),gabo(ME),monalisa(KE) na riyama(KE) huyu ndio actor wangu wa bongo movie kwa sasa mpaka 2030....."DUNIA Anaitwa hellena aka cindy kakolanya(ke)
  14. Right Marker

    Nahitaji filamu (Bongo movie) iitwayo "The Avengers" ya Jennifer Kyaka.

    Yeyote mwenye filamu ya bongo (Bongo movie) iitwayo THE AVENGERS iliyochezwa na wasanii wafuatao... 1. Jennifer Kyaka - Sterling. 2. Yusuph Mlela. 3. Jackline wolper. 4. n.k Tafadhali mwenye hii filamu karibu Inbox.
  15. W

    PreGE2025 Wasanii wa Bongo movie waliokuwa CHADEMA wahamia CCM

    Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi. Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema? ==== Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi...
  16. masterpeace

    Generation ya bongo movie mjini YouTube

    Wadau. ebu tuzungumzie hii generation ya bongo movie ambao wao wamejikita kwenye mitandao ya kijamii hasa YouTube
  17. Kaunara

    Bongo Movie wanapataje hela?

    Habari, Moja ya sanaa ambayo inanichanganya hapa bongo. Ni bongo movie. Najiuliza Hii Tasnia ya sanaa hawa wahusika wanapataje hela? Mabadiliko makubwa ya Technolojia kutoka vhs, cd, flash na sasa watu kustream/download movie online. Naomba kujua hii Tasnia watu wanapata vipi hela.
  18. ukwaju_wa_ kitambo

    Compination ya wasanii wa bongo movie na wasanii wa bongo fleva katika juhudi zao za kuendeleza sanaa hapa bongo tz

    BONGO MOVIES & BONGO FLEVA COMPINATION KATIKA JUHUDI YA KUINUA NA KUENDELEZA SANAA NCHINI TANZANIA Kumekuwepo na mabadiliko makubwa sana katika Tasnia hii ya Muziki wa Bongo fleva, maana wasanii wengi wa Bongo movie kwa sasa nao kwa namna moja ama nyingine wamejiingiza/ wamejikita zaidi kwenye...
  19. Mshana Jr

    Utapeli wa wasanii wa bongo movie: Diamond ni mhanga na aliwasema waziwazi

    Nina uzoefu binafsi na hawa watu.. Sio wakuwaendekeza hata kidogo. Ni wabinafsi, ni wachoyo, ni ombaomba hawaridhiki na hawana shukrani.. Ni waongo sana pia na huwa wanajiona ni wajanja kukuzidi Unaweza kujitoa kuwasaidia sana. Watakupamba sana na kukuganda lakini nyuma ya pazia wanakuona...
  20. realMamy

    Kijana aliyehitimu masomo yake na mwenye taaluma au kipaji cha kuigiza anaanzia wapi?

    Kumekuwa na Mwingiliano Mkubwa kiasi kwamba hatuelewi kinachoendelea. Nani ni kiongozi wao? Ofisi za Bongo movie ziko wapi? Nani anahusika kuchagua waigizaji kunapotokea fursa na wanaangalia vigezo vipi? Na je kama una kipaji unaanzia wapi au ndo ile uanze kujikomba na kutoa virushwa...
Back
Top Bottom