bodi

Business Objects's Data Integrator is a data integration and ETL tool that was previously known as ActaWorks. Newer versions of the software include data quality features and are named SAP BODS (BusinessObjects Data Services).
The Data Integrator product consists primarily of a Data Integrator Job Server and the Data Integrator Designer. It is commonly used for building data marts, ODS systems and data warehouses, etc.
Additional transformations can be performed by using the DI scripting language to use any of the already-provided data-handling functions to define inline complex transforms or building custom functions.
Data Integrator Designer stores the created jobs and projects in a Repository. However, Data Integrator Designer also facilitates team-based ETL development by including a Central Repository version control system. Although this version control system is not as robust as standalone VCSs, it does provide the basic check-in/check-out, get latest, version labeling and undo checkout functionality.
The DI Job Server executes, monitors and schedules jobs that have been created by using the Designer.

View More On Wikipedia.org
  1. KERO Maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka HESLB michakato ni mingi

    Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details. Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa. Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji...
  2. Bodi ya Ithibati iangaze pia Kwa madalali

    Hii bodi isiishie tu kwa wana habari na waandishi iangazie pia kwenye udalali. Kuna madalali wengi Sana ni Uchwara. Mbona wameweza kudhibiti watu wa auction hadi wawe wamesomea Sheria? N'yadikwa
  3. I

    Sio kweli bodi ya ithibati imezuia watangazaji wakosoaji

    Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️ "Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji...
  4. E

    Bodi ya Waandishi wa Habari (JAB) ina matamko mengi kuliko watu iliowahudumia hivyo waache mzaha

    Katika siku za hivi karibuni Bodi ya Ithibati kwa waandishi wa Habari Nchini(JAB),imekuwa ikijitokeza mara kwa mara kuonya waandishi wasiosajiliwa na Bodi hiyo wasijishughulishe au kufanya kazi yoyote ya kihabari mpaka watakapothibitishwa. Hili linaweza kuwa Jambo jema lenye kulinda hadhi ya...
  5. Bodi ya mikopo na serikali,je haya malipo ya shilingi 20,000/= ni sahihi ili kupata namba ya utambulisho wa makazi (NaPa) ?

    Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana ambazo kuzikamilisha inakuwa ngumu na pengine Kuna mianya ya rushwa. Binafsi nakubaliana na huu...
  6. Bodi ya Mikopo yafafanua kuhusu Wanafunzi waomba mikopo wanaokwama kujaza taarifa za NaPA

    Mwanachama wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa Jukwaa la Elimu (Education Forum) aliandika “Kipengele kipya cha Anuani ya Makazi (NaPA) katika Fomu ya Mkopo wa HESLB hakieleweki kwa Watendaji wengi, HESLB itoe elimu” Mwanachama huyo alidai kuwa uombaji wa mkopo wa Chuo kuna kipengele kipya cha...
  7. M

    Simba tuwajengee Mnara Karia na viongozi wa Bodi kwa Uzalendo wao kwetu

    Wametupambania sana tangu waingie madarakani. Na sasahivi wapo ambao wamewajibika kupoteza nafasi zao sababu yetu. Mbali na kutusaidia kupata ushindi tusiostahili kwenye mechi nyingi ila kubwa zaidi ni NAMNA WALIVYOJITOA MUHANGA ILE TAREHE 8 March. Bila wao ilikuwa zichukuliwe point 3 wapewe...
  8. Mgogoro ndani ya Simba unafukuta, Mo na bodi yake wasusa, Simba yasafiri Kwa njia ya barabara kuelekea Tabora

    Baada ya suluhu ya mgogoro wa derby huko Ikulu Dodoma umekuwepo mgogoro mkubwa kwenye timu ya Simba Bodi ya Simba na mdhamini mkuu Mo Dewji hawakufurahia uwakilishi wa viongozi wa Simba ambapo wengi walikuwa wazee wa Simba akina Dalali na Hasanoo Wazee hao wa Simba hawakuwa na hoja au matakwa...
  9. Bodi ya Simba yashinikiza Mangungu kujiuzulu, Yakana kuwatambua viongozi wengine walioiwakilisha katika mazungumzo Ikulu

    Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na...
  10. Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

    Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
  11. M

    Viongozi na mashabiki wa Simba, yanayoendelea baina ya Bodi ya Ligi na Yanga ni geresha toto tu, Yanga wataingiza timu Jumapili na tutashangazwa

    Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa ile ni geresha toto, mpango wao waendelee hivi hivi kuwachanganya watanzania ili simba wabweteke...
  12. C

    Kama bodi ya ligi wanaficha jina la kiingozi aliyepiga simu kuzuia Simba wasifunguliwe geti,basi hawafai kuwepo kazini

    Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha. Unaacha kumtaja ili ulinde hadhi yako wakati yeye yupo na anaendelea kuwasapoti wanaosema hatuchezi!Huu ni...
  13. TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  14. S

    Yanga ni kama kitinda mimba mkiwaendekeza watawapanda kichwani; TFF na bodi Msiogope; wasipocheza kateni point sheria itajitetea yenyewe mbeleni

    Yanga ni miongoni mwa timu nzuri Tanzania bara! Lakini uongozi wa Yanga una utoto mwingi sana! Ukipitia historia ya maamuzi ya Yanga hutaacha kuona utoto ndani yake! Hawahawa Yanga WALIKIMBIA CHAMAZI COMPLEX kama uwanja wao wa nyumbani NBC league kwa sababu za kitoto, uwanja ulikuwa mzuri...
  15. Msimamo wa Yanga Taifa Kubwa,Hatuchezi hadi bodi ya Ligu ijiuzuru!

    MSIMAMO WA YANGA (TAIFA KUBWA) 👉Zipi sababu za kuahirisha mchezo wa kwanza wa dabi ya Simba na Yanga tarehe 8 Machi 2025. 👉Kwa nini bodi ya ligi wamepanga mchezo mwingine bila suluhisho la sababu ya kuhairishwa mechi ya tarehe 8 ya Simba na Yanga? 👉kwa nini bodi ya ligi haikuchukua hatua za...
  16. Bodi ya ligi ni hekima zaidi kusilikiliza madai ya Yanga, wala siyo unyonge

    Kwanza nawapongeza bodi ya ligi Kwa hatua ya kuwaita Yanga na kuwasikiliza rasimi. Bodi ya ligi ndo ilifanya makosa na kukaa kwenye janjajanja ya Simba aliyetumia Karia kukimbia mechi Kama TFF walisikiliza Simba na kuvunja mechi kijinga kwanini isiwasikilize Yanga wenye hoja zilizoshiba kuliko...
  17. BODI inalamba matapishi yake hahaaa ...wameliwa juzi derby vipi ooh YANGA wanaijua tar hawana mda WA kujadili Leo mnajadili xxxxxx

    HUYU BWANA ananshangza sanaa YAAN achrlewajo KULAMBA matapishi yake na BODI yake Majuzi tu MGUTTO kauhojiwa vipi kuhusu derby kajibu Haina shida tushatoa ratiba na HATA hao WANASEMA hawachezi watachexa wanajua
  18. Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025

    “Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
  19. M

    Bodi ya Ligi, waambieni watanzania rasmi kuwa Yanga haitocheza na Simba Juni 15 ili watu waendelee na shughuli zao, mkikaa kimya mtaua biashara za wat

    Yanga wameshasema hawachezi, wengine wanasema wanadanganya na wengine wanasema wako serious kwa sababu hadi leo hakuna tiketi zinazouzwa, wengine wanaona Yanga wameanza mazoezi mapema na hivyo wanashangaa Yanga aanze tizi mapema la kumkabili Prisons, tizi gani hilo? Sasa ushauri wangu mechi ya...
  20. MDA SI MREFU nimeota BODI ya ligi itajiuzulu na kuundwa BODI mpya na YANGA atatangaza kucheza Derby. ....

    Wapendwa SIJAWAHI kosea ndoto ZANGU Usiku waleonnimeota BODI ya Ligi itajiuzulu siku si nyingi kuanzia sasaaa Na taarifa za ndoto ZANGU zinasema Itaundea BODI mpya Na bAadae YANGA itatangaza kucheza derby Tar 15 jun Ft YANGA ATASHINDA na JUMLA ya magoli ft pande zotee n kuanzia 3+...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…