binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tumsaidie Binti huyu,majeraha yake yanaumiza,yanaliza

    Crala Wilfred Kimath (21)yupo chini ya uangalizi wa madaktari wa mifupa kwenye Hospital ya Rufaa ya kiKanda ya KCMC baada ya kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili katika tukio linaloacha maswali mengi kutokana na mazingira ya tukio lenyewe. Binti huyu ambaye ni yatima baada ya wazazi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

    Kazaliwa 2003. Chekechea na Primary: Shule ya English Medium... O- level : Private Advance : Private. Kafika chuo kanyimwa bumu( boom) Hajawa allocated. Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
  3. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa

    Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa Mpendwa Binti, Salamu za upendo kutoka kwa mtu anayejali ustawi wako wa kiakili, kihisia, na kijamii. Naandika barua hii si kwa kukufundisha, bali kwa kushirikiana nawe mawazo ambayo yanaweza kukuimarisha katika safari yako ya maisha. Kwanza kabisa...
  4. JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi ya pharmacy, yupo Dar

    Binti mwenye umri wa miaka 20 Ana Certificate ya Pharmacy ame-postpon mwaka wa tatu wa dimploma anatafuta kazi ya Ufamasia yupo Dar Namba 0781239520
  5. JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi , Elimu yake form four na anajua kutumia computer vizuri sana.

    Habari ya uzima. Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri. Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k Angependa alipwe 200-250K Sifa zake. Umri 24 Mchapaka Kazi Anafundishika. Mtu wa kujituma na kutoa...
  6. JamiiForums Tanzania Mama wa binti hanitaki kabisa. Wadau, nifanye nini katika hali hii?

    Wadau, mnakumbuka nilileta uzi kuhusu binti aliyekwenda nchi za Kiarabu kufanya kazi? Sasa hivi, kuna jambo limetokea na nipo njia panda. Kwa kifupi, mimi kwao sijulikani vizuri, wazazi wake wanaamini mimi ni bwana wa mtoto wao, lakini ndugu zake wanajua ukweli. Juzi tarehe 11, binti alinipa...
  7. JamiiForums Tanzania Katika majukumu 2018-2022 Nchi za Urusi, Armenia,Vietnam,Thailand na Singapore, nilidakwa na Binti Mnyaru kimahusiano nikagundua kagame Noma Hatari

    Asalaaaaamu, Britanicca hapa! Matumaini yangu ni wazima ! Kuna ka story ambako kanaweza kuwa na episodes kadhaa Ila ni Kama ka drama fulan ka ukweli kaliko changika na ujasusi ndani yake! Kagame mnyoshee mikono! Naokumbuka vema ilikuwa siku ya Alhamisi tarehe 8 Mwaka 2018 nikapokea simu toka...
  8. JamiiForums Tanzania Lissu: Chadema kipo kibra na M/kiti hana ushawishi tena ndiyo maana hata anapoitisha maandamo ni yeye na binti yake wanahudhuria

    "....Lazima tujiulize, tumewakosea wapi WANANCHI hadi kupelekea hawaiamini tena Chadema?" "....mfano, imefikia M/kiti akiitisha maandamo anaye jitokeza ni binti yake na yeye peke yake-kwanini?!" "....watu waliokuwa tayari kutufia, sasa wana kiona Chadema kama rafiki kipenzi wa CCM." Tundu.
  9. JamiiForums Tanzania Binti kani-approach tufanye biashara ya pamoja (business partnership), je nimkubalie?

    Huyo sio waifu ni mdau tu wa maendeleo. Wakuu chochote mtachosema mimi nitakuwa mtekelezaji mwaminifu. Mimi naliamini sana hili jukwaa halijawahi kuniangusha hata siku moja. Mnasemaje wakuu Mnanipa grini laiti au?
  10. JamiiForums Tanzania Kuna binti anataka kufanya partnership (biashara) na wifi yake (mke wa kaka yake)

    Hapa ushauri unahitajika maana nimeshauri mpaka nimechoka. Kuna binti kaja kuniomba ushauri kuna biashara anatamani kufungua ila wifi yake yaani mke wa kaka yake anatamani kufanya naye partnership. Watu wenye uzoefu na biashara za kufanya na ndugu hili swala mnaweza kushauri vipi.
  11. JamiiForums Tanzania kule Kenya,Vijana leo wameanzisha maandamano ya kupinga kutekwa kwa kijana mwezao. Tanzania hii haiwezekani tunataka mtu atuandamanie.

    Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama jioni kwenye taatofa za habari. Wakenya wana spirt ya asili ya kupambana na sio kutegemea wakina...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaosema Mbowe amechoka, nawakumbusha kwamba wakati Lissu kajificha uvunguni, Mbowe na binti yake ndio waliandamana mwaka huu, wakakamatwa na Polisi

    Mwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana. Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko mbona hatukuwaona? Mmejaa humu MNATUNA lakini saiti hamuonekani. Hawa ndio tukabidhi chama?
  13. JamiiForums Tanzania Binti, kama unampango wa kuolewa usichelewe kuolewa. Umri sahihi 20 - 30

    BINTI, KAMA UNAMPANGO WA KUOLEWA USICHELEWE KUOLEWA. UMRI SAHIHI MIAKA 20 - 30. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuolewa ni faradhi lakini kuzaa inaweza kuwa majaliwa yaani mapenzi ya MUNGU. Ikiwa unajua kuna siku utataka Kuolewa au utaolewa Basi ninakushauri usichelewe kufanya hivyo. Umri...
  14. JamiiForums Tanzania Tabora: Watu tisa washikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumuozesha binti wa miaka 13

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata watu tisa kwa tuhuma za kumwozesha binti mwenye umri wa miaka 13, Faudhia Mwinyi, mkazi wa Kazaroho, Kata ya Mbugani, kwa mwanaume Issa Ndambile (24), mkazi wa Geita. Ndoa hiyo ilikuwa ikifungishwa katika Msikiti wa Kazaroho, Manispaa ya Tabora...
  15. JamiiForums Tanzania Binti 24yrs anatafuta kazi yupo Moshi

    Bint wa miaka 24 yupo Moshi anatafuta kazi yeyote halali Elimu yake Kidato cha Nne Certificate ya tourism Mchapakaz na mchangamfu Anaweza kufanya Kazi yeyote ambayo haidhalilishi utu wake Kama unamuhitaji naomba unicheki Pm Ahsante Kwa msaada wako
  16. X

    JamiiForums Tanzania Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

    Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na masikini

    Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na maskini, miaka ya nyuma iliyopita Bill Gates akiwa tajiri namba moja duniani alihudhuria kwenye Investment and Finance Conference akaulizwa "Wewe ni mtu tajiri zaidi duniani je unaweza kuruhusu binti yako aolewe na masikini?" Billy akajibu...
  18. JamiiForums Tanzania Binti, usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa

    "Binti usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa, ukimpa hawezi kukuthamini ataona kama unampa kabla ya ndoa akiwa sio mume wako unaweza kumsaliti ndani ya ndoa kwakuwa huna msimamo na mwili wako, hakikisha unampa baada ya kukuvisha Pete ya ndoa kidoleni mwako"
  19. JamiiForums Tanzania Unamkumbuka yule binti uliyesoma naye msingi uliyekuwa unamuona mshamba?

    Mmkiwa shule ya msingi na sekondari kuna yule mtoto wa kike mmoja mnamuona wa ajabu, mshamba na mnamtania hadi anakosa raha... Nimekutana na mmoja sasa hivi kawa pisi kali hatari
  20. JamiiForums Tanzania Wamama wa kichaga na hongereeni kwa kunipa huyu binti daah! Wakuu nafwaa kwa mapenzi haya ya kichaga

    Wa mama wa kichaga ahsanteni sana kwa kuniletea huyu binti binti mushi daa wazee sikuwahi kujua kwamba wanawake wa kichaga Wanajali na kuwathamini waume zao hivi aisee wakuu nafwa kwa mapenzi ooh yeah binti ananipa kila kitu pesa,nguo na mapenzi wakuu mimi mtoto wa kimakonde nitake nini? Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…