bingwa

Geng Bingwa (Chinese: 耿冰娃; pinyin: Gěng Bīngwá; born January 3, 1994) is a Chinese figure skater. She won the silver medal in 2008 and 2011 at the Chinese Figure Skating Championships, and reached the free skate at five International Skating Union Championships.

View More On Wikipedia.org
  1. Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

    Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola. Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia...
  2. Je, Azam wamedhamiria kuchukua nafasi ya Simba Klabu Bingwa au wanatuzuga tu?

    Ukiangalia namna viongozi wa Azam na wachezaji wake wana hali ya usimba na uyanga mle. Kitendo cha Azam kufungwa goli tatu na Simba kulileta tafsiri ya aina yake kwasababu Azam walihitahi tu point moja kwa Simba ili kujiwekea uhakika wa kucheza klabu bingwa ila cha ajabu tuliona jinsi Azam...
  3. Boston celtics bingwa NBA 2023/2024.

    Na mchambuzi wa mchongo Mnyunguli Yes nawaona mbali Celtics msimu huu wakienda kubeba hii ndoo baada ya kitambo kirefu cha miaka 16,mara ya mwisho kutwaa ubingwa huu ilikuwa 2008 dhidi ya Los Angeles Lakers wababe wa jimbo la Calfonia kwa series ya 4-2. Celtics na Lakers ndiyo mabingwa wa...
  4. EPL: Makombe Mawili Yaliyofanana yatapelekwa kwenye Viwanja vya Emirates & Etihad katika michezo ya leo ya kuamua nani awe bingwa

    Bodi la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) wameamua kupeleka makombe mawili yanayofanana katika viwanja viwili vya Emirates ambapo utapigwa mchezo wa Arsenal Vs Everton. Kombe la pili litapelekwa kule Etihad ambapo kutakuwa na mchezo wa Man City Vs West Ham. Sambamba na hayo pia, watapeleka medali 40...
  5. Yupo wapi bingwa wa ulozi?

    Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana Jr vipi, mwenye taarifa atugaie. Huyu mtu tunaye au hatunaye?
  6. Yanga Bingwa 2024

    Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa. Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi!
  7. Mary Moraa bingwa wa Dunia, atwaa tena taji la Diamond League

    Mary Moraa ambaye ni bingwa wa dunia na Jumuiya ya Madola mbio za mita 800, ametwaa taji la riadha za Diamond League duru ya Doha nchini Qatar. Bingwa huyo wa Kenya ambaye ni afisa wa polisi, katika mbio za mita 400 na mita 800, aliweza kukamilisha mizunguko miwili kwa dakika moja na sekunde...
  8. Hizi ndiyo timu kutoka Africa zitakazo shiriki michuano ya FIFA klabu bingwa dunia

    kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA Al ahly kutoka nchini Misri Wydad kutoka nchi ya Morocco Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
  9. M

    Simba ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Yanga ni Bingwa wa Tanzania Bara tu, msijitoe ufahamu

    Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii. Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
  10. Inter Milan Bingwa Mpya Wa Seria A

    After Napoli's spectacular year in the 2022-23 season, Inter Milan have reclaimed their golden sceptre and won a Serie A that they have dominated with an iron fist. No one has been able to even come close to Simone Inzaghi's side, who lift the title in the most special of matches and with five...
  11. Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

    Ni rasmi Wydad Athletic 🇲🇦 hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu 🇲🇦 Full — Wydad 0 - 1 FAR Rabat Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
  12. Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga. Wengi wasichokijua nyuma ya pazia...
  13. Tarehe 12.5.2024 Yanga atatangazwa Bingwa Msimuu huu na Mimi Tarehe hio itakua siku ya Birthday Yangu.

    Hatimae ndoto ambayo niliyokua naiota Miaka Mingi inaenda kutimizwa..Nimekua nikiomba sana Siku ninayosherekea siku yangu ya kuzaliwa Mtu wa soka,Mtu ambae nimezaliwa Kutoka kwa mama Mnyarwanda Mpenda Football ambae Ndoto yake kubwa ilikua siku moja anione nachezea Manchester United ila sema tu...
  14. Kundi la Islamic State lachapisha vitisho dhidi ya mechi za Klabu bingwa Ulaya leo

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Usalama utaimarishwa katika mechi za Ligi ya Mabingwa wiki hii baada ya chombo cha habari kinachounga mkono kundi la Islamic State kuchapisha vitisho dhidi ya viwanja vitakavyotumika. Kituo cha vyombo vya habari kinachounga mkono IS kimechapisha mabango...
  15. Yanga ingesonga mbele, ingeshiriki Klabu bingwa ya Dunia ya FIFA, kila mshiriki anapewa Dollar Milioni 50 kwa kushiriki tu

    Hivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule refa. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
  16. Dalili zinaonesha, Yanga lazima ichukie ubingwa klabu bingwa msimu ujao

    Nimeangalia katika angle mbalimbali, ninejiridhidha, kombe linatuwa Jangwani. Ukibisha, bisha kwa hoja.
  17. Bia moja moja ni sawa na serengeti lite 5

    ukizichapa bia 5 kazi unayo
  18. Hadi hapa Yanga ni Bingwa Msimu huu wa 2023/2024, Kwa Sababu Kuu hizi 2.

    Habari Mwana-Jukwaa La Sports. Nianze Kwa kusema Soka La Afrika linatofauti Kubwa sana Na Soka La Ulaya ambapo uwekezaji ni Mkubwa na Mchezo huu umepiga hatua kubwa sana. Ulaya kwenye Nchi zenye Ligi Kubwa na Maarfu kama Vile England,Spain,Italy,Ujerumani,Ufaransa,Ureno,Uholanzi na Mataifa...
  19. Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

    Hapo vip!! Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi. Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo: 1. Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote. 2. Ndio timu inayoongoza...
  20. S

    Utaratibu za zamani uliruhusu timu ambayo sio Bingwa wa Ligi kushiriki Kombe la Club Bingwa?

    Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe. Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…