binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Magari binafsi yapigwe marufu kuingia Kariakoo

    Nazishauri mamlaka pale Kariakoo wangezuia gari zote za binafsi kuingia eneo lile. Waruhusu taxi mtandao (drop off & pick up), boda na gari za mizigo tu. Raia wote wateja na wafanyabiashara wangetumia public transport kuingia Kariakoo.
  2. JamiiForums Tanzania Mungu haponyi ni juhudi za madaktari na wewe binafsi, lakini je ameshamaliza kuumba?

    Je Mungu alishamaliza kuumba ? Tunatambua Mungu aliumba ulimwengu kwa siku 6 na ya saba akapumzika, sasa je baada ya hapo hakupumzika tena mpaka leo imekuwa tu mwendo wa kuumba viumbe wapya kuanzia binadamu ,wanyama, wadudu ,mimea nk? Au ameset kila kitu kwenye automode kiwe kinajiendesha tu...
  3. JamiiForums Tanzania Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje?

    Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje? Je, unajiuliza ni nani wa kumuamini akusaidie kutekeleza majukumu muhimu ya kibiashara au binafsi kwa niaba yako? Jibu ni Amicable Group Holdings Limited. Ni kampuni iliyosajiliwa kisheria...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana

    Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo kama wa Gen Z asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana
  5. JamiiForums Tanzania Watu wanatumia Jina la CHADEMA kuendesha donation za kitapeli wanaweka account zao binafsi ili waishi na familia zao siyo chama huu ni wizi

    Nashangaa mtu anaamka asubuhi kwa kutumia jina la chadema anaweka account number yake binafs anaanza kutafuta hela za mwaka mpya kwaajili ya kula na familia yake na watu wanamchangia kweli hii ni aibu mno huu ujinga utaisha lini, acheni kuwalisha hawa matapeli ya chadema na ikumbukwe kuwa hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, Leseni za Biashara na mengineyo?

    Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, leseni za biashara na mengineyo? Jibu ni ๐—”๐—บ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—š๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—›๐—ผ๐—น๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ด๐˜€ ๐—Ÿ๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—ฑ (๐—”๐—บ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—ฆ๐—ผ๐—น๐˜‚๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐˜€) โ€” kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu sana upate...
  7. JamiiForums Tanzania Nguvu ya uwanaume inapotea kwenye jamii, wanaume tufanyaje?

    Wakuu habari za jioni hii. Hili ni andiko huru kwa watu huru, wa jinsia zote, na mlengo ni kuwekana huru kifikra. Mwanaume tokea Karne za nyuma anafahamika kuwa na sifa za uongozi kwenye Dunia, kuongoza nchi,kuongoza jamii na familia. Kitabu Cha mwanzo kinaelezea vizuri role ya mwanaume...
  8. J

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka adai Wakinga, Wapemba, Wanyantuzu, Waha, na Wachaga, ndio vinara wa sekta binafsi Tanzania.

    ..RC Mtaka anadai Kariakoo haiwezi ku-survive bila ya uwepo wa Wakinga. ..sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=USgtsZ6LwvY
  9. JamiiForums Tanzania Ole wenu Magaidi na Mamluki mnaopanga kuvuruga amani na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi Dec.25.2025

    Hapatakua na huruma, aibu wala haya katika kuwadhibiti na kuwasambaratisha katika harakati zenu za kujaribu kuvuruga amani na utulivu miongoni mwa waTanzania. Binafsi nawatakia vijana na waTanzania wote sherehe njema za Christmass na heri ya mwaka mpya2026. Nawatakia matumizi mema na sahihi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nini kilitokea Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025? Huu hapa mtazamo binafsi wa Likud.

    Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa. Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period. Kwa vilaza ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Tanzania ilikumbwa na UPEPO MBAYA hiyo tarehe 29 OKTOBA 2025. Upepo huo mbaya ukawa reflected kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Katika wapumbavu mia angalau muweni welevu wawili wenye kuendeshwa na utashi na tafakuri binafsi bila mihemuko na trend

  12. Q

    JamiiForums Tanzania Wajue Maafisa wa Serikali na watu binafsi waliowekewa vikwazo na Marekani

    Baada ya Marekani kuiwekea Tanzania vikwazo, Partial Restrictions, wafuatao ndio watakaoathirika. Partial Restrictions ni marufuku ya viza au wakati mwingine (freeze of property) ambayo serikali ya Marekani huweka kwa watu mahususi badala ya kupiga marufuku au vikwazo vya jumla. Vikwazo...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  14. JamiiForums Tanzania Mateso ya Sekta binafsi ye NSSF wanatunyima mafao yetu

    Tuliofanya kazi sekta binafsi kwa mshahara kidogo na mateso makali na mwisho Mungu akajalia tukapata serikali leo tunajua pesa ya NSSF itakuwa msaada kwetu lakini sheria za hovyo alizopitisha Magufuli tunanyimwa. Naomba serikali ione huruma ili tunaopata kazi serikali tulipwe hiyo pesa ili...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nani anawapa mamlaka Polisi kuweka namba zisizojulikana kwenye gari zao binafsi?

    Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza. Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti. Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi? Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa...
  16. JamiiForums Tanzania Ninavyomfahamu binafsi Fr. Kitima (PhD), Toka akiwa Mkuu wa Chuo pale SAUT Mwanza

    Kipindi nasoma pale SAUT Mwanza 2012-2015, Padre Kitima ndo alikuwa mkuu wa chuo chetu pale. Namfahamu binafsi na nilikuwa nikiongea nae na kushirikishana mambo kadha wa kadha Fr Kitima naona amekuwa maarufu kipindi hiki baada ya kuwa Katibu wa TEC, naona vilaza wasiomjua vizuri wanajaribu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi "First Gentleman" wetu!!??

    Waungwana ninashangazwa saana kumuona "Mama" akiwa peke yake mda mwingi na katika ziara zake....vipi ""FG"" wetu masahibu gani yamemkuta? ...sio jambo la kawaida....au ndio yale mambo ya Diamond ya ""Niko salaaama sijui wewe ukoo.....ohooo uku nakula nyama kwa nyama ahaaaa sijui wewe uko"
  18. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za elimu binafsi (Private Coaching)

    Unahitaji kujifunza ujuzi mpya au kuboresha uwezo wako binafsi? Sasa ni wakati wako! Tunatoa MAFUNZO BINAFSI (One-on-One) kwa: ๐ŸŒ Lugha za Kigeni โ€“ Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kichina, Kihispania n.k. ๐Ÿ’ป Kompyuta โ€“ MS Office, Internet Skills, Typing, Coding, Graphic Design n.k. ๐Ÿš—...
  19. JamiiForums Tanzania Iddi Amin Mama, Kubali Yaishe. Maslahi Ya Nchi Ni Makubwa Kuliko Maslahi Yako Binafsi!

    Iddi Amin Mama, inawezekana youโ€™re in deep denial, lakini ukweli ni kwamba hakuna tena uwezekano wa wewe kuendelea kuongoza hii nchi bila kuzidi kuharibu umoja wake wa kitaifa! Ukubali au usikubali, huna washauri wazuri. Washauri ulionao ni wale wanaokuambia kile wanachodhani unataka kusikia...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Katuga, kwanini unakuwa na chuki binafsi na Lissu?

    Pamoja na kutumwa, ni dhahiri unaonesha chuki binafsi na Lissu! Kwanini unakuwa hivyo? Alikukosea nini? Kuna siku ya Mungu utajibu mbele yake na hao wanaokutuma hawatakuwepo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ