bilal rehani waikela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Tabora Hotel alipohojiwa Bilal Rehani Waikela 1969

    TABORA HOTEL MAHALI ALIPOHOJIWA SHEIKH BILAL REHANI WAIKELA BAADA YA "MGOGORO" WA EAMWS 1969 ''Kilichobakia baada ya kuvunjika kwa EAMWS ilikuwa ni kujaribu kuiweka BAKWATA katika mikoa kama jumuiya inayowakilisha Waislam wote wa Tanzania Bara. Mwaka mzima wa 1969 Adam Nasibu na kamati ya watu...
  2. Mohamed Said

    Bilal Rehani Waikela: (1932 - 2022)

    BILALI REHANI WAIKELA (1932 – 2022) Maneno hayo hapo chini yapo katika utangulizi wa kitabu cha Abdul Sykes: ‘’Napenda kutoa shukrani maalum kwa Bilal Rehani Waikela, muungwana wa Kimanyema na Muislamu wa kweli. Waikela akiwa na umri wa miaka 25 mwaka 1955, alikuwa mmoja wa waasisi wa TANU...
  3. Mohamed Said

    Bilal Rehani Waikela katika gazeti la Uhuru

    Muasisi wa TANU Western Province Mzee Bilal Rehani Waikela yumo katika gazeti la Uhuru la leo.
  4. S

    CCM yamjulia hali muasisi wa TANU na mpigania Uhuru anayepatiwa matibabu MOI

    Jumapili 16 Januari 2022 Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amemtembelea na kumjuilia hali ya maendeleo ya afya yake Mzee Rehan B. Waikela aliyelazwa katika taasisi ya mifupa Muhimbili (Moi) akipatiwa matibabu. "Chama Cha Mapinduzi na Serikali zake...
  5. Mohamed Said

    Bilal Rehani Waikela ni nani?

    MZEE BILAL REHANI WAIKELA AMELAZWA MOI GOROFA YA 2 CHUMBA NO 2 KITANDA NO. 5 Ndugu zangu leo asubuhi nimejaaliwa kwenda MOI kumjulia hali Mzee Waikela. Nimemkuta macho na namshukuru Allah kwa hili kwani ningemkuta kalala nisingethubutu kumwamsha ingebidi niondoke. Mzee wetu amepokelewa jana...
Back
Top Bottom