bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uchawi wa kukatwa na vitu vyenye ncha kali bila kujeruhika

    Uchawi huu uko sana Kigoma, pia majambazi wengi huutumia
  2. JamiiForums Tanzania Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

    Guys, Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali. Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua. Kisha nakaa pembeni...
  3. JamiiForums Tanzania Bila VAR timu ndogo gomeeni ligi round ya pili.

    Ziko timu ambazo zitashuka daraja kwa kupokwa ushindi na waamuzi dhidi ya timu kubwa nchini. Round ya pili hata kama hakutakuwa na VAR lakini iwepo TV inayoweza kutumika watu kuangalia slow motion za matukio tata viwanjani.
  4. JamiiForums Tanzania Mzee Wassira: Ujenzi wa Hospitali ya kumbukumbu ya Mwl. Nyerere sifa wapewe wananchi wa Mara na siyo Serikali

    Mzee Wassira ni mmoja kati ya wazee ambao huwa haonyeshi kucheka cheka pale anapoongelea jambo, mfano aliongelea jambo urais ambao wengi wanaonyesha nia wkt huu na kusema muda wao bado na hata yeye aliwahi kuutaka ila kwa sababu ya muda basi muda wake umepita na hawezi tena. Mimi ni mmoja kati...
  5. JamiiForums Tanzania Inawezekana kupona enka iliyoteguka (ankle sprain grade3 au 4) bila kwenda Hospitali?

    Je, ni wakati gani nitahitaji kumuona Dokta kama nitaona maumivu makali yamepungua kutoka siku ya kwanza ya kupata ajali ya enka?. Vipi kama nitaamua kufuata tu taratibu za kujiuguza nyumbani mpaka Mguu/enka itengemae? Ni ipi hatari inayoweza kumpata Mtu asipoonwa na kushauriwa na Daktari juu...
  6. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo

    Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo ya Utarajali Tamko hili Limekuja baada ya Wanafunzi kulalamika kupitia JamiiForums kwamba utaratibu wa kusubiri miezi nane ndipo warudiE mitihani inawauimiza...
  7. JamiiForums Tanzania Amejenga hii bila mkopo wa benki, ilimchukua miaka nane kumaliza

    Ni apartments
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Temeke wanasumbua kulipa pesa za Mirathi bila hoja za msingi

    A
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama inaweza kukulazimisha kujibu swali lolote bila kujali kiapo ulichokula cha kulinda siri

    Sheria ya kulinda siri ina sehemu inazokuzuia kuropoka siri za taasisi yako unayofanyia kazi,,,sehemu hizo ni kama ukiwa baa, sokoni,msikitini,kanisani,kwa mchepuko nk, ukiwa sehemu hizo ikaropoka mambo kwa mfano ya Jeshi utaadhibiwa vibaya sana Ila linapokuja swala la mahakama,utajibu kila...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Bila "tumbua tumbua" haya Maendeleo tunayoyashuhudia leo yasingekuwepo

    Kama unadhani ufisadi ulianza jana basi unajidanganya sana. Awamu ya kwanza kulikuwa na ufisadi wa kutisha sema mawasiliano wakati ule yalikuwa duni tu, utakumbuka RIP Nalaila Kiula alivyopiga dili pale UDA au yule mbunge wa Temeke mh Masoud na issue ya kivuko au wale akina Balyagati na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…