bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania bila uraia pacha mnaibiwa wazi wazi

    Ameandika: Bongo Zozo Hongera sana @bernardk17 na wala sikulaumu. Hakuna angekataa fursa hiyo. ILA: @taifastars_ imepoteza bonge la mchezaji. Huyo jamaa anacheza kinoma yaani. Na hawezi kuchezea timu ya 🇹🇿 tena. ISIPOKUWA URAIA PACHA. Tanzania ilivyocheza na Benin mwaka uliopita, uwanjani...
  2. JamiiForums Tanzania Ajira bila kupitia Utumishi

    Habari zenu mabibi na mabwana,naomba kuuliza jamani eti ni shirika gani ama idara ya serikali gani inaajiri wenyewe bila ya kupitia utumishi
  3. JamiiForums Tanzania Nimekata nusu mwaka sasa bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi

    Baada ya kupiga hesabu ya kumiliki mwanamke nje ya ndoa nimeona kuna gharama kubwa sana zinazosababisha hela kupotea. Pesa ambazo ningezifanyia mambo ya msingi sana. Sasa Toka January nikaamua kukaa SINGLE KABISA. Miezi 6 sasa imekamilika. Sina Dem wala Girl yeyote wa kuniomba vocha, hela ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kizazi cha sasa tambueni haya ndio mambo yanayoweza kukusababisha ukaua bila kujali Sheria

    KIZAZI CHA SASA TAMBUENI KUWA; HAYA NDIO MAMBO AMBAYO YANAWEZA KUKUSABABISHIA KUUAWA BILA KUJALI SERIKALI IPO AU HAIPO! Anaandika, Robert Heriel. Kuna mausia ambayo kizazi cha sasa hakijapewa ndio maana kinachukulia mambo kiholela, yaani mambo rahisi rahisi. Wazazi wanalojukumu la kuwaachia...
  5. JamiiForums Tanzania SUA, hao wanafunzi wanaoenda field bila kuwapa pesa za kujikimu mnawawazia nini?

    SUA hao wanafunzi wanaoenda field bila kuwapa pesa za kujikimu mnatuwazia nini?Hili ni swali ninalojiuliza ila hadi sasa hakuna majibu. Watanzania kazi iendelee. Katika mambo yanayoonekana kuwa na matatizo ni jinsi baadhi ya vyuo vikuu vinavyotekeleza mambo yake,leo nitaandika mambo...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha ajira na kujiajiri bila kujutia mbeleni

    USIACHE AJIRA KABLA YA KUJITATHIMINI KWANZA: hapa namaanisha ujiulize je ajira yako inakupa furaha au inakukera na unaenda tu ili uweze kukidhi mahitaji yako ? na je ukijitathimini ukiwa uzeeni kwako baada ya kuendelea na hiyo ajira bila kujaribu kujiajiri utajilaumu au hautajilaumu? basi...
  7. JamiiForums Tanzania Nataka nimfungulie kesi aliyejitambulisha kama Customer care wa Halotel kwa kunitukana bila sababu

    Habari zenu watoto wa mama (SSH) Nimejikuta wiki nzima imeharibika baada ya kupokea matusi kutoka kwa mtu ambaye amejitambulisha ni mtoa huduma kwa wateja (customer care). Nilikuwa nimepumzika zangu majira ya asubuhi ghafla nikapokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa anatoka kitengo...
  8. JamiiForums Tanzania Je, waandishi wa Biblia hawakuona aibu kufanya ‘Plagiarism’ ya wazi wazi kwenye ‘Vibao vya Sumeria’ na kufanya editing bila aibu kabisa?

    Imekuwa Ikifahamika kwa watu wa chache sana wenye maarifa na ujuzi katika miaka ya hivi karibuni (20th century), kwamba biblia ni masimulizi ya ‘Vibao vya mawe vya Sumeria’ vilivyo ‘ghoshiwa’ na wajanja wachache (hasa Warumi) katika kukamata na kupumbaza akili raia katika himaya zao, hii...
  9. JamiiForums Tanzania Siri ya kuufanya uume ukue kwa size bila kipimo

    Nimegundua watu wengi wanapata tatizo la uume kutokukua na kurefuka kwa sababu mbalimbali kuanzia vyakula wanavyokula hadi life styles kwa ujumla ila leo ntakwambia njia moja ambayo itafanya uume wako uwe huru kukua na kurefuka na wenye afya na nguvu Njia iyo ni kama umekuwa unavaa boxer kila...
  10. JamiiForums Tanzania Kikosi cha Urusi cha "58th army" chafyekwa bila kusazwa hata mmoja

    Sijui Putin huwaambia nini wazazi wa hawa wanajeshi wanaouawa kama senene. ___________________ KATERYNA TYSHCHENKO - Tuesday, 24 May 2022, 21:46 According to an intercepted conversation of a Russian serviceman, Russia’s 58th Army, which the aggressors themselves called one of their leading...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

    Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
  12. JamiiForums Tanzania Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je hawa wanawake wangetembea nusu uchi?

    Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je wangetembea nusu uchi??
  13. M

    JamiiForums Tanzania Double Standard bila soni: Mbatia kutojihusisha na NCCR hadi itakapoamuliwa vinginevyo, Wabunge 19 kujihusisha hadi itakapoamuliwa vinginevyo

    Msajili wa vyama vya siasa amebariki uamuzi wa Mbatia na Sekretarieti yake yote KUTOJIHUSISHA na siasa ndani ya NCCR Mageuzi hadi itakapoamuliwa vinginevyo (yaani endapo wataenda mahakamani), Lakini tukija upande wa wabunge wa Covid 19, wenyewe wataendelea KUJIHUSISHA na siasa ndani ya CHADEMA...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani. Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani. SIFA ZAKE Awe smart kichwani...
  15. JamiiForums Tanzania Je, mtu unaweza kupokea Ekaristi Takatifu bila kula kile kipande cha ngano?

    Mantiki ya swali langu inalengo la kufahamu, je, Ekaristi ni kitu ‘Spiritual’ au ni kitu ‘physical’? Meaning, mtu anaweza kupokea Ekaristi bila kula kile kioande cha mkate? Spiritually tu kwa kuamini?
  16. JamiiForums Tanzania Bila huu utamaduni basi ni wazi mdogo wangu angefika miaka 25 hajawahi kulala na mwanamke, nguvu ya ziada ilibidi niitumie kumuokoa

    deleted
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

    Kwema Wakuu! Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii, Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa nachelea kusema Wanawake wengi yaani 95% bila ya urembo hawavutii na wala hawaonekani kuwa wazuri...
  18. JamiiForums Tanzania Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

    Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham. Wamevaa tishert zenye rangi za kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga. Wapo wengi tu...
  19. JamiiForums Tanzania namba ya NIDA kutumika kusajili line nyingi bila muhusika kujua kinachoendelea.

    HABARINI ZA WEEKEND WA NDUGU! TCRA mnipe ufafanuzi inakuwaje namba ya NIDA nimeihangaikia kwa kupanga lifoleeeeni kubwa na kutumia ma finger print yangu hadi picha mkanipiga ili nipate kitambulisho kwaajili ya matumizi yangu binafsi. kwa jinsi mlivyotuelimisha zile finger print ni kama...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Matajiri Wahindi na Waarabu watufundishe weusi kuhusu mirathi na mali kugawana bila ugomvi. Yasijirudie ya Mengi na Mama Lwakatare mbeleni

    Habari wadau. Hivi wahindi na waarabu wanatumia mbinu gani ya kumaliza mirathi zao bila ugomvi na huku watoto wanazaa wengi na waarab wanaoa wake wengi. Vifo vya mabilionea wa kitanzania wenye asili ya kihindi na kiarab ni vingi ila hatusikii wakigombea mali zao Ila sisi weusi kila tajiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…