bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Ina maana Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania bila kugombea ubunge

    Habari. Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile. Huyu mzee alikuwa na bahati sana Nawasilisha
  2. JamiiForums Tanzania Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono

    Sasa hivi timu zetu zinakaza timu inafungwa Moja bila full time. Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa Kimara Mwisho-Bonyokwa zimeanza tena

    Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara. Barabara tunaipenda ila ni walipe...
  4. JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

    Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
  5. JamiiForums Tanzania Polisi katika hili suala la namba 3D ni onevu bila ya kupepesa

    Nikianza Jeshi la Polisi napenda kusema huu niuonevu wa wazi! Swala la Namba 3D kuziondoa kwenye magari niuonevu usiozingatia sheria, Namba za kawaida kinacho reflect siyo maandishi ni kibati(Plate) Sawa sawa na 3D kinacholifanya Jeshi la Polisi kuondoa 3D nini? Kama siyo uonevu kwa Raia? Nchi...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nani kama mama ni msemo wa kijana mdogo, Nimeshuhudia baba akisota kwajili yetu bila kulalamika, stress bila kuonyesha masikitiko, wazazi wote ni sawa

    Nawapeni elimu ndogo kabisa, Ni baba ndiye alikuwa/ anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia/ kuwapa mnadhani ni zake. Nani kama mama ni misemo ya watoto/ vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi...
  7. JamiiForums Tanzania Bila kumuhudumia mwanamke unaachwa?

    Ikiwa hutokuwa mwaminifu kwa Mke wako, Kuna uwezekano mdogo atakuacha. Ikiwa utaonyesha uaminifu kwa mke wako, Lakini utashindwa kumhudumia kiuchumi, Kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha. Wanawake wengi wanaweza kusamehe ukosefu wa uaminifu. Wanawake wachache wanaweza kuvumilia hali ya...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga SC ina kitu nasema ukweli kama mwana football bila kujali Mimi mwana Simba SC

    Ukiwa mtu wa Mpira na umecheza mpira na unaelewa mpira na unaenjoy mpira ni raha sana, leo nimefurahi, nimeshangilia, nimechambua, na raha nimeipata. Hongera Yanga SC hongera wana Yanga SC football ni raha sana. Mungu ibariki Tanzania Ni hayo tu 🙏🙏🙏 Wadiz
  9. JamiiForums Tanzania Mke wangu ana pepo mchafu sana, je nawezaje kumsaidia bila kumvunjia heshima yake?

    Yaani 😮‍💨😭 Huyu dada tulioana naye kwa ndoa ya kidini. Ana tabia zote nzuri ila ni mtundu sana kitandani. Mkiwa katikati ya show unakuta gegedo limeingizwa kusiko na ladha imebadilika kabisa. Nikishtuka nachomoa hapohapo. Nimekuwa nikimweleza kuwa huo mchezo siutaki, kipindi cha uchumba cha...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Tuishi na wanyama vizuri: paka wangu kaua nyoka jioni ya leo, bila yeye nyoka angekuwa ndani ya nyumba na lolote lingeweza kutokea

    Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake. Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ichunguze Benki Kuu(BoT) kama kweli wako serious katika kusimamia Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha kwa wanaokepesha bila leseni

    Hii taasisi kila wakati inatoa taarifa kwa umma kupitia tovuti yao ya www.bot.go.tz kuonya watu waache kufanya biashara ya kukopesha bila leseni yaani kinyume na Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake. Kinachinishangaza ni kuona matamko mengi ya kuonya watu wanaojihusisha...
  12. JamiiForums Tanzania Sasa hapo ndo Mgao utaisha. Bila hivyo mtamlaumu tu Waziri. Ukimsoma hapa kwa Utulivu

    ITATEGEMEANA NA MAJENERETA TULIYOLETA YATAISHA LINI. hiyo hakumalizia.
  13. JamiiForums Tanzania Hauwezi kutaja historia ya Lowassa bila kuitaja Chadema vile vile hauwezi kutaja historia ya Chadema bila kumtaja Zitto Kabwe

    Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kutana na mpenzi wako ambae mlipotezana bila mawasiliano huku penzi likiwa moto? Mliendelea mlipoishia?

    Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa Je uliwahi kutana na aina hii kitu ?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je, mahusiano bila kufanya mapenzi ni sawa na urafiki tu?

    Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Swali langu ni Je katika umri wa ujana mdogo (20-25) au umri wa chuo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Je dating(mahusiano) bila kufanya mapenzi ni urafiki tu?

    Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu...nimekuja Leo kwenye jukwaa pendwa la mapenzi Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Swali langu ni Je katika...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi chuoni watu hawasomi bila "discussion"? Kila mara naambiwa niko discussion

    Kila mara unaambiwa nipo discussion subiri kidogo, sasa najiuliza huko chuo watu hawana muda wa kusoma wenyewe? Au discussion ni lazima chuoni?
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna maisha bila watoto wa kike. Nimechoka

    Mtanisamehe sana wale wenzetu mlio katika mfungo mtakatifu. Muda huu ndo napata kugundua kuwa hakuna maisha pasi na mwanamke. Nimekaza sana ndugu zanguni, huu ni mwezi wa sita sijaiona mbususu tofauti na kwenye simu tu. Hii ilikuwa ni baada ya kugundua kuwa hawa viumbe wanamaliza sana mifuko...
  19. JamiiForums Tanzania Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna. Mimi ndoto yangu...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Japani yatumbukia katika mdororo wa kiuchumi bila kutarajiwa, Ujerumani sasa ni nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa duniani

    Japan ilitumbukia katika mdororo wa kiuchumi bila kutarajiwa mwishoni mwa mwaka jana, na kupoteza yake kama taifa la tatu kwa uchumi duniani kwa Ujerumani na kuzua mashaka kuhusu ni lini benki kuu itaanza kujiondoa katika matumizi yake ya fedha ya muongo mmoja wa kulegeza sera ya fedha. Baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…